wawekezaji

  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  2. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aendelea kuthibitisha kwamba anawajali wakulima, atoa onyo kwa wawekezaji wa zao la chai Rungwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi. Akizungumzia uwekezaji katika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazidi kuvutia wawekezaji: Thamani ya Uwekezaji yapaa

    Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu kipya cha uwekezaji barani Afrika, kutokana na mazingira bora ya biashara na sera madhubuti zinazotekelezwa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. 🔹 Thamani ya Uwekezaji: Rekodi ya Kihistoria Kati ya mwaka 2018 – 2021...
  4. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Kampuni zilizowapa wawekezaji ongezeko kubwa la mtaji kwenye soko la hisa ndani ya miezi minane kutoka January 2025

    Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako. Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ni mkarimu kwa wawekezaji

    RAIS SAMIA SULUHU NI MKARIMU KWA WAWEKEZAJI Katika zama hizi za ushindani wa kiuchumi, uongozi wa Rais Samia umejidhihirisha kuwa daraja la matumaini kwa wawekezaji kutoka pande zote za dunia. Kupitia diplomasia ya uchumi, Tanzania imefungua milango kwa uwekezaji wa haki, usawa, na faida kwa...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ina uhaba wa wawekezaji?

    Wakuu, kwa maeneo niliyotembea hapa Tanzania naona kama uwekezaji upo haba sana, namaanisha uwekezaji wa makampuni makubwa. Inaonekana miji yetu inakua kwa kasi ila maghorofa hamna, mfano ukisikia mji umekua kwa kasi basi jua tu ni wakazi ndio wameongezeka na wanaanza kufungua frame na kujenga...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Jopo la wawekezaji kutoka India kufungua fursa za kiuchumi Zanzibar

    JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI ZANZIBAR
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasira: Ashauri wawekezaji wadogo, wakati na wakubwa wote watazamwe sawa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishauri serikali kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa karibu na wa wawekezaji wote wakiwemo wakubwa, wa kati na wa chini ili kuongeza kazi ya kukuza uchumi. Wasira...
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kwamba Serikali inaondoa kodi kwenye Energy Drinks? Hapa kuna watu wanalengwa wafadike huu mwaka wa uchaguzi

    Hizi kodi zinalenga kuwafaidisha hawa watu na huenda wamekamuliwa sana pesa za kampeni, hasa GSM, AZAM,MO na JAMBO hawa ndio target na wala hakuna cha kuvutia wawekezaji zaidi. Kuna sanaa wanafanya hawa serikali na wanahadaa kwamba ni kuvutia wawekezaji ilihali wanajua kabida hao giant ndio...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge waelewe Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania

    Wakati Watanzania sio wawekezaji wakubwa Kenya . Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania na wanunuzi wakubwa na nafaka zetu za kilimo. Cha ajabu wabunge badala ya kuweka nchi mbele wanajiingiza kwenye kiki na uchawa ambao hauna msingi. Wamesahau kabisa ni sawa na kuanza kumtukana mteja wako...
  11. W

    JamiiForums Tanzania WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI WAKARIBISHWA MTWARA

    Wawekezaji katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda. Hayo yamesemwa na Mhandisi wa Migodi Mwandamizi, Michael Mtatiro alipokuwa akizungumza kwa niaba ya...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali yangu itawawezesha wavuvi kununua meli kubwa za kisasa za kuvua samaki pwani ya bahari ya hindi

    Hii ni kuhakikisha tunanufaika na pwani ya bahari ya indi tofauti na sasa hatunufaiki nayo
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi

    Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi cha bilioni 20.15 kimetumika kwa ajili ya miradi mbalimbali ya CSR kwa Halmashauri na miji inayozunguka migodi
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi fursa za biashara na Wawekezaji Vietnam, waelezewa fursa za ujenzi, uvuvi wa kisasa, kilimo na kilimo cha korosho

    Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa faida umeongeza wawekezaji

    MFUKO WA FAIDA UMEONGEZA WAWEKEZAJI
  16. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kwa akili hizi za Under graduae wa Tanzania si bure wawekezaji wanakuja na wafanya kazi wao

    Si bure hata Watanzania wenyewe wanaamua kusaka wafanya kazi Kenya, Uganda na hata Rwanda, mwanzo sikuwa nawaelewa ila kwa sasa nawaelewa sana na nawaunga mkono sana. Ni mwekezaji fala atakuja kuajiri hawa Gradaute ambao kutwa nzima vyuoni wanawaza uchawa tu wanashikiwa akili, yaani hakuna...
  17. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Shamba boy nimekosa site wawekezaji mnakaribishwa tufanye kazi

    Habari Wana Tanzania Salamu kutoka Tukuyu -Mbeya Msimu huu wa masika nimejikuta Sina site ya kufanya kazi na mwaka ndo unayoyoma hivo😅 Kama unahitaji shamba boy nipo hapa Naweza na Nina uzoefu ,kulima,kutunza mifugo,bustani n.k Uwaminifu ndio hazina yangu Nina 24 yld_ me., 0756122848
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Deodatus Mwanyika: Serikali Iwalinde Wananchi Dhidi ya Wawekezaji Kwenye Ajira

    MBUNGE DEODATUS MWANYIKA: SERIKALI IWALINDE WANANCHI DHIDI YA WAWEKEZAJI KWENYE AJIRA "Watu wa Jimbo la Njombe Mjini ni mashuhuda wa mafanikio makubwa ya kuwasogezea wananchi huduma mbalimbali ya kuboresha miundombinu, Madarasa, Usafiri wa Reli, Usafiri wa Anga. Tunamshukuru sana Mhe Rais Samia...
  19. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Chawa wa wawekezaji ni wasaliti kwa wazawa!

    Kuna Kampuni ya Mawasiliano ya simu imejenga MNARA kwenye eneo langu lililopimwa, mjini,Bandari Salama,Wanatumia eneo la 500 Sqm, Kwa malipo ya laki tatu, mkataba ulisainiwa miaka nane ya nyuma, Kimefika kipindi Cha kuhuisha Mkataba,Waswahili wanahakikisha huonani na Mzungu mwenye Kampuni...
  20. Hharyson

    JamiiForums Tanzania WALE WAWEKEZAJI WA VILLA TUKUTANE HAPA +255624004650

    AIRBNB DESIGN VILLA CONTAIN 24 UNITS (EACH LOUNGE + BEDROOM)
Back
Top Bottom