wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania inathamini ushirikiano wake na Umoja wa Ulaya na iko tayari kwa majadiliano ya wazi, ya kuheshimiana na yanayotegemea ushahidi.

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya (8 Mei 2025) Dar es Salaam, 8 Mei 2025 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetambua azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu mwenendo wa mashauri ya kisheria yanayoendelea nchini Tanzania. Wakati Tanzania...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Mbowe hana ushawishi tena chadema

    Wakati maalim seif anaondoka cuf, Umati wa viongozi wakubwa na wanachama walimfuata. Cuf ilipotea na imepotea kabisa. Tofauti na Mbowe, licha ya kuwa mwenyekiti wa miaka Mingi kitendo cha leo kuondoka wanachama maarufu chadema kama salum mwalim, Kigaila huku hata makao makuu ya chadema...
  3. JamiiForums Tanzania Ni wazi kujiondoa kwa G55 kuna ajenda ya siri ya kutaka kuyumbusha chama lakini hii nayo inampigia promo Lissu duniani kote

    Kila mmoja anajua na hata ualaya wanajua Lissu amehamasisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki nchini, sasa anae waelewa hawa G55 aje anieleweshe wanapinga nini ? kwenye mabadiliko hayo na progamu hiyo ya chama. Ukiangalia vizuri hawa G55 wana ajenda ya siri nyuma ya pazia au wametumwa na mtu...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa ana vinasaba na sanaa.. Na pengine uwaziri wa sanaa na michezo ndio saizi yake

    Pale alipokuwa kawekwa kabla ya hapa ilitokea kwa bahati mbaya tena sana! Na kwakuwa ile nafasi ni sawa na joka la kibisa.. Hatukuweza kuona ombwe! Hatukuweza kuona uhalisia.... Baada ya asili kuamua ile ugomvi mkubwa, tukadhani tumesalimika sana.. Kumbe ilikuwa ni sawa na kuruka kubwa kisha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Brenda Rupia - Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Chadema weka mawasilian yako wazi ili wenye nia njema wakupe ushauri then uupeleke kwa wahusika

    Kwa mfano, taarifa hii/ushauri huu ni madini makubwa sana. https://www.jamiiforums.com/threads/pamoja-na-kuruhusiwa-watu-kwenda-kusikiliza-kesi-ya-lisu-chadema-kuna-mtego-wametegewa-ngoja-niwasanue-sasa.2336593/page-2#post-53689188 Kama Mulilo anaweza kusema tarehe 24 polisi hawakumkamata...
  6. JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
  8. JamiiForums Tanzania Elimu ya darasani haimfanyi mtu kuwa na akili nyingi kuliko wengine – Ushahidi uko wazi kwenye viongozi wetu.

    Kwa muda mrefu sana tumekuwa tukidanganywa kwamba elimu ya vyeti ndio kipimo cha akili au uwezo wa mtu kufikiri. Lakini tukitazama hali halisi ya nchi yetu, tuna viongozi wengi wenye PhD, Master's, au shahada, lakini wanashindwa kufanya maamuzi ya msingi yanayowanufaisha wananchi. Tuna walimu...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi serikali unapesa za kuchezea imewahamisha watu misugusugu shule kwa kutumia mabilion halafu wamepaacha wazi

    Katika vitu ambavyo najiuliza hivi kumbe serikali yetu inapesa za kutosha hapa misugusugu shule ya msingi wamewahamisha watu na kuwalipa mabilioni ya pesa Kwa kigezo eti wanataka kujenga mradi wa maegesho ya magari ila mpaka Leo kimya wamepaacha wazi tu sijui inasemekana Kuna wajanja wenye...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Namna sura au muonekano wa mtu unavyosaidia kukamata suspects /watuhumiwa ikiwa hakuna ushahidi wa wazi

    sura ya mtu, muonekano wa nje hua unasaidia sana kudaka suspects mtuhumiwa Katika mazingira uhalifu ,au tukio limetokea lakini hakuna ushahidi wa moja kwa moja au wa wazi unaoweza kuonesha aliyefanya uhalifu huo, hua panapitishwa msako sasa kama kundi ni kubwa hua kuna factors hua...
  11. JamiiForums Tanzania "Huwa anaamka usiku wa manane anapigiwa sim yenye namba 70 pekee na kuongea kwa kunong'ona akiwa matiti wazi akijifunga kikoi chekundu"

    "Ana tabia ya kuamka na kukaa kwenye Giza totoro Kwenye kitanda kingine,hufungua madirisha usiku was kiza kinene Hadi pale sim inapopigwa kwa namba 70,ndio huamka na kuipokea huku akisimama na kwenda katikati ya mlango wa nyumba kutokea nje akiwa ameufungua mlango huanza kuongea Kwa kunong'ona...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga tutaishije bila GSM? Ufadhili una kikomo

    Mimi kama mwanachama wa Yanga nampongeza mfadhili wetu GSM Kwa mazuri anayoifanyia timu yetu Lakini tukumbuke GSM ni binadamu anaweza siku akaamka hana furaha, akasitisha ufadhili wake, Kuna kufirisika, kifo n.k Viongozi watueleze, je bila GSM sisi wanayanga tutakuwa vipi imara Sifurahii...
  13. JamiiForums Tanzania Tiba ya kutoacha mdomo wazi

    https://www.facebook.com/share/r/18LBxmXewj/
  14. JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  15. JamiiForums Tanzania Je, chaguzi zetu ziko sawa?.

    Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni kibarua kwaajili ya kulea wanawe tu basi. Hivyo kazi yake itakuwa kusifu, kusifu, kusifu na kujishusha...
  16. JamiiForums Tanzania Je, chaguzi zetu ziko sawa?.

    Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni kibarua kwaajili ya kulea wanawe tu basi. Hivyo kazi yake itakuwa kusifu, kusifu, kusifu na kujishusha...
  17. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  18. JamiiForums Tanzania Ushuhuda kuhusu unlimited za Vodacom hasa ambazo hazijawekwa wazi

    Habari wana Technology, Nipo Dar, nilipenda kupata huduma ya unlimited kwa Vodacom. Kabla ningependa kujua kwa wanaotumia, wana maoni gani kuhusu huduma hii. Na pia kulingana na ufuatiliaji nimeweza kuona kuna vifurushi mpaka vya 50000 unapata GB 30, ila naambiwa ni unlimited. Ningependa...
  19. JamiiForums Tanzania G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za maofisa katika balozi zetu Huwa haziwekwi wazi?

    Kuna jambo linawakera Watanzania wengi kuhusu ajira katika balozi zetu nje ya nchi: kwa nini nafasi hizi haziwekwi wazi kwa umma? Serikali yetu ina balozi na ofisi mbalimbali za kidiplomasia kote duniani, lakini ajira za maofisa wanaopelekwa huko ni kama siri nzito. 1️⃣ Ukosefu wa Uwazi –...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…