wauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa nini mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

    Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo. Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji? Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu? ==== Majibu kutoka kwa wadau
  3. JamiiForums Tanzania PICHA: Wauaji wa vijana kwenye maandamano wakijitapa mtandaoni

  4. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Msoganzila: Nchi inanuka, wauaji msipotubu damu hiyo itawalilia mpaka mnakufa

    Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo la Katoliki Musoma ameeleza kuwa Wananchi waliomba Uchaguzi wa amani lakini imekuwa tofauti watu wengi wamepoteza maisha mbaya zaidi hata wasio na hatia waliokuwa majumbani mwao na wengi kujeruhiwa Askofu Msonganzila ameongeza kuwa nchi inanuka imepakwa mavi...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Misimamo wetu ni ule ule hatutaki maridhiano na CCM wauaji

    Agenda ya Chama chakavu cha mauaji ni kuleta maridhiano baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 Kesho Chama chakavu cha mauaji kinaenda kumhidhinisha spika wa bunge na Waziri mkuu Tundu Lissu ataachiwa J5. DPP atafuta kesi Leo wamewaachia viongozi wa Chadema bila masharti ili kuonyesha...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Sababu ya polisi wastaafu wawili kuuawa Kinyerezi, wauaji wote walikuwa wazanzibari. Kwenye clip kuna mwarabu

    Ule usiku watu waliouawa pale Kinyerezi, Kweli kulikuwa na uvunjaji wa duka na wakazi wa hilo eneo la Kinyerezi wakapiga simu, wakaja askari waliovalia kiraia. Mazingira ya hao plainclothes police kuja haikufahamika. Nadharia ambayo ilienea kwa kasi ni kuwa polisi walipopokea simu hiyo, wale...
  9. JamiiForums Tanzania Ili Haki Itendeke, Sio Tuu Itendeke, Bali ni Lazima Ionekane Imetendeka!, Kama Tumewashitaki Waandamanaji, Pia Tuwashitaki na Wauaji!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili ya jana.Short version for Gen ZiiInasemekana GenZii hawana time kusoma makitu marefu, hivyo Nawawekea short version kwa numbers Dini zote zinafundisha utii kwa mamlaka halali za nchi, kwa sisi Wakrsto tunafundishwa kumpa Mungu...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Napinga maridhiano na wauaji wa makusudi

    Ain’t no way. Ain’t no fcuking way! Napinga kabisa kwa nguvu zangu zote na kwa dhati kabisa kufanya maridhiano na wauaji wa makusudi. Hakuna cha kusameheana wala kuombana msamaha. As far as I’m concerned, I’m calling for an open season against the police and their CCM backers. They’re all...
  11. JamiiForums Tanzania Ujumbe Mahsus kwa Watu Mahsus Kuhusu Watekaji, Watesaji na Wauaji 'Wasiojulikana' wa Watanzania!, Machozi, Jasho na Damu, Inakulilia!, Itoshe!, Iishe!

    Wanabodi Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma. Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanatisha! Pamoja na wauaji wa wananchi, Rais atajificha Zanzibar siku ya uchaguzi

    Imepangwa kwa makusudi kwamba siku ya uichaguzi rais atakuwa Zanzibar. Kama ni kweli ni kuogopa usalama wa Bara, hili nalo ni jambo la ajabu kwa sababu majeshi yanayolinda nchi, bara na visiwani yako chini ya mkuu mmoja. Yawezekana ni kuogopa maandamo, lakini ni hakika kwamba visiwani wao...
  13. JamiiForums Tanzania Sisi ndio watekaji na wauaji, tunawasingizia tu wasiojulikana

    SISI NDIO WATEKAJI NA WAUAJI TUNAWASINGIZIA TUU WASIOJULIKANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wasiojulikana! Kivipi yaani? Hawajulikani kwa namna ipi? Watekaji na wauaji ni sisi sisi Watanzania. Alafu tunajitia hawajulikani. Hawajulikani? 2. Mwaka wa kumi huu! Mnakimbizana na jambo...
  14. JamiiForums Tanzania Lema kama unasema serikali ndio watekaji na wauaji mbona wamwomba Mama akulinde. Mama si ndiye mtekaji wenu mlisema. Nyenyenye!

    Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
  15. JamiiForums Tanzania Magaidi wauaji wakubwa wakiandaliwa tayari kuachiwa huru katika magereza ya Israel

    Magaidi wenye damu za watu mikononi mwao wakiandaliwa kuachiwq huru kutoka magereza ya Israel walikokuwa wamefungwa kwa mauaji ya watu wasio na hatia. Waangalie walivyo na afya nzuri kinyume na mateka wa Israel watakao achiwq na magaidi hao!!
  16. JamiiForums Tanzania Kutokupinga wauaji na watekaji ni kushiriki nao utekaji na mauaji. Tena kheri wauaji na watekaji kuliko wanaonyamazia maovu

    Hamjambo! 1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini. Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano. 2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki. 3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
  17. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulinda Amani ya Watekaji na Wauaji, tutalinda Amani ya Nchi pekee

    Tunataka kuona kaka zetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona dada zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona wazazi wetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona babu zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona watoto, wajukuu na vitukuu vyetu wakiifurahia hii nchi. Hatuwezi tukawa tunaishi...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Kidume kaza sana ukiwa na game uvae kinga. They don't care

    Hawa viumbe ni wauaji inapokuja kwenye suala la ngono salama hawajali kabisa. Yaani manzi mnakubaliana ukaichape hata hakukumbushi ubebe ndomu. Usipojiongeza gono au waya linakulamba. Ni mara chache sana manzi kukaza utumie kinga, na hata akikaza na wewe ukimkazia uende kavu hapingi. Kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Michael Msonganzila: Wauaji wa Albino walipatikana kwa urahisi sana, kwa nini wauaji wa watu wengine ndiyo hawapatikani?

  20. JamiiForums Tanzania Kama wapalestina wenyewe wanasema hivi wewe Mwarabu-koko unapata wapi ujasiri wa kutetea Magaidi wauaji?

    Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…