wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi mtu unawezaje kujenga nyumba yako kwenye ardhi ya wazazi na ukaishi na familia yako hii akili au matope

    Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu...
  2. JamiiForums Tanzania Mafinga: Wazazi wasiopeleka chakula shuleni kukamatwa

    Wazazi ambao hawapeleki chakula Cha mchana katika shule za msingi kuchukuliwa hatua kwa mjibu wa Sheria na kushitakiwa kwa kutowajibika vema kwa Watoto wao. Hayo yamejiri katika kikao cha dharula cha Wataalamu wa lishe wa mitaa sita ya kata ya Boma katika Halmashauri ya Mji Mafinga Wilaya ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi na Walezi Mtwara wajitolea kuchimba Msingi kwa Ujenzi wa uzio Shule ya Sekondari Chuno

    Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka shuleni kiholela. Kukamilika kwa uzio katika shule hiyo ya Sekondari Chuno kutasaidia wanafunzi...
  4. JamiiForums Tanzania Nikitu gani wazazi wako walikukataza toka utotoni lakin mpaka sasa ujakiacha umeshindwa kuacha kabisa

    Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka namaliza kula naweza chukua lisaa kabisa Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala...
  5. JamiiForums Tanzania Taasisi ya elimu yawataka wazazi wenye watoto shuleni kuwanunulia vitabu vya mtaala mpya, Je, huwa unawanunulia vitabu vya shule watoto wako?

    TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala mipya vinavyopatikana katika taasisi hiyo na kuuzwa maeneo mbalimbali nchini Rai hiyo imetolewa Jijini...
  6. JamiiForums Tanzania Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  7. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumeite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  8. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumuite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  9. JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kutaka kufanya Maendeleo kwa wazazi wangu ninashindwa

    Ninatoka familia duni sana ambayo kipato chao,mlo wao na ata makazi yao ni duni sana Nina wakubwa zangu Ila na wao wote wana familia zao na wao pia hali zao zipo chini sana kiuchumi, kwahiyo pale nyumban nimebaki mimi na wadogo zangu wengine ambao na wao bado wanasoma Mimi ndio mtu wa kwanza...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya wazazi kuwaaandalia watoto wao mazingira ya kazi kama ilivyo jamii za kipemba ,kiarabu na kihindi.

    Nimefatilia Sana na kuangalia mtu Amalia machozi na wengine wakianzisha umoja wao wa Majobless ili kuendesha harakati za kudai Ajira. Ni kweli serikali inabidi kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi ya kupunguza hili tatizo hata kwa asilimia kadhaa . Ila kubwa kuliko ni wazazi kuwa na uwezo wa...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa University College of Africa wanapata wapi namba za wazazi wa form 4 leavers?

    Mzazi anatukiwa meseji yenye jina la shule aliosoma mwanae, je ni walimu ndio wanatoa namba au huu mchezo ukoje? Na huu ufadhili ukoje?
  12. JamiiForums Tanzania Wazazi Mnaosomesha Watoto Shule za Private jifunzeni kufanya tathmini ya Pesa mnayowekeza katika Elimu hiyo na matokeo yake (Hawatazeekea Nyumbani)?

    Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, wakiamini kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora. Lakini swali la msingi linabaki: Je, uwekezaji...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

    Sidhani kama dini inataka hivi. Oneni wenyewe. Aione Dkt. Gwajima D
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Watoto kushirikishwa katika usuluhishi wa ugomvi wa wazazi?

    Naendelea kushuhudia kuongezeka kwa matukio ya baadhi ya familia watoto hasa wengine wakiwa na miaka 17 wakishirikishwa katika kusuluhisha migogoro ya wazazi wao. Inawezekana hali hii inatokana na kukosekana kwa watu wazima katika familia au viongozi wa dini wakikosa kuaminiwa na baadhi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kama kijana una kipi cha kujivunia kutoka kwa wazazi wako?

    Kadri ninavyoendelea kukua ndiyo naelewa kwanini watu wanaogopa kutaja umri wao halisi. Muda ni kitu cha thamani sana na pia kama kijana ukishajua unachokitaka hapa dunia kujishusha ni mbinu wala sio ujinga Kwenye mada kama kijana una kipi cha kujivunia kutoka kwa wazazi wako Nawatoa nyongo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwanetu Hamisa hana Baraka za Wazazi wa Aziz Ki

    Wazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga. Kwa familia inayojitambua isingeruhusu hili jambo lifanyike bila uwepo au uhusika wa wazazi na ndugu wa bwana harusi. Wazazi wa Hamisa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kagera - Mwassa: Wazazi pambaneni Watoto wenu wasiwe machawa

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya kutumia muda mwingi kujipendekeza na kuwa machawa. Mwassa ametoa kauli hiyo Februari 11, 2025 kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

    Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama. Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
  20. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanapenda kutunza wazazi wao ila uchumi binafsi umewakaba koo

    Watoto wala hawana haja ya kuhimizwa kutunza wazazi, tatizo unakuta watoto wenyewe wako mjini wanabangaiza tu wana watoto wao pia, wake, michepuko, madeni n.k.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…