wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Trump anataka mafaili yote ya siri kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy yawekwe wazi kwa umma

    Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri. Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
  2. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa

    Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa Mpendwa Binti, Salamu za upendo kutoka kwa mtu anayejali ustawi wako wa kiakili, kihisia, na kijamii. Naandika barua hii si kwa kukufundisha, bali kwa kushirikiana nawe mawazo ambayo yanaweza kukuimarisha katika safari yako ya maisha. Kwanza kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu? Amekuwa kama underground fulani hivi

    Mpo salama! Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana. Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo. Hakuna anayemzingatia Sana Wala Waandishi wa habari na wachukua kamera hawana habari naye. Na ukimwon labda...
  4. JamiiForums Tanzania Acheni kuchimba mashimo na kuyaacha wazi kwa muda mrefu.

    📖Mhadhara (76)✍️ Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo. Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...
  5. JamiiForums Tanzania Tuwe na utaratibu wa kuziweka wazi taarifa kificho muda unapofika

    Wazungu kuna kitu wanaita classified information! Hizi ni taarifa kificho zinazofahamika kwa kaliba fulani ya watu ndani ya mamlaka ya nchi.. Hizi huwa ni taarifa za siri zinazowahusu viongozi wa nchi mambo yahusuyo nchi ambazo kama zikivuja kwa wakati huo nchi inaweza kuingia matatani Huitwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu ambaye anahubiri kwamba mambo ya umma yawe wazi, alikataa kukutana na Abdul hotelini penye watu wengi akachagua nyumbani kwake sirini?

    Haya mambo yanahitaji akili ya ziada ya kuishinda laghai, kwa nini Lissu aliogopa kukutana na Abdul hotelini, sehemu ya wazi ya watu wengi akachagua mafichoni? Alikuwa anaficha nini? Je, viongozi wake wakuu wa chama walikuwa na taarifa? Inawezekana Lissu, baada ya kukutana na Abdul, aligundua...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mufti wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh. Habari ya majukumu hapo ofisini kwako, bila shaka umzima wa afya na waendelea vyema na majukumu waliyokupatia waislamu katika kukitumikia kiti hicho. Pamoja na raddi na mivuguvugu mingi unayoipata toka kwa mahasimu wako wa kiitikadi lakini bado...
  8. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso

    Waziri wa maji Aweso. Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya uangalizi. Mh. Aweso ni aghalabu sana kushindwa kutekeleza maneno yako lakini kwa masikitiko makubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Leo bank zipo wazi au zimefungwa?

    Eti leo bank zipo wazi katika huduma ya western union, naweza nikaipata!?.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke wazi tuhuma zake za ugaidi dhidi ya Mbowe zilibase katika ushahidi gani!

    Mpaka hivi sasa tunavyoongea, Mwenyekiti Mbowe hajawahi kusafishwa na mahakama wala serikali wala chombo chochote nchini kuwa tuhuma za serikali kwa Mbowe kuhusu Ugaidi zilikuwa za uwongo. Sisi wananchi tunachoamini ni kuwa kesi hiyo ilikuwa ni ya mchongo, ya kubambikiza na ya uonevu. Lakini...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kutoka kwa Suleiman Said Bungara (Bwege) kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan

    Barua ya wazi Kutoka Kwa Suleiman Said Bungara ( Bwege) Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kwenda kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
  12. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Lissu juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA

    Habari mhe. Lissu, Pole sana na majukumu, na hongera kwa kazi zako nyingi za kisiasa ikiwemo maandalizi ya uchaguzi wa mwenyekiti na jitihada za uchaguzi na jitihada kuelimisha umma juu ya haki zao mbalimbali. Ninaandika haya ili kukushauri mambo mawili matatu, ambayo ukiyatafakari unaweza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi kamkosea nini Mbowe?

    Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface · 1h Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣 Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hili niseme wazi tunaaibishana sana sisi wanaume

    Mwanaume amevaa kaptula kisha ana mguu wa beer. Mguu mnene kama wa mwanamke. Nimejisikia vibaya jirani wanasema "jamaa ana mguu mzuri wa bia kama angekuwa binti ingekuwa magoli sana" Mhusika anazunguka zunguka tu hapa bar mara kaenda mbele mara karudi.anajisikia fahari kabisa huyu bwege. Mguu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu wa Godbless Lema, ni wazi unamgusa Mbowe

    Kaandika ifuatavyo kupitia mtandao wa x: Sasa ni dhahiri kwamba boots will be on the ground kati ya nyie viongozi wawili ambao kimsingi ukisoma maoni ya wananchi wana hofu kubwa na huku wanachama wakiendelea minyukano. Mchakato huru/haki ktk safari hii kuelekea uchaguzi Mwezi January ni msingi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya ya Wenje, ni wazi kuwa hata wabunge Covid 19 wana baraka za viongozi wa juu

    Ni kiri wazi kuwa kwa maelezo haya ya wenje baada ya kumsikiliza kwa makini! Kuna maswali mengi yanakosa majibu kutoka kwa wenje! Ni upumbavu wa hali juu kuwa haki yako iliyo kisheria mtoto wa rahisi ndio akufanyie mpango ulipwe as if hayo madai anayedaiwa ni mama yake! Swali langu kwa wenje...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Jumamosi, 21 Desemba 2024, tukutane viwanja vya Mbagala Zakhiem. Kuna jambo kubwa la kihistoria kwa vijana wote!

    🔥 JAMBO NI LA MOTO, TAREHE IMEWEKWA WAZI NI 21 DESEMBA, 2024 Jumamosi, 21 Desemba 2024, tukutane viwanja vya Mbagala Zakhiem. Kuna jambo kubwa la kihistoria kwa vijana wote! Kijana Vunja kabati vaa upendeze ni siku yako. Unakosaje kwa Mfano...!
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wazi CHADEMA sasa imegawanyika, kuirudisha kuwa pamoja ni Mbowe kutogombea uenyekiti tu

    Maneno aliyozungumza Lissu leo wakati anarudisha fomu ni mazito sana, anasema mtu aliyemleta Abdul kwake ampe pesa na akamwambia hata wengine wameshapewa pesa ndiye anagombea kuwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA na anamuunga mkono Mbowe kuwa mwenyekiti! Katika hili jambo kama ni kweli ni baya...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wazo langu: amani ya kweli itapatika Mashariki ya kati kwa kuigawanya nchi ya Syria kuwa nchi

    Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo Syria igawanywe kuwa nchi 2 Lebanon igawanywe kuwa nchi 2 Siku njema
  20. JamiiForums Tanzania Dirisha dogo la usajili lipo wazi, Yanga fanyia kazi maeneo haya

    Leo tarehe 15 dirisha limefunguliwa Me kama mwanachama hai wa Yanga Nina mapendekezo yafuatayo 1. Kiungo mkabaji Yanga inahitaji kiungo mpya wa ukabaki Khalid Aucho naona amechoka, ana majeraha ya mara Kwa mara tukimtegemea tutafeli kabisa Utimamu umepungua nadhani ni muda sahihi wa kumpa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…