wazanzibari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie Watanzania wote tuweze kumiliki ardhi Zanzibar

    Mh Rais, Bwana asifiwe! Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi umetudhalilisha Wazanzibari. Waziri wa Michezo angetosha mazungumzo na Mamadou Sakho

    Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku? Tena kwa red carpet kesho na kesho kutwa mchezaji anakunya mbovu inakuwaje hapo? Au kuna mtonyo wa 10% Kusema kweli ni aibu...
  3. JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba Wazanzibari hawana makabila

    Suala la kwamba wazanzibari hawana makabila sio sahihi kabisa,wanayo makabila. Huu uzi siandikii ati kwa kuwa makabila yataleta manufaa yoyote kwa wazenji ama madhara yoyote,bali naandika kusahihisha ufahamu tu. Kwanza Kabila ni jamii ya watu yenye umoja fulani upande wa lugha na tamaduni, si...
  4. JamiiForums Tanzania Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

    Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturb sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto. Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi BAWACHA: Sharifa Suleiman aibuka kidedea Uenyekiti Taifa

    Mheshimiwa Susan Kiwanga na wenzake Monica Nsaro na Aisha Luja wameshindwa kurithi nafasi ya Halima Mdee ya mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Kwa msingi huo, Sharifa ambaye ni kama makamu mwnyekiti wa Bawacha-Zanzibar, ndiye amechukua nafasi ya mheshimiwa Halima Mdee ya mwenyekiti wa Bawacha taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Wazanzibari wana maisha mazuri kuliko watu wa bara

    Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index). Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1. Tanzania yote kipimo hiki kinasoma 0.529. hii ni chini na ni alama ya umaskini na kutoendelea. Zanzibar kinasoma 0.72 na ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…