watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watumishi Chato watakiwa kujieleza kwa kutohudhuria sherehe za mazingira

    Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Chato wameagizwa kuandika barua ya kujieleza sababu za kutoshiriki maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Maadhimisho hayo mkoani Geita yalifanyika wilayani Chato na kupelekea shughuli hiyo kuhudhuriwa na watu wachache, ukilinganisha na maandalizi...
  2. Kwa hili nililoliona kazini kwetu kuna dalili watumishi wenye sifa sawia walioajiriwa pamoja wengine kupanda madaraja wengine watabaki kama walivyo

    Naomba nisiitaje ofisi husika ili kuondoa tafarani. Kutoka makao makuu yetu tumepokea fomu maalumu ambazo tumezijaza vizur. Hizi fomu tumeambiwa ndizo zitatumika katika kutupandisha madaraja. Cha kusikitisha yametumwa na majina kabisa ya wanaopaswa kuzijaza. Mtu mumeajiriwa pamoja...
  3. Maafisa Utumishi wagoma kuruhusu Mabenki kutoa mikopo ya watumishi. Yawezekana ni hujuma?

    Wiki jana nimeingia benki moja Mikoa Fulani nikakuta watumishi wamejikusanya kwa majonzi. Baadhi yao niliwafahamu Na nilipowadodosa wakadai mikopo yao kukwamishwa na maafisa utumishi. Walidai kupewa majibu hayo na maafisa wa benki. Kuwa maafisa utumishi wamegoma kuingiza makato kwenye mfumo...
  4. DED wa Kyerwa ni tatizo kwa Watumishi

    Wapendwa habari za muda huu? Nimeona niandike uzi huu nikiwa na masikitiko kuhusu huyu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera aitwaye Shedrack Mhagama. Huyu mheshimiwa amekuwa ni tatizo kwa watumishi wanaofanya kazi katika Halmashauri yake ambayo siyo kongwe sana...
  5. Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna. Tumpe muda tuone.
  6. N

    Katibu Mkuu Utumishi pitia waraka wa utumishi wa umma na.2 wa mwaka 2018 kipengele na 3.2 (I) kinanyima haki watumishi

    Majuzi niliomba kuona waraka huu hapa hapa jamvini kwa bahati nzuri mdau mmoja kanitumia PM hapa nimeona kipengele cha 3.2.(i) si rafiki kwani kinamnyima stahiki zake mtumishi endapo mwajiri hatukuwa na busara kipengele kinasema (I)malipo ya uhamisho hasa katika maeneo ya mjini yafanyike baada...
  7. Viongozi Wizarani Wasikwapue Kazi za Uandishi Wafanyazo Watumishi Wadogo

    Kumekuwa na tabia ya kipindi kirefu sana, za viongozi waliopo katika Wizara mbalimbali kuwatumia watumishi waliopo katika taasisi zilizopo chini ya Wizara hizi, kutengeneza taarifa mbalimbali. Bahati mbaya sana, viongozi wa Wizara wakitengeneza machapisho kutokana na kazi hizi zilizofanywa na...
  8. T

    Hongera Rais Samia, kitendawili cha uhamisho wa watumishi chateguliwa na Katibu Mkuu Tamisemi, Prof. Riziki Shemdoe

    Prof. Shemdoe atengua kitendawili cha uhamisho Nteghenjw Hosseah, OR-TAMISEMI Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya...
  9. N

    Serikali inataka watumishi wake waishi kimiujiza?

    Salaam wana JF, kama TUCTA wamefanya utafiti na kuona kiwango cha shilingi 975,000/= ndo kinafaa kama kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma na wafanyakazi kwenye sekta binafsi kuweza kumudu gaharama za chini kabisa za maisha (basic human needs), inakuwaje serikali haitaki kuwalipa...
  10. Rais Samia Suluhu pamoja na kutokujibu adhima ya watumishi, lakini hotuba yake ilijaa hekima

    PAMOJA NA KUTOKUTIMIZA ADHIMA YA WAFANYAKAZI, HOTUBA YA MHE RAIS IMEJAA HEKIMA KUBWA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo kilikuwa kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani. Nchini Tanzania sherehe hiyo imefanyika Mkoani Mwanza na Rais wa JMT kuwa Mgeni Rasimi. Mhe Samia ametumia muda huo...
  11. TUCTA genge la wanyag'anyi lisilo na msaada kwa watumishi wa wafanyakazi. Linatakiwa kupungwa na kufumuliwa upya.

    Hili shirikisho la vyama vya wafanyakazi hapa nchini Tanzania ni wala michango ya wafanyakazi pasipokuwa na msaada wowote kwa wafanyakazi, kwa ujumla ni wanyag'anyi wasio na msaada kwa wafanyakazi. Kwa zaidi ya miaka sita wafanyakaz wanapigwa sound na viongizi wa nchi huku hali na ughali wa...
  12. Kesho Mei Mosi ngonjera za kupandisha madaraja watumishi elfu 90 ndizo zitakazotawala, hamna jipya

    Habari za asubuhi wananchi! Kesho Mei Mosi, sikukuu ya wafanyakazi duniani na Tanzania pia. Wafanyakazi wanasubiri kauli ya Rais ili wapate kujua hatma yao. Ngoja niwaambie jambo. Kiki itatafutwa kwenye kipengele cha madaraja mapya kwa watumishi zaidi ya elfu 90. Kama mtamshangilia sana basi...
  13. D

    Mama Samia Suluhu wakumbuke watumishi wa CCM wanaoteseka kwa dhiki haswa wale wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM

    Naamini sijakosea kukuita Mwenyekiti mpya wa CCM, leo siku moja kabla ya uthibitisho wako. Naamini utakuwa ndiye tena kwa kura zoote, ni suala la muda tu. Mheshimiwa Mwenyekiti naomba nikueleze kuwa wako waliokuwa watumishi ndani ya CCM na hasa katika shule zilizokuwa chini ya Jumuiya ya...
  14. Serikali wekeni orodha ya watumishi watakaopanda madaraja mwaka wa fedha 2021/22

    Kama title nilivyoiweka hapo juu sina muda wa kupoteza. Serikali wekeni list ya watumishi watakaopanda madaraja mwaka wa fedha 2021/22. Wekeni hata kwa check number tu ili kulinda falagha maana kuna watu wana roho za kichawi, wakiona jina langu kuwa liko kwenye list wataanza kunichawia. Kama...
  15. T

    Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree. Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
  16. S

    Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

    Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K kwa siku na posho ya kujikimu 120K, jumla 360K. Bunge la bajeti litakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote atapata 32M, wastani wa 10M kwa mwezi. Kwahiyo...
  17. T

    Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

    Kada ya elimu wataajiri watumishi wapya 10,297, afya 11,215, kilimo 1,383, mifugo 1,250, uvuvi 733, Jeshi la Polisi 1,782, Magereza 843, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji 512 na watumishi wapya wa hospitali za mashirika ya kidini na hiari 1,240. Serikali ya Tanzania imesema katika mwaka...
  18. TAKUKURU Arusha yaburuza mahakamani watumishi wa serikali wilaya ya Karatu na Longido

    TAASISI ya Kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru ,Mkoa wa Arusha,imewafikisha mahakamani wafanyakazi watatu wa halmashauri ya Karatu waliokuwa wakikusanya ushuru wa utalii katika mradi wa Laki Eyasi Cultural Tourism Program (LECTP) kwa kosa la kuisababishia hasara ya sh,milioni 11.4 halmashauri...
  19. T

    Sasa Watumishi kuhama vituo vya kazi kidijitali (online)

    Hayo yamesemwa Bungeni leo na David Silinde, Naibu Waziri OR -TAMISEMI. Mfumo huu unaitwa "Human Capital Management Information System" ambapo mtumishi atakuwa na uwezo wa kujihamisha mwenyewe 'online' bila kupitia kwa wakurugenzi. Lengo ni kuepuka urasimu na rushwa. Akishathibitishwa kuhama...
  20. J

    Unafuu wa watumishi wa Umma kujulikana pindi Bajeti ya Wizara hiyo ukisoma Bungeni

    Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…