πͺππππ₯π π ππ¨π¨ πππ§. π πͺπππ¨ππ¨ ππͺππ¦πππ π₯π’π π, ππ§ππππ
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo (One...