waumini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwa nini waumini wa dini huwa wanafanya dua, sala au maombi?

    Maombi, Dua na sala vina matokeo yoyote au vinabadilisha chochote katika maisha ya binadamu muamini mungu? Kwa nini binadamu wasiache tu mapenzi/mipango ya mungu au kudra zake kutimia tu kama alivyopanga kwa sababu tunaambiwa kila jambo alishalipanga?
  2. DuaZaMama

    Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana

    Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
  3. H

    Maaskofu, Mapadre, Hawatayumbishwa na Waumini Kama Ludovivk, Walioamua Kumtumikia Shetani

    Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini na wafuasi wa Kristo na Kanisa. Wengine wapo makanisani kwaajili ya kulivuruga na hata kuliangamiza...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  5. THE BIG SHOW

    Kama waumini kupeleka malalamiko yao Vatican ni ulofa, njaa na upumbavu, kwanini Kanisa Katoliki linahangaika kujisafisha?

    Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Tunakoelekea: Kama viongozi wa dini hawasikilizwi na waumini wao, basi viongozi wa kisiasa wajiandae kisaikolojia

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO? 2. Jambo Hilo ndilo...
  7. W

    Baadhi ya waumini waliojitambulisha kama wakatoliki wamemshukia Askofu Ruwai'ch baada ya kauli yake ya 'lofa'

    Wakuu kunazidi kuchangamka Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu Ruwai'ch dhidi ya wale waliojitokeza na kusema wanataka kumshtaki Padre Kitima. Mmoja wa watu hao...
  8. Yoda

    Masheikh wanaokataza waumini wao Waislamu kusherehekea Christmas katika nchi kama Tanzania hawafikiri vyema na wana matatizo.

    Sikukuu ya Christmas mwaka huu imekuja na jambo la ajabu na la hovyo sana la masheikh wengi kuharamisha katika umma kupitia vyombo vya habari kwa ukubwa sana waumini wa Kiislamu kutoshiriki Christmas na Wakristo, hawa masheikh kwa vyovyote vile sidhani kama wanaelewa wanachokifanya na kwa hakika...
  9. M

    Ujerumani: Makanisa yabadilishwa matumizi baada ya kukosa waumini

    Nchini Ujerumani, idadi ya Wakristo inaendelea kupungua kwa kiwango kikubwa, hali inayosababisha makanisa mengi kubaki bila kutumiwa. Hivi karibuni, Kanisa la Mtakatifu Anna (St. Anna) lilijaa waumini kwa mara ya mwisho kabisa. Kwaya iliimba huku kinanda kidogo kikitoa hamasa wakati wa uimbaji...
  10. kingphisher

    Waumini wa Mwamposa wakichota udongo uliokombolewa

    Waumini maelfu wakichota udongo uliokombolewa na Mtume Boniphace Mwamposa hapo jana Kawe kwenye Mkesha wa kumaliza mwaka.
  11. Ritz

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) mnawambia nini waumini wenu kuhusu maandamano yaliyopangwa siku ya Christmas?

    Wanaukumbi. Mtu anaewaminisha mkaandamane siku ya X-Mass anawaita anadhihaki Jeshi Mnadhani Jeshi halioni hizo post za wanaharakati Nendeni mkaliwe vichwa muje muitwe mashujaa huku maiti zenu zikipostiwa na Mange na Maria Sarungi, cha kufurahisha haya maandamano yote TEC wameyapa baraka...
  12. THE BIG SHOW

    Kanisa Katoliki, wafu mnaowaombea na walioharibiwa, kuibiwa na kuvunjiwa mali zao, wote ni waumini wenu

    Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025. Well, how you do anything is how you do everything...
  13. Mr Why

    Ndugu zangu Waislamu na Waumini wa Dini nyinginezo zote tuwe na Umoja na Upendo, Matendo maovu aliyofanyiwa Sheikh Njuki yasijirudie tena

    Ndugu zangu Waislamu na Waumini wa Dini nyinginezo zote tuwe na Umoja na Upendo, Matendo maovu aliyofanyiwa Sheikh Njuki yasijirudie tena Nguzo kuu ya kudhihirisha wema na utu pamoja na ukomavu wa binadamu ni Msamaha, Upendo na Mshikamano Kamwe yeyote yule asifanye uovu wa kumtendea mwenzake...
  14. Mr Why

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira na huzuni

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira, huzuni na mshangao kwa madai ya kuwa Ibada ile ilijaa mahubiri yanayokinzana na kanuni za Kiislamu ikiwemo Haki pamoja na kuingiza Siasa na Maslahi ndani ya...
  15. U

    Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
  16. K

    Naamini Viongozi wote huwa wanaenda kusali au kuswali,je haya matendo yenu mnayoyafanya huwa mnaonekana vipi na waumini?

    Nakumbuka siku zile kuna mtu alikaa kimya kwa utulivu huku akiombewa na Mchungaji Mwamposa,naamini hata huko msikitini huwa anaomba Vivyo hivyo tulimuona na kikweta naye akiwa kanisani ingawa hatujui kama aliombewa Hapa nataka kusema hakuna kitu kibaya kama kumdhihaki Mungu,najua watu wengi...
  17. F

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
  18. kavulata

    Tuwakomboe waumini wa kanisa la Gwajima

    Waumini wa kanisa la Gwajima ni watanzania wenzetu ambao wametekwa kiimani. Wanahitaji kukombolewa kutoka kwenye kadhia hii. Waumini hawa wanatumiwa kama vitega uchumi na ngao ya binadamu dhidi ya watu wajanja wanaofanikisha ajenda zao kupitia kwao. Taarifa zilizothibitishwa na DC Msando...
  19. Kijakazi

    DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

    persecution of Christians is real … Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo. Wengi wa waliouawa walikuwa waumini...
  20. Farolito

    Waumini wa Kilutheri naombeni mnisaidie kujibu maswali haya muhimu sana

    Shalom wakuu, Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya; 1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani ya Athanasio Mtakatifu(Quicunque vult) Je huyu Mtakatifu Athanasio ni nani na kwanini imani hii...
Back
Top Bottom