Mfuko wa faida umeongeza wawekezaji

Mfuko wa faida umeongeza wawekezaji

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
MFUKO WA FAIDA UMEONGEZA WAWEKEZAJI

Mfuko wa umekua na kufikia thamani halisi ya shilingi bilioni 36.6

Ni ukuaji wa asilimia 91 ya lengo la shilingi bilioni 40.

Wawekezaji wameongezeka kufikia 7,553 kutoka 4,160

Ni ongezeko la asilimia 82 la wawekezaji

Mfuko wa Faida ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja ulioanzishwa na Watumishi Housing Investment (WHI) ambayo ni Taasisi ya Umma chini ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR MUUUB)
 

Attachments

  • 20250429_132619.jpg
    20250429_132619.jpg
    202.2 KB · Views: 36
Back
Top Bottom