waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Afrika isiendelee kuwa uwanja wa ushindani wa mataifa makubwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Afrika isiendelee kuwa uwanja wa ushindani wa mataifa makubwa. Tunapaswa kutumia nafasi yetu ya kimkakati, rasilimali tulizonazo na nguvu ya watu wetu kujiletea maendeleo yenye manufaa kwa wananchi wetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dar es Salaam - Tanzania. 🗓️Julai 21, 2026.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akutana na viongozi wa benki ya CRDB

    WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA CRDB Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 20, 2026 amekutana na viongozi wa Benki ya CRDB katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, wamejadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye maadili, uzalendo na uwajibikaji

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utawala wa sheria na taasisi za umma. "Hakuna maendeleo ya kudumu bila kujenga watu wenye...
  4. JamiiForums Tanzania Njama za kumuua mtoto wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu zagunduliwa

    Njama za Hezbollah kumuua mtoto wa Benjamin Netanyahu zagundulika na wahusika kukamatwa Namshukuru Mungu kwa mashirika ya ujasusi yaliyosimamisha njama hii dhidi ya mwana wa Waziri Mkuu wa Israeli. Kamati ya mawaziri ya Israeli kuhusu masuala ya Shin Bet imeidhinisha ulinzi ulioongezwa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda TANZIA Mbunge Mkongwe wa Uganda na Jenerali Mstaafu Moses Ali Afariki Dunia akiwa na Miaka 87

    Uganda imepoteza mmoja wa wanasiasa wake wakongwe zaidi baada ya taarifa kuthibitisha kuwa Jenerali mstaafu Moses Ali, Mbunge wa Adjumani West County na aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87. Moses Ali alizaliwa tarehe 5 Aprili 1939 katika...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akagua maandalizi ya siku ya mashujaa

    WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA SIKU YA MASHUJAA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 17, 2026 amekagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayotarajiwa kufanyika Julai 25, 2026 katika Viwanja vya Mashujaa, Mtumba, jijini Dodoma. Katika ukaguzi huo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tuungane Kuokoa Maisha Ya Watanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya upandikizaji wa figo na uloto kwa wananchi wasiokuwa na uwezo ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hizo za kibingwa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tunachokifanya leo ni kurejesha matumaini kwa wagonjwa na familia zao

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya upandikizaji wa figo na uloto kwa wananchi wasiokuwa na uwezo ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hizo za kibingwa. "Hiki...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Hivi Mgambo wa jiji hapa Dar ususani Ilala wana nguvu kuliko Waziri Mkuu?

    Wananchi tunahitaji ufafanuzi kuhusu nguvu na utendaji wa Mgambo wa Jiji, hususan katika eneo la Kariakoo, wakidai kuwa kumekuwa na ukamataji wa mali za wananchi unaosababisha kero kubwa. Baadhi ya waendesha pikipiki wanakamatwa bila kupewa nafasi ya kujieleza au kusikilizwa, huku pikipiki...
  10. JamiiForums Tanzania Rais na Waziri Mkuu mnaposema Oktoba 29 wananchi walikuwa na silaha za moto mbona Msigwa hajawahi kutolea ufafanuzi? Ila la BBC

    Msemaji wa Serikali analalamika kuwa documentary iliyotolewa na BBC imesikiliza upande mmoja. Sasa najiuliza je Serikali yake inayotoa matamko kuwa wanaharakati magaidi, wataka haki ni wachochea uvunjifu wa amani na porojo zengine mbona msigwa ajawahi kusema haya. Soma pia Serikali: Makala ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Aunguruma. Apiga Marufuku Na kutoa Maagizo ya Kukamatwa na kufuatiliwa viongozi Wanaojadili kuhusu Uchaguzi Wa 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo (KKKT): Kwanini Waziri Mkuu anafanya mikutano ya hadhara wakati kuna zuio

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, akiongea na waandishi wa habari jijini Mbeya jana, amehoji na kashangazwa na tangazo la kuzuia mikutano kwa vyama vya siasa wakati huo viongozi wa ngazi za juu wa serikali, akiwemo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu azindua shule ya msingi Kasoma

    WAZIRI MKUU AZINDUA SHULE YA MSINGI KASOMA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Julai 4, 2026) amezindua Shule ya Msingi Kasoma, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, na kuipongeza halmashauri hiyo kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo unaozingatia thamani ya fedha.
  14. JamiiForums Tanzania Mwananchi: Waziri Mkuu naomba unisaidie milioni 2 nipunguze mawazo

    Kutoka kwenye Mkutano wa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Julai 1, 2026 na wananchi wa Nyamongo Mkoani Mara. Moja ya mwananchi aliyejitambulisha kwa jina la Sibora Mwita Magige amemuomba Waziri Mkuu kumsaidia kiasi cha milioni 2 ili apunguze mawazo aliyokuwa nayo Kuna shirika moja...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Sasa Waziri Mkuu Mwigulu amefika Mkoa wa Mara

    Sasa Amefika Mkoa wa Mara Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 1 Julai, 2026. 🕰️ 5:00 Asubuhi. Lengo la Ziara: 1. Kukagua Jengo la Utawala - H/W ya Serengeti. 2. Mkutano wa hadhara - H/W ya Serengeti. 3. Mkutano wa hadhara - Nyamongo.
  16. JamiiForums Tanzania Pongezi: Waziri Mkuu atatua changamoto ya kitaifa kwa wakati

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Bi. Anastazia Tutuba, akimkabidhi Toroli Bi. Coleta Benedict ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, alilolitoa wakati wa Mkutano wa hadhara wa kusikiliza na...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Wilaya ya Ikungi, Singida

    Ni Singida Tena Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📆 27 Juni, 2026. 🕰️4:00 Asubuhi
  18. JamiiForums Tanzania Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Tunafanya kazi katika mazingira magumu, hakuna usawa, tunabaguliwa, hatupewi stahiki zetu

    Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Mikataba inaonesha tumeajiriwa na Wazazi na si TAMISEMI, tuna mazingira magumu. Ujumbe wa Walimu wa Mkataba chini ya mradi wa GPE-TSSP, Juni 26, 2026: Napenda kuwasilisha kwenu baadhi ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo sisi walimu wa mkataba chini...
  19. JamiiForums Tanzania DUNIA IMEBADILIKA KUTEGEMEA MISAADA KUMEPITWA NA WAKATI WAZIRI MKUU MWIGURU NCHEMBA AMEONGEA HAYO AKIWA ZIARANI..

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe. Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…