wawekezaji

  1. A

    KERO Mifumo ya kidigitali ya DSE inaongeza vikwazo kwa wawekezaji badala ya kupunguza

    Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza urasimu na haina mantiki yoyote kwenye digitalization. Wajitahidi kuongeza urahisi wa wawekezaji...
  2. Roving Journalist

    Balozi Matinyi akutana na wawekezaji wa Sweden, aelezea fursa za uwekezaji

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha Wafanyabiashara wa Sweden na Afrika, kilichofanyika tarehe 6 Februari, 2026...
  3. Scott junior

    Wawekezaji wa ubashiri

    Nimeambiwa hawa ni WAWEKEZAJI/WAJASILIAMALI wako kwa Ofisi wanapambana na Muhindi/Kanjibai, ila hii kazi nayo nzito sana, utsema wako Prepo wanajiandaa na pepa 😂😂😂😂😂😂😂😂
  4. hsnaturalfertility

    Ni online platforms gani zinaweza kutusaidia kupata wawekezaji kutoka nje ?

    Ndugu zangu heri ya mwaka, Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa. Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani ambayo nikiwekeza muda na hata pesa (kama ni ya kulipia) naweza kupata wawekezaji katika sekta...
  5. X

    Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

    Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani. The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
  6. Mstahiki Mea

    Wawekezaji unaifahamu Opera Minpay

    Opera min nikampuni kubwa ya matangazo na habari kama ni mtumiaji wa simu kwa muda mrefu utakuwa umewahi kuwa na app ya opera , Opera min pay ni app yao ya kutuma na kupokea pesa kama ilivyo binance au webmoney Katika kuchungulia fursa nimegundua kwa sasa wana fursa mbili. 1. Wanalipa mtu...
  7. Genius Man

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  8. Rashda Zunde

    GE2025 Rais Samia aendelea kuthibitisha kwamba anawajali wakulima, atoa onyo kwa wawekezaji wa zao la chai Rungwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi. Akizungumzia uwekezaji katika...
  9. S

    Tanzania yazidi kuvutia wawekezaji: Thamani ya Uwekezaji yapaa

    Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu kipya cha uwekezaji barani Afrika, kutokana na mazingira bora ya biashara na sera madhubuti zinazotekelezwa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. 🔹 Thamani ya Uwekezaji: Rekodi ya Kihistoria Kati ya mwaka 2018 – 2021...
  10. Godfrey- denis

    Kampuni zilizowapa wawekezaji ongezeko kubwa la mtaji kwenye soko la hisa ndani ya miezi minane kutoka January 2025

    Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako. Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
  11. Ojuolegbha

    Rais Samia Suluhu ni mkarimu kwa wawekezaji

    RAIS SAMIA SULUHU NI MKARIMU KWA WAWEKEZAJI Katika zama hizi za ushindani wa kiuchumi, uongozi wa Rais Samia umejidhihirisha kuwa daraja la matumaini kwa wawekezaji kutoka pande zote za dunia. Kupitia diplomasia ya uchumi, Tanzania imefungua milango kwa uwekezaji wa haki, usawa, na faida kwa...
  12. Traxtion

    Je, Tanzania ina uhaba wa wawekezaji?

    Wakuu, kwa maeneo niliyotembea hapa Tanzania naona kama uwekezaji upo haba sana, namaanisha uwekezaji wa makampuni makubwa. Inaonekana miji yetu inakua kwa kasi ila maghorofa hamna, mfano ukisikia mji umekua kwa kasi basi jua tu ni wakazi ndio wameongezeka na wanaanza kufungua frame na kujenga...
  13. Ojuolegbha

    Jopo la wawekezaji kutoka India kufungua fursa za kiuchumi Zanzibar

    JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI ZANZIBAR
  14. Roving Journalist

    Wasira: Ashauri wawekezaji wadogo, wakati na wakubwa wote watazamwe sawa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishauri serikali kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa karibu na wa wawekezaji wote wakiwemo wakubwa, wa kati na wa chini ili kuongeza kazi ya kukuza uchumi. Wasira...
  15. BLACK MOVEMENT

    Kwamba Serikali inaondoa kodi kwenye Energy Drinks? Hapa kuna watu wanalengwa wafadike huu mwaka wa uchaguzi

    Hizi kodi zinalenga kuwafaidisha hawa watu na huenda wamekamuliwa sana pesa za kampeni, hasa GSM, AZAM,MO na JAMBO hawa ndio target na wala hakuna cha kuvutia wawekezaji zaidi. Kuna sanaa wanafanya hawa serikali na wanahadaa kwamba ni kuvutia wawekezaji ilihali wanajua kabida hao giant ndio...
  16. K

    Wabunge waelewe Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania

    Wakati Watanzania sio wawekezaji wakubwa Kenya . Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania na wanunuzi wakubwa na nafaka zetu za kilimo. Cha ajabu wabunge badala ya kuweka nchi mbele wanajiingiza kwenye kiki na uchawa ambao hauna msingi. Wamesahau kabisa ni sawa na kuanza kumtukana mteja wako...
  17. W

    WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI WAKARIBISHWA MTWARA

    Wawekezaji katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda. Hayo yamesemwa na Mhandisi wa Migodi Mwandamizi, Michael Mtatiro alipokuwa akizungumza kwa niaba ya...
  18. Dennis Robert Shughuru

    Serikali yangu itawawezesha wavuvi kununua meli kubwa za kisasa za kuvua samaki pwani ya bahari ya hindi

    Hii ni kuhakikisha tunanufaika na pwani ya bahari ya indi tofauti na sasa hatunufaiki nayo
  19. Ojuolegbha

    Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi

    Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi cha bilioni 20.15 kimetumika kwa ajili ya miradi mbalimbali ya CSR kwa Halmashauri na miji inayozunguka migodi
  20. Roving Journalist

    Tanzania yanadi fursa za biashara na Wawekezaji Vietnam, waelezewa fursa za ujenzi, uvuvi wa kisasa, kilimo na kilimo cha korosho

    Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji...
Back
Top Bottom