waziri kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China

    Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini China iliyofanyika kuanzia tarehe 9 hadi 19 Juni, 2025. Akiwa nchini China, Mheshimiwa Waziri Kombo aliongoza...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Balozi wa Angola

    WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA ANGOLA Balozi wa Angola anayemaliza muda wake, Mhe. Sandro De Oliveira amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) kwa madhumuni ya kuaga. Katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dar es Salaam Juni 21...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri kombo awasisitiza diaspora kuchangamkia fursa

    WAZIRI KOMBO AWASISITIZA DIASPORA KUCHANGAMKIA FURSA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Watanzania waishio nchini China (Dispora) kuchangamkia fursa ikiwa ni pamoja na kuongeza mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki ufunguzi wa maonesho ya kimataifa ya biashara kati ya China na Afrika (caete)

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI UFUNGUZI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATI YA CHINA NA AFRIKA (CAETE) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameungana na Mawaziri wa Mambo ya Nje na Waratibu wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Jukwaa la...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa waratibu wa utekelezaji wa maazimio ya FOCAC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano baina ya China na Afrika (FOCAC), unaofanyika tarehe 11-12 Juni 2025 jijini Changsha...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Ziarani Nchini China

    Waziri Kombo Ziarani Nchini China🇨 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Beijing, China tarehe 9 Juni, 2025 kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Kiongozi wa Ngazi ya Juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri wa Watu wa China...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Sudan

    Waziri Kombo apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Sudan Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala za Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan nchini Mheshimiwa Mohamed...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na benchi la ufundi la MKICC

    Waziri Kombo akutana na benchi la ufundi la MKICC Mapema leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na benchi la ufundi (technical team) linalosimamia ujenzi wa kituo kipya cha kimataifa cha mikutano cha ‘Mount Kilimanjaro International...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo anadi fursa za uwekezaji za Tanzania nchini Kosovo

    WAZIRI KOMBO ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI ZA TANZANIA NCHINI KOSOVO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Kosovo kuja kuwekeza nchini katika maeno matano ya kimkakati ambayo ni kilimo, madini...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu la Kosovo

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU LA KOSOVO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kosovo, Bw. Agim Ademi pembezoni mwa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana kwa mazungumzo na Rais wa Kosovo

    Rais wa Jamhuri ya Kosovo, Mhe. Dkt. Vjosa Osmani Sadriu amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Ikulu jijini Prishtina, Kosovo tarehe 1 Juni 2025. Mazungumzo ya viongozi hao yalijikita katika...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili Kosovo kwa ziara rasmi

    WAZIRI KOMBO AWASILI KOSOVO KWA ZIARA RASMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ajili ya kuanza ziara rasmi pamoja na kushiriki Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasisitiza machifu kushirikiana na serikali

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Machifu wa Kanda ya Vita ya Majimaji Kusini mwa Tanzania kuendelea kushirikiana na Serikali wakati wakitekeleza majukumu yao ya kimila katika jamii. Hayo yamejiri wakati Waziri Kombo...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili Geneva kusaka kura za Profesa Janabi nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewasili Geneva katika kampeni ya kusaka kura za mgombea wa Tanzania Prof. Mohammed Janabi katika nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Uwepo wake mjini hapo ni...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Museveni

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Gen. Yoweri Kaguta Museveni Entebbe, Uganda. Tarehe 13 Mei...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Diaspora ni Tanzania ambaye ameukana Uraia wake, kama hajaukana huyo ni Mtanzania tu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amechanganua Mtu ambaye anastahili kutambulika kuwa ni Diaspora kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Amesema Mtanzania yeyote ambaye yupo nje ya mipaka akiwa na Passport huyo ni Mtanzania kama wengine lakini...
  17. JamiiForums Tanzania WAZIRI KOMBO AWASILI KAMPALA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mjumbe maalum, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Kampala Uganda na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Meja Jenerali Paul Simuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe...
  18. JamiiForums Tanzania Wekeni mbele maslahi ya taifa - Waziri Kombo

    WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara na kuwasihi wafanyakazi wa Wizara kuweka mbele maslahi ya Taifa. Mhe. Waziri Kombo...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asaini kitabu cha maombolezo cha hayati Cleopa Msuya

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), akisaini kitabu cha Maombolezo alipowasili nyumbani kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Wahariri kueleza mwelekeo mpya wa sera ya nje

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA WAHARIRI KUELEZA MWELEKEO MPYA WA SERA YA NJE Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mkutano maalum na wamiliki pamoja na wahariri wa vyombo vya habari kwa lengo la kueleza mwelekeo mpya wa Wizara pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…