waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maswali ya Papo kwa Papo Kwa Waziri Mkuu, Waziri Mkuu Aulizwe Maswali, Ajibu Maswali na Kama ni Ufafanuzi wa Jambo Lolote, Waziri Mkuu Huru Kufafanua

    Wanabodi, Tangu Bunge la Bajeti lianze, Alhamisi ya leo ndio kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu anautumia muda wa kujibu maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu. Sasa kwanza wenye access kualia Bunge live, angalieni maswali ya leo kwa Waziri Mkuu, kisha nitawaeleza kitu Karibuni UTANGULIZI...
  2. Rais Samia apokea ujumbe maalum toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar, ambaye amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia...
  3. Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wakabiliwa na kesi ya wizi wa Mabati ya Kaya Masikini

    Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo. Taarifa imeeleza kuwa Rais Museveni aliagiza Mabati yatumike kuezeka nyumba za eneo la Karamoja lililotengwa kwa...
  4. Waziri Mkuu: Vijana wamekopeshwa Shilingi Bilioni 1.88

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28. Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
  5. Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
  6. Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya Mwaka wa fedha 2023/24

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amesema Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu imezingatia vipaombele muhimu katika maeneo yote yanayoratibiwa na Ofisi hiyo ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na tija kwa Taifa...
  7. Sakata la Richmond lingesubiri Novemba aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu

    Wadau nawasalimu. Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu! Soma Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond Kama bunge...
  8. J

    Waziri Mkuu anathibitishwa na Bunge hivyo wa kumwambia ajiuzulu ni Rais, Bunge au CCM lakini si CHADEMA

    Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu. Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge. Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa. Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM. CHADEMA pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu...
  9. Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa shughuli zote za serikali, inakuwaje taarifa ya CAG inasema 'tumepigwa'? Usimamizi wake ni hafifu?

    Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali? Bunge linatakiwa limuhoji yeye kwa kuwa Yuko Bungeni kwa niaba ya serikali, na ndiye mtendaji mkuu. Kama hana majibu...
  10. Mhe. Janejelly James Ntate Amechangia Hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu Bungeni.

    MHE. JANEJELLY JAMES NTATE MBUNGE WA VITI MAALUM ANAYEWAKILISHA WAFANYAKAZI NCHINI AMECHANGIA HOTUBA YA BAJETI YA WAZIRI MKUU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 06 Aprili, 2023 amechangia Hotuba...
  11. Ridhiwani Kikwete: Serikali haina bajeti ya kuendeleza taasisi za wenza wa viongozi

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 2 leo Aprili 5, 2023. RIDHIWANI: SERIKALI HAINA BAJETI YA KUENDELEZA TAASISI ZA WENZA WA VIONGOZI Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga ameuliza kama Serikali ina mpango wa kuendeleza Taasisi za wenza wa viongozi wakuu Nchini...
  12. J

    PM Majaliwa: CHADEMA, ACT Wazalendo, NCCR, CUF, CCM na DP vimepokea jumla ya Tsh 17.5 bilioni ikiwa ni Ruzuku

    Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Vyama 6 vya Siasa vyenye Sifa ya kupata Ruzuku ya Serikali vimepokea Jumla ya tsh 17.5 bilioni Vyama hivyo sita ni Chadema, ACT wazalendo, NCCR mageuzi, CUF, CCM na DP Chanzo: Swahili Times Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele! --- Katika bajeti ya...
  13. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anasubiri nini ofisini au Afrika kujiuzulu ni dhambi?

    Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa? Rais hawezi kumwambia Waziri...
  14. Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
  15. Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
  16. K

    Waziri Mkuu arejesha tena usafiri wa "Mchomoko" Simiyu

    Sasa ni rasmi ile biashara ya Magari madogo kubeba abiria katika mkoa wa Simiyu maarufu kama Mchomoko, imereja rasmi baada ya tarkibani miezi tisa tangu yazuiliwe kufanya kazi hiyo ndani ya mkoa huo. Hiki ni kicheko na furaha kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Simiyu hasa vijana ambao walikuwa...
  17. J

    Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Stendi Kuu Bariadi kutumika kwa mabasi makubwa na madogo

    26 Machi, 2023 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU AAGIZA STENDI KUU BARIADI ITUMIKE KWA MABASI MAKUBWA NA MADOGO WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza stendi kuu ya mabasi katika mji wa Bariadi mkoani Simiyu ianze kutumika kwa mabasi makubwa na madogo ili kuondoa usumbufu kwa abiria...
  18. Rais Samia na Waziri Mkuu wanunua tiketi 4000 mchezo wa Tanzania vs Uganda

    Picha: Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wamenunua jumla ya tiketi 4,000 za mechi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania na Uganda. Tiketi hizo zitagawiwa kwa mashabiki ili waende kushuhudia mechi hiyo itakayochezwa uwanja...
  19. Tumezikumbuka Ziara za Waziri Mkuu Majaliwa hasa sehemu za Mikoani

    Habari za usiku ndugu wajukwaa, Kwanza niweke wazi, mimi ni kunguni na chawa mkubwa wa Kasimu Majaliwa Kasimu. Honestly nimekumbuka ziara zake huko Mikoani. Sehemu ambayo inanikosha ni pale tu kwenye kuzungumza na Watumishi wa Halmashauri na Mkoa Majumuisho Nafahamu Mh. Kasimu Majaliwa yupo...
  20. Waziri Mkuu Majaliwa aahidi kuwasomesha Watoto wa Abdulaziz Ahmeid, Mwandishi wa Habari wa Channel Ten aliyefariki

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kuendelea kuwasomesha Watoto wa aliyekuwa mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdul -Aziz Ahmed ambaye amefariki Dunia Machi 13, 2023 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Majaliwa ametoa ahadi hiyo wakati wa ibada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…