wazanzibari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Wosia wa William Lukuvi: Wazanzibari hawatupendi Watanganyika. Tukiwaacha Uhuru Watatusumbua na siasa kali

    Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli mara mbili kwa siku. Kila mtu ana jinsi anamkumbuka Mtu. Mimi Wosia wa Lukuvi ambao nimeuweka moyoni ni tahadhari aliyotoa kuhusu Watu kutoka Zanzibar. Yaliyotokea 29 Oktoba 2025, yalifanya niamini kauli ya William Lukuvi. Aliwahi kusema kwamba hatuwezi...
  2. figganigga

    Samia Suluhu Hassan ndo kielelezo cha Upendo wa Wazanzibari kwa Watanganyika

    Salaam Wakuu, Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake. Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo. Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari...
  3. O

    POTOSHI Samia: Ngorongoro tumewapa Ndugu zetu waarabu wawekeze

    Samia anasema tuna undugu na Waarabu; lakini ni tangu lini tumekuwa na undugu na Waarabu? Kwahiyo hapa anataka kusema kwamba amewapa waarabu wawekeze kwasababu ni ndugu zake!? Kwanini Rais wa hii nchi akili zake zimejaa undugu na nepotism kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya nchi !? Hafai kuwa...
  4. M

    Wazanzibari wanamiliki migodi ya dhahabu na almasi wakati wabara hawaruhusiwi kumiliki ardhi ndogo, huu muungano Julius alirogwa ?

    Wapo wazanzibari wanamiliki migodi Geita, Mbeya, Mara, Mererani, Ruvuma, n.k. Mtanzania wa Bara huwezi kugusa mgodi unaomilikiwa na m=Mzanzibari hadi upewe ruhusa yake na hata ukiruhusiwa kuchimba, ukipata madini ni yeye anaamua mgawanyo. wapo waliotajirika na kuwa mabilionea kwa madini ya Bara...
  5. Keynez

    Wazanzibari mnajinasibu ni watu wa dini, inakuwaje uwanja wenu umepachikwa jina la "Guantanamo Bay"?

    Nakumbuka kipindi fulani watu walikuwa wanauita uwanja wa Benjamin Mkapa "Kwa Mchina" hadi akatokea mtu akasema watu wawe wazalendo wauite kwa jina lake halisi au walau wauite "Kwa Lupaso". Hivi karibuni kuna wasemaji wa timu fulani wameupachika jina jipya uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Kaskazini Pemba waongoza kujisaidia vichakani, maporini na baharini

    Takwimu hizi hapa, ukibisha lete takwimu. Hii mbaya sana. Ndiyomaana kuna mtu ana maneno ya kunya. By. Ponjoro wa Kinondoni kwasaza Safarini toka Kizimkazi.
  7. H

    Ukisikiliza Taarifa za Mashuhuda na Wahanga, Mauaji Makubwa ya Watanganyika Yalisababishwa na Chuki za Wazanzibari kwa Watanganyika.

    Ukifuatilia kwa umakini maelezo ya mashuhuda na manusura wa mauaji ya Watanganyika yaliyofanyika kwa siku 3 mfululizo kuanzia tarehe 29 Oct, ni dhahiri mauaji makubwa ya holela yalifanywa na askari wa kutoka Zanzibar, nao waliyafanya hayo kwa misingi ya chuki dhidi ya watanganyika, na siyo...
  8. DuaZaMama

    PostGE2025 Waziri Kombo: Tanzania hatutakufa kwa kukosa fedha za EU

    Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya...
  9. secretarybird

    Tuwe na jadi ya kujitambulisha kama watanganyika popote tulipo kama wale jamaa zetu wanavyojiita Wazanzibari

    secretarybird huwa najifeel mzalendo nikikumbuka kuwa Mimi ni mtanganyika. Nikijitambulisha kama mtanzania ni kama kuna kitu napungukiwa, ndiyo maana sijawahi kuipenda Taifa stars. Jamaa zetu wa ng'ambo wanajiita wazenji halafu sisi tunakazania kuwa watanzania. Muungano huu ni wa kipuuzi sana...
  10. Jidu La Mabambasi

    PostGE2025 Unafiki wa Wazanzibari: Fatma Karume kimyaaa!

    Pamoja na kusikia idadi kubwa ya wananchi kufariki wakati wa uchaguzi/ maandamano October 29 mwaka huu Wazanxibari woke kimya kabisa. Si Rais Mwinyi wala wanaharakati kama Fatma Karume wamenyanyua mdomo. Watanganyika mjitathmini!
  11. H

    PostGE2025 Kutokana na ukatili mkubwa unaodaiwa kufanywa na Wazanzibari kwa Watanganyika, Sheria kali ziwekwe kudhibiti uingiaji wa Wazanzibari Tanganyika

    Kila mahali wapo mashuhuda waliowaona na kuwasikia wauaji wakisema wazi kuwa eti walikuwa wanafanya hayo mauaji kulipiza kisadi kwa Watanganyika, kwa sababu polisi wa Tanganyika waliwaua Wazanzibari miaka ya huko nyuma. Kama hali ni hiyo, na kama hawa watu wana chuki za kisasi kwa Watanganyika...
  12. F

    Sababu ya polisi wastaafu wawili kuuawa Kinyerezi, wauaji wote walikuwa wazanzibari. Kwenye clip kuna mwarabu

    Ule usiku watu waliouawa pale Kinyerezi, Kweli kulikuwa na uvunjaji wa duka na wakazi wa hilo eneo la Kinyerezi wakapiga simu, wakaja askari waliovalia kiraia. Mazingira ya hao plainclothes police kuja haikufahamika. Nadharia ambayo ilienea kwa kasi ni kuwa polisi walipopokea simu hiyo, wale...
  13. Just Pray

    Huyu Profesa Kabudi aliyesema anawaogopa watanganyika kuliko wazanzibari, akikutana na wa sasa watapigana sana

    Profesa Palamagamba Kabudi aliwa kusema, "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna hiyo wakija kugeuka ni wabaya"
  14. Mzalendo Uchwara

    Ilikuwa ni kisasi cha wazanzibari kwa watanganyika dhidi ya yale mauji ya 2001 kule Pemba

    Wanzanzibari akiwepo 'mama yenu' wanacho kinyongo cha muda mrefu na watanganyika. Kuanzia mauaji yaliyoambatana na mapinduzi matukufu (mpaka wajomba wakakimbilia Oman), muungano, kifo cha Karume, issue ya Jumbe, na hususani yale mauaji ya wapemba baada ya uchaguzi wa mwaka 2000. Hayati Mkapa...
  15. S

    Hili la Mange Kimambi kuwahusisha Wazanzibari na mauaji ya bara limenihuzinisha sana

    Kwanza nitoe angalizo mimi sio mwanachama wa chama chochote na hususan Chama tawala. Kwangu mimi nafahamu fika wanasiasa wengi wa kiafrika ni wachumia matumbo tu. Tukija kwenye mada , Leo mange kimambi amepost habari kua askari wa kizanzibari wamefanya mauaji ya cold blood. Siungi mkono...
  16. S

    Hivi wangekuwa ni wazanzibari, angewaua kiasi hiki?

    Damu ni nzito kuliko maji. Msiba wa jirani ni kelele. Kichaa anachekesha akiwa siyo nduguyo. Harufu ya kinyesi chako haikusababishii kichefuchefu. Ndipo sasa ninauliza, walioandamana wangekuwa ni wazanzibari, angeliwaua kiasi hiki??
  17. mtanzania in exile

    Sababu gani Wazanzibari wako kimya juu ya fujo za Tanzania bara?

    Jawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea. Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa...
  18. M

    PostGE2025 Wazanzibari akiwemo Fatma Karume wapo kimya kwa yaliyotukuta, Je hiki ni kisasi cha mauaji ya ndugu zao ?

    Mwaka 2001 wazazibari wengi walipoteza maisha kwa kufyatuliwa risasi na hata kuwatia vilema kufuatia maandamano ya amani yaliyogeuzwa uwanja wa machinjio. Kosa lao kubwa lilikuwa kuandamana kupinga matokea ya uchaguzi wa mwaka 2000, kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mazombi Kadhalika...
  19. Hance Mtanashati

    Tanzania ni yetu sote, mbona ndugu zetu wazanzibari hawapazi sauti kwa yanayoendelea nchini?

    Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia. Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo akazaliwa mtoto Tanzania. Ila cha ajabu yanayoendelea hapa Tanganyika hofu kutanda kila mahali...
  20. The Father of All

    Natabiri kuwa mwendazake Ali Hassan Mwinyi na Samia Suluhu Hassan watakuwa wazanzibari wa kwanza na mwisho kutawala Tanzania

    Kwa wanaojua kilichotokea baada ya Mzee Benjamin Mkapa kumaliza ngwe yake, watakubaliana nami, kuwa, kwa mazoea, mrithi wake alipaswa kutoka Visiwani. Hata hivyo, haikuwa. Why? Jibu ni rahisi kuwa wanamtandao hawakutaka nafasi yao ichukuliwe na mwingine. Baada ya Kikwete, wanamtandao...
Back
Top Bottom