Naandika hapa nikiwa nimejawa maswali yasiyo majibu hasa baada ya kuona ndugu yangu akiishi kwenye mazingira magumu sana mara baada ya kupata Ajira tangu mwaka jana, alitakiwa kupewa pesa ya kujikimu ila hajalipwa hivyo kageuka ombaomba kila siku wakati kuna haki yake imeminywa na hapewi majibu...
habari
ikiwa wewe ni mtumishi wa umma yaani unafanya KAZI serikalini, umeajiriwa serikalini basi una nafasi ya kukopa mpaka milioni 20 padipokuwa na mdhamana wowote zaidi ya KADI YA benki na username and password ya CS
# kiwango Cha kukopa huanzia laki Moja hadi milioni 20
# hakuna mdhamana...
Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa.
Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka.
Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
Anonymous (c723)
Thread
gharama
halisi
likizo
malipo
malipo ya likizo
nauli
soko
ummawatumishiwatumishiwaumma
Waziri mkuu tengeneza mfumo unaofanyakazi wenyewe hukohuko makazini bila wewe kulazimika kuzunguuka n kutatua kero za wananchi kwenye ziara zao. Watanzania wooote wanazo kero zao lakini ama hawana muda wa kuja ofisini kwao, ni wengi kuliko muda ulionao wa kueleza kero zao au hujafika kwao waseme...
Je, uamuzi wa Mh. Rais katika rufaa za watumishi wa umma unaweza kuombewa mapitio (review) kwenye ofisi hiyo kutokana na Mwajiri kushindwa kupeleka baadhi ya vielelezo vya ushahidi mwanzoni vilipohitajika?
Naomba msaada katika hilo.
Je, Mwajiri anaweza kuomba Mapitio (review) ya uamuzi wa Mh. Rais kwa Mh. Rais huyo huyo kwa kutaka kuongeza vielelezo ambavyo hakuviwasilisha kabla ya uamuzi, ambapo iliamriwa na Mh. Rais kwamba mtumishi arejeshwe kazini na kulipwa stahili zake zote?
Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata malipo.
Hata wakiomba kiwango fulani cha nauli, wahusika wanaolipa na malipo wanachofanya ni kukadiria...
Anonymous
Thread
baada
elimu
fedha
hata
idara
idara ya elimu
likizo
liwale
miaka
mwingine
ummawakati
watumishiwatumishiwaumma
wilaya
zao
Mfumo wa ESS kwa watumishi wa Umma umekua na changamoto za mara kwa mara ..mara nyingi unakua down,je wanao simamia au walioleta huu mfumo hawakujua unyeti wa hili wanalo anzisha ?
Hawakujua kuwa mfumo unapaswa kuwa bora sana kuliko ulivyo sasa ..
Kumbuka huu mfumo ndio unaonesha uwajibikaji...
Anonymous
Thread
awajibishwe
changamoto
ess
mfumo
mfumo wa ess
nani
ummawatumishiwatumishiwaumma
Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na ukiukwaji wa maadili ya kazi.
Hatua hiyo...
Mambo ambayo yanahitaji kuangaliwa upya ili kulinda maslahi ya watumishi wa umma.
Kama wewe ni mtumishi au mtu yeyote mwenye kuamini katika mabadiliko chaya soma ujumbe huu kisha sambaza kwa wenzako lengo ni kufahamu na kuleta mabadiliko chanya kwa ustawi wa taifa letu sio chuki.
Hakika kuna...
UZI MAALUMU WA MIKOPO KWA WAFANYABIASHARA, WATUMISHI WA UMMA, KUAGIZA MAGARI TOKA NJE YA NCHI NA KULIPIA USHURU BANDARINI.
Habari
Katika utafutaji wa maisha wa kila siku pesa limekuwa jambo kuu na la msingi ambalo mtu analihitaji katika kutimiza shida zake na mipango yake. Kwa kulitambua hilo...
Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums.
Nyingine soma
~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha za kujikimu
geita
geita vijijini
hela
kujikimu
march
mpaka
mpya
vijijini
walimu
watumishiwaumma
wilaya
wilaya ya geita
Solidarity forever.
Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k
Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala...
Siku ya ijumaa ni siku bora kwa muislam.
siku ya Ijumaa ni siku bora kuliko siku zote katika Uislamu.
Mtume Muhammad (ﷺ) amesema:
“Siku bora ambayo jua limechomoza ni siku ya Ijumaa.”
Sababu Zinazofanya Ijumaa Iwe Siku Bora
Matukio Makubwa ya Kihistoria
1. Adam (a.s.) aliumbwa siku ya Ijumaa...
Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
Jiandae kuwa mjasiria mapema kabla ya kustaafu.
Manyanyaso na majungu ya watumishi wenzako iwe chachu ya wewe kujiandaa kustaafu ili uweze kuwa huru.
Sina la nyongeza. Ila Walimu zingatieni huu ujumbe.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi.
Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.