wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tukisema ndani ya CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA kuna mfumo unaonufaisha wachache na CCM, tunakosea?

    Binafsi ninaweza nisiwe mwanasiasa mzuri lakini nionavyo mimi ni kwamba ACT na CHADEMA wananufaika na uwepo wa CCM, na CCM wananufaika na uwepo wa hawa ACT, CHADEMA. Sasa kwa mfumo kama huu inamaana CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingine mingi Sikatai kama huku CHADEMA na ACT...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Kuliko ibaki CCM pekee, kapigeni kura za hapana

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amezungumza kwa msisitizo kuhusu mapambano ya chama hicho kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika kwa haki, huku akiwataka wananchi wa kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kuchagua viongozi wanaowajibika...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Songwe: Ado Shaibu wa ACT Wazalendo atangaza kufuta uanachama viongozi wote wasaliti ndani ya chama hicho

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumzia "Wasaliti" wa chama hicho watakavyofutiwa uanachama Ado amesema kuwa viongozi wote kutoka ACT Wazalendo ambao watakandamiza wananchi watafutiwa uanachama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Utendaji wa Mbunge Kimei wamng'oa katibu wa ACT Wazalendo Jimbo la Vunjo

    Kasi ya utendaji ya Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei katika utekelezaji wa majukumu yake unatajwa kuwavutia wengi akiwemo aliyekua mgombea ubunge Jimbo la Vunjo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambaye pia ni Katibu wa ACT WAZALENDO katika Jimbo hilo Ndg Idd Mfinanga...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Polisi kuvaa fulana za ACT Wazalendo ?

    Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu. Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo kufungua kesi Mahakamani kupinga Wagombea wao kuenguliwa, ili uchaguzi urudiwe

  7. J

    JamiiForums Tanzania Tuwe wazalendo kiafya na kiakili

    Hivi wakuu ni muhimu namna gani mtu kufanya mazoezi ya kujiweka fit kimwili na kiakili. Sasa kwanini imejengeka kifikra kuwa mazoezi mfano ya karate, judo, kuwa eti ni mazoezi ya kigaidi, kuna sheria imetungwa kuwa hayo mazoezi au iyo michezo ni ya kigaidi? Kwaiyo watu bora wawe laini laini...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Agenda ya CCM ni kuikuza ACT- Wazalendo na kuidogosha CHADEMA

    Imeshangaza nilivosikia katibu wa CCM Nchimbi akisema Chama chenye wagombea wengi cha upinzani ni ACT kwamba kina wagombea Zaid ya 3000 Me nimetoka Ngara hadi Dar sijaona mtaa wala Kijiji chenye mgombea wa ACT ACT ni CCM B ACT akishinda ni CCM imeshinda Na Sasa ACT watapewa mitaa kadhaa ili...
  9. Amo1

    JamiiForums Tanzania Watanzania inabidi tuwe wazalendo tuipende nchi yetu kwanza halafu vyama baadae

    Wakuu Ipo siku sisi kama watanzania tutaruhusu nchi yetu iingie katika kipindi kigumu zaidi Cha kiutawala ambapo tutajikuta tumeruhusu kutawaliwa na mtu asie mtanzania halisi bila sisi kujijua kwa sababu tunaonekana hatuna uzalendo kabisa. Imefikia wakati watu Wanapenda vyama kuliko kuipenda...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Wagombea wetu wote warejeshwe, tuendeshe mambo kwa misingi ya haki

    Tumepokea taarifa ya Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuongeza muda wa rufani za wagombea na kuelekeza wagombea wetu walioondolewa kwa sababu ya ngazi ya udhamini warejeshwe. Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 09 Novemba, 2024 Kiongozi wa Chama chetu alitoa rai kwa Rais wa Jamhuri ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Botwana wazalendo wanaongoza sisi wapigaji ndiyo viongozi

    Wenzetu wanagombea kwa uzalendo na kuleta maendeleo. Tanzania watu wanagombea kulinda malizao na kujitajirisha. Tusishangae Raisi mzima ana unga mkono wizi wa mwenyekiti wa kijiji kwenye nchi yake! https://youtu.be/946l-x6Szns?si=F5wAQEHqqy6aEGT-
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Wagombea wetu 51,423 wameenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha ACT Wazalendo kinatoa Taarifa kwa Umma kuwa wagombea wake 51423 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama ngazi ya Kata. Wagombea wetu waliogongewa mihuri ya Kata ambayo ndio ngazi ya udhamini ya ACT Wazalendo wameenguliwa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arumeru: Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Seela Sing’isi waenguliwa kwa kuto dhaminiwa na kutokujiandikisha orodha ya Wapiga Kura

    Wakuu Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X ameanika taarifa hii kutoka huko Mkoani wa Arusha "Arumeru Mashariki Wagombea wa ACT Wazalendo katika Kata ya Seela Sing’isi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kigogo ACT Wazalendo afariki dunia

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Yasin Mohamed Gumsani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 4, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya kifo chake imetolewa na mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman, imeeleza kuwa Gumsani...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  16. Cute Wife

  17. Cute Wife

  18. Cute Wife

  19. Cute Wife

  20. Cute Wife

Back
Top Bottom