waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

    Waziri wa Fedha Dkt. Mpango amesema bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma ukiwahusisha watumishi wasio waaminifu. Dkt. Mipango amemwomba waziri mkuu awasaidie katika swala zima la kuwashughulikia viwavi hao wa Sekta ya Manunuzi ya Umma. Chanzo: ITV habari! Maendeleo hayana...
  2. JamiiForums Tanzania Mzozo wa Tigray Ethiopia: Waziri mkuu aamuru mashambulio dhidi ya mji wa Mekele

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema ameanzisha "awamu ya mwisho" ya operesheni ya kijeshi katika jimbo la Tigray kwanza kushambulia mji mkuu wa jimbo hilo, Mekelle. Amesema wanajeshi watajaribu wasiwajeruhi raia na wito kwa watu katika mji huo kusalia majumbani mwao. Hatua hilo inajiri...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia ataka Jumuiya ya Kimataifa isiingilie mzozo wa Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameiambia jumuiya ya kimataifa isiingilie mzozo wa jimbo la Tigray, katika kipindi hiki ambacho muda wa mwisho wa masaa 72 aliowapa waasi katika jimbo hilo wajisalimishe ukifikia ukingoni. Katika taarifa yake kiongozi huyo amesema Ethiopia kama taifa huru lina...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wakuu wa Mikoa kagueni Mawakala wa Saruji, mkiwakuta wamerundika mzigo wakamateni mkawashitaki!

    Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya mkutano na wakuu wa mikoa wote kwa njia ya video na kuwaagiza wakague maghala ya mawakala wa saruji na wakiwakuta wamerundika mzigo wa cement wawakamate na kuwafungulia mashtaka. Mh Majaliwa amezitaka kamati za ulinzi na usalama katika mikoa yote kuhusika katika...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Prof. Kabudi awe Naibu Waziri Mkuu

    Nakumbuka enzi za awamu ya pili ya mzee Mwinyi, baada ya Waziri wa mambo ya ndani mh Augustino Lyatonga Mrema kuonyesha utumishi uliotukuka " alitunukiwa" cheo kipya sawia na alichokuwa nacho akawa Naibu Waziri mkuu na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi. Vivyo hivyo kwa utumishi uliotuka wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa aagiza hospital ya Uhuru mjini Dodoma iwe imekamilika ndani ya siku 15 ili Rais Magufuli aifungue 09/12/2020

    Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake. Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhesh Kassimu Majaliwa Kassimu Atembelea Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Uhuru Inayojengwa Chamwino

    Hakuna muda wa kulala Hakuna muda wa kupoteza Serikali Ya CCM imeamua na haitaki kuwaangusha Watanzania Waziri Mkuu ametoa siku 15 kwa mamlaka husika ikiwemo SUMA JKT, Wakala wa Majengo ( TBA) na Halmashauri ya Chamwino kukamilisha Ujenzi wa Hospitali hiyo Matumizi sahihi ya Rasilimali...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Navishukuru vyama rafiki CHADEMA, CUF na ACT Wazalendo kwa kunipigia kura ya " Ndiyo" niwe Waziri mkuu!

    Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa amewashukuru wabunge wa vyama rafiki Chadema, Cuf na ACT wazalendo kwa kumpigia kura za "ndio" kwenye ushindi wake wa 100% wa kumthibitisha kushika wadhifa huo. Mh Majaliwa amesema maendeleo hayana chama hivyo atashirikiana na wabunge wote bila kujali itikadi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ajira za waalimu zimetoka au magumashi yanaendelea?

    Wana jamvi katika hali ilioleta taharuki kwa vijana wetu jana Alhamisi ilisambaaa mtandaoni kwamba majina ya waalimu walioomba kazi yametoka. Hivyo kuleta taharuki na usumbufu kwa walioomba, lakini ilikuwa ni geresha tu, cha kushangaza si Tamiseni haikukanusha habari hizo kama ni kweli au la...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bungeni: Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu, Bunge zima(Wabunge 350) wampigia kura za ndiyo

    Karibu Spika Ndugai amesoma Katiba kuelezea namna Waziri Mkuu anavyopatikana. Chanzo: ITV ======== Mpambe wa Rais tayari kawasili kwenye ukumbi wa bunge akisindikizwa na askari wa bunge akiwa amebeba bahasha yenye jina la waziri mkuu ajae. Baada ya spika Ndugai kuipokea amempa kazi katibu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoto: Ni wakati wa kumteua Waziri Mkuu Mwanamke?

    Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza. Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu Mheshimiwa Kassimu Majaliwa Kassimu Amtembelea na Kumjulia Hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Nchini King Kiki

    Mhesh Kassimu Majaliwa amemtembea nguli huyo wa muziki Nchini almaarufu Mzee wa Kitambaa Cheupe Nyumbani kwake leo.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumtambulisha Kassim Majaliwa kuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu?

    Nawauliza watu wa itifaki kama ni halali kwa kipindi hiki cha mpito kumtambulisha Waziri mkuu wa awamu ya 5 Mh Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu Mstaafu. Naomba majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawakumbusha CHADEMA na SAU maamuzi ya nani awe Waziri Mkuu yako Bungeni

    Nimesoma mgombea urais wa JMT kupitia Chama cha SAU akisema akiwa Rais atamteua Dkt. Magufuli kuwa Waziri Mkuu. Yaani huyu mgombea Urais hajui kuwa Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa? Freeman Mbowe wa CHADEMA naye anasema Tundu Lissu akiwa Rais yeye atakuwa Waziri Mkuu. Huyu...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

    Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu Chanzo: Mwananchi online ==== Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya ufalme, Waziri Mkuu yaendelea Thailand

    Licha ya kutangaza kutoongeza eneo la hali ya hatari, Waziri Mkuu wa Thailand ameitisha kikao maalum cha bunge katika wakati ambapo maandamano ya kumshinikiza kujiuzulu na mageuzi ya mfumo wa kifalme yakipamba moto. Katika kile kinachoonekana kama kulegeza misimamo yake, Waziri Mkuu Prayuth...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu, malengo ya kurasimisha ujuzi kwa mafundi uliouanzisha hauendani na maelekezo yako pale VETA, watumbue wahusika

    Kwa mujibu wa maelekezo ya ofsi ya waziri mkuu, mpango huu kwa mafundi kupitia VETA, mafunzo ambayo yanatolewa kwa miezi 3 na kugharamikiwa na serikali, kwa Kila mwanafunzi aliyechaguliwa anapaswa kulipwa elfu 50 Kila mwezi akiwa mafunzoni, lakini khari imekuwa tofauti, wanafunzi hawa...
  19. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI

    Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu naamini ni wenye afya njema na mnaendelea kuwatumikia wananchi wa Tanzania vema kabisa, Naomba kuwasilisha kwenu mambo mawili na hasa katika wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi wa Mbunge na Madiwani. Sisi wakazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro tumesahaulika kwa kila...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu Kwa Umma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kufungua Msikiti Wa Kwamndolwa Uliopo Jijini Tanga

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ofisi Ya Mufti shughuli hiyo muhimu itanyika kesho Jumamosi Oktoba 10, 2020.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…