The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
https://www.washingtonpost.com/world/2026/01/15/tanzania-samia-suluhu-hassan-internet-shutdown-october-election/21b8d8a0-f24f-11f0-a4dc-effc74cb25af_story.html
Huyu Samia ni kiumbe wa ajabu sana.
Katika busara zake kaona ni sahihi kuwaomba radhi mabalozi kwa kuzima intaneti wakati ule wauaji...
Nchi imekuwa ya wapumbavu sana hii najua hali wanayopitia watanzania wazalendo simu za vitisho haziishi kuna watu wameajiriwa kutuma hizo simu.
Lazima tujiulize hivi sisi ni malofa na majimga kiasi gani ni kwanini tunakuwa mabichwa bungo hivi ? yote haya ni kwaajili ya kumfurahisha mtu mmoja...
Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli.
Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusi...
Wametia aibu kwa kuhusika kusaport hila , kushiriki chaguzi fake sasa watageuka na kuwa NCCR Mageuzi wangeweza kabisa kuwa chama kizuri lakini waliweka njaa mbele
Maana na nyinyi ni kama wendawazimu! Hamjui mnalenga nini, matumbo yenu au usitawi wa taifa!
Zito nenda kajaribu maana na wewe akili zako unaziweza mwenyewe na masheikh wenzako.
Amen.
Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara.
Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kuadhimisha Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2025 hakukufanana na dhana ya uhuru kwa Watanzania kwani Watanzania hawakuwa huru
Kupitia taarifa rasmi ya Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama hicho, Isihaka Mchinjita, ACT imesema hatua zilizochukuliwa na serikali...
Ninaandika nikiwa na furaha iliyopitiliza. Mimi na wazalendo wengine tumefurahishwa mno na kitendo cha META kufungia accounts zote za wanaharakati uchwara wanaochochea machafuko nchini. Mark Zuckerberg na kampuni yake wamefanya kitu sahihi katika wakati sahihi.
Mange na Maria ni maadui wa hili...
Hivi ni kweli kabisa?
Inadhaniwa watu zaidi ya ten thousand wamekufa, ni kwa ajiri tu ya watu wachache waendelee kuwa na vyeo vyao?
Na sasa nchi yetu imetengwa na kufungiwa misaada n.k, bado ni kwa ajiri ya mtu mmoja?
Embu piga picha, baada ya hapa, maisha ya watu yatakuwaje? Ni kwa sababu...
Wananchama wa ACT Wazalendo jimbo la Kigoma Mjini wamefungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Baba Levo, moja ya sababu ya kufungua shauri hilo ni ubabaishaji wa kutangaza matokeo mara mbili.
Awali Baba Levo alitangazwa kupata kura 35, 725 naZitto Kabwe kupata kura 16,619, baadaye baada...
Wakati huu kumezuka rundo la maandiko, Nasaha kutoka kwa watu mbalimbali Nchini Tanzania Ma Prof, watu wenye nyadhifa mbalimbali za Juu na ndogondogo.
Wote hawa wanasemea Taifa kuliunganisha na wanakua wakali na kusema wale wanaosema D9 na kusema serikali iwajibishwe juu ya kile kilichotokea...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha ACT Wazalendo kinapinga na kinakataa kabisa Tume iliyotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata iliyotangazwa leo.
Tume hii inayojumuisha wajumbe wote kutoka ndani ya Tanzania, wakiwemo maafisa wa serikali...
Nchi ikiwa imegawanyika..na raia wengi hawapendi mambo yanavyokwenda..na.wanakandamizwa..je? Haiwezi kua mwanya mzuri kwa maadui wa nje kupitia Humohumo kupitia kwa wananchi kuja kuingia nchi yetu kiulainiii kabisa huku wakipata sapoti ya wananchi??
Wa Tanzania hatuna mambo mengi..wala...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
Najaribu tu kuwazà, Kwa Hawa Vijana wenye Mzuka, wanaofurahia kuzika mwenzao, hawatishiki Tena na Kifo.
Ongezea Silaha za Akina Abdul wanazonunua kwa Magendo .
Daah wasengee wa CCM wameamua kulipasua Taifa Kwa Gharama ya Damu !!.
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/
Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
ccm
hii
icc
katika
kimataifa
kutuma
mahakama
mahakama ya icc
mauwaji
naomba
serikali
serikali ya ccm
tuendelee
tumia
ushahidi
wahuni
watanganyika
watanzania
wazalendo
wote
Damu zenu wa Tanganyika wazalendo zitawasumbua watawala na wote walio husika katika hili mmekufa kishujaaa mkilipigania Taifa lenu la Tanganyika mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa Mbingu na Ardhi mlinzi wa wote Bariki vijana hawa wa kitanganyika walio mwagwa damu na...
Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa...
This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano