wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghayo El Yehudi

    Kwa nini Hitler aliwachukia sana Wayahudi na kuwauwa kiasi kile?

    Mzuka wana jamvi ...? Mpaka Leo najiuliza mwanadamu inakuwaje mpaka unapata ghazabu za kutaka kuua Jamii nzima na kuwafuta mbali kabisa bila kujali mtoto , Mzee , kijana , Mwanamke nk ? Inaelekea Hilter Kuna jambo Wayahudi walimfanyia mpaka kuwa na moyo huo je , ni jambo lipi ? Na hakuona...
  2. Mi mi

    Marekani ni silaha na walioshika silaha ni Israel na Wayahudi, bunge la ulaya wacharukiana

    Mbunge katika bunge la ulaya kaibua hoja kuwa taifa la Marekani ni silaha na walioshika silaha hiyo ni Israel na Wayahudi kauli hiyo imezua mtafaruko katika bunge la ulaya. “Marekani ni bunduki, Wayahudi wanaishika”: Machafuko katika Umoja wa Ulaya huku Mbunge wa Ulaya akituhumiwa kwa chuki...
  3. M

    Je, unajua wayahudi wamechangia pakubwa maendeleo ya technolojia urusi?

    Kumbe sio usa tu pekee imesaidiwa na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hata urusi pia ambayo tunaaminishwa itasaidia iran imesaidia pakubwa sana na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hapa kuna list ya wanasayansi wakubwa wa urusi wenye asili ya kiyahudi na gunduzi zao 1. Andrei...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Wayahudi mara nyingi hawawezi kukuacha adui yao ukaingia kaburini kwa amani. Lazima wakuue. Hiyo ni Kanuni ya Mfalme Daudi

    WAYAHUDI MARA NYINGI HAWAWEZI KUKUACHA ADUI YAO UKAINGIA KABURINI KWA AMANI. LAZIMA WAKUUE. HIYO NI KANUNI YA MFALME DAUDI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Moja ya Kanuni za Wayahudi walizorithi kwa wazee wao. Ni auae kwa upanga sharti afe kwa upanga. Jino kwa jino ni kanuni ya kiyahudi...
  5. Stuxnet

    Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

    Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu: Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati...
  6. bahati93

    Wanazi juu ya Russia na Wayahudi

    Nawaza tu kwa sauti, msije sema mimi mnazi ila kwa yanayoendelea kipindi hiki huko Iran na Ukraine. Naweza sema Manazi wa Germany walikuwa mbele sana ya muda. Haya majitu mawili hapa Duniani Israel na Russia yamekuwa mwiba mkali sana kwa wapenda Haki, uovu wao hadharani umechoma Mioyo ya wengi...
  7. Mohamed Said

    Wayahudi Hawakuogopa Kumuua Yesu Kristo Mtoto wa Mungu Wataogopa Kumuua Khamenei?

    https://youtu.be/II2yPs0OKOs?si=-69y8t4mAwPS6JVN
  8. Mohamed Said

    Wayahudi Waliohifadhiwa Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili Vya Dunia Wasiuliwe na Hitler

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8
  9. Mohamed Said

    Wayahudi Waliohifadhiwa Ndani ya Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8?si=vmE4Ph5dSZivJ_JO
  10. 6 Pack

    Trump kawadhalilisha wayahudi wa Tandale

    Niaje waungwana Mimi ni miongoni mwa watu wachache wenye uwezo wa kuongea ukweli, hata kama ukweli huo utakubaliwa na wachache na kukataliwa na wengi. Kwa wakongwe wa jukwaa hili la mambo ya kimataifa haswa kuhusu mambo ya Iran, Israel, Marekani nk nafikiri mnanifahamu vizuri kwenye uchambuzi...
  11. M

    Wayahudi ndio watu wanaoongoza kwa ukaidi hapa duniani licha ya kuwa Mungu alishawabainishia hoja zilizo wazi kabisa. Walimdai Musa awaoneshe Mungu

    Mayahudi ni moja ya jamii ya watu waliofadhiliwa sana na Mungu huko zamani kwasababu walipelekewa mitume mingi sana ila wengi wao waliwakanusha na hata kufikia kuwaua. Wakati Mtume Muhammad (sala na amani ziwe juu yake) alipohamia katika mji wa Madinah kutoka makkah alikuta jamii kubwa sana ya...
  12. Castle_Lite

    Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

    Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine. Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina Ilitokea mwaka 622 BK. Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK. Akiwa na umri wa miaka 40 Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia Tukio lilitokea pangoni...
  13. Echolima1

    Leo ni Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari ya Wayahudi

    Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa'ar Atoa Hotuba katika Sherehe ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari huko Astana, Kazakhstan Waziri wa Mambo ya Nje wa Kazakhstan Yermek Kosherbayev pia ametoa hotuba. Hotuba Kamili ya Waziri Sa'ar: "Ninasimama hapa kama mwakilishi wa Wayahudi...
  14. loose Nut

    Wayahudi wapokelewa kwa shangwe Somali Land

    Jopo la wayahudi walioalikwa kuzuru wapokelewa kwa shangwe na Nderemo katika mji mkuu wa Somali Land Hargeisa kwa shangwe na Nderemo huku bendera za taifa teule na Somali Land zikipeperushwa kwa furaha. Kitendo hicho cha kushangaza kimeikasirisha wasomali wengi na ulimwengu wa Uislamu. Somali...
  15. blogger

    Kwani Wayahudi waliikosea nini Dunia!.?

    Hawa Wayahudi aka Jews waliuawa sana na Hitler. Mamia elfuu.... Wapalestina wanaua Wayahudi mpaka Leo. Jana wameuawa huko Australia, Yani Baba na Mtoto wake wamevamia sherehe zao na kuuwa 15 wamekufa. Shida ni nini. Kabila hili la Yesu Kristo.? Tafadhali
  16. M

    Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

    Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na kufyatua risasi kwa watu wa jamii ya Kiyahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, sikukuu ya kidini ya...
  17. Chizi Maarifa

    Mussa, Daudi, Yesu na Wayahudi wengine wengi wa kwenye Biblia walikuwa Waislamu!

    Ad-Darr” (ٱلضَّارّ) ni moja ya majina 99 ya Allah (Asmaul Husna). 🔹 Maana yake: “Yule Mwenye Kudhuru” au “Mleta Madhara.”
  18. hamis77

    Kwanini tuwachukie wayahudi?

    WAISLAMU WANATAKA TUWACHUKIE WAYAHUDI Wanatulazimisha Wakristo tuwachukie Wayahudi na tuwaue kama wao walivyoamrishwa kuwaua. Maana riwaya zao zinawaambia kuwa Kiyama hakiwezi kuja hadi Waislamu wawaue Wayahudi wote duniani. Muislamu anayefuata dini kamwe hawezi kuwapenda Wayahudi. Ndio maana...
  19. hamis77

    Wayahudi kudhibiti eneo kubwa la Gaza huku Wapalestina wakibakia na kipande kidogo

    Angalia ramani Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza makubaliano ya awamu ya kwanza ya kusitisha mapigano kati ya Israeli na Hamas, yanayojumuisha kubadilishana mateka na Israeli kurudisha majeshi yake nyuma hadi kwenye eneo linaloitwa “mstari wa manjano”. Katika awamu hii, Hamas itawaachia...
  20. Mhaya

    Kwa Nini Yesu Hachukuliwi Kama Nabii kwa Wayahudi?

    Yesu alizaliwa Myahudi, aliishi katika mila na desturi za Uyahudi, na alitumia maandiko ya Torati na manabii waliomtangulia kama msingi wa mafundisho yake. Hata hivyo, Wayahudi hawakumkubali kuwa nabii wala Masihi. Swali kubwa ni kwa nini? 1. Kigezo cha Nabii kwa Uyahudi Katika Uyahudi, nabii...
Back
Top Bottom