Habarini,
Mida ya mali chakavu za Serikali zinazouzwa kama vile fenicha, magari n.k imekuwa ikifanywa na Watumishi wa Serikali na mhakiki mali ambao kiuhalisia wanaleta urasimu mkubwa kwenye fedha zinazopatikana kwa maslahi yao hasa kwa upande wa magari.
Inakuwaje watumishi na wahakiki mali...
Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari
V8
Land Cruser
Range Rover
G-wagon
Harier n.k...
Yaani hawa maafisa wa haashauri ambao wote kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma wanatakiwa kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki
Tunahitaji katiba mpya ambayo kutakuwa na watu huru kabisa. Sio hawa walioteuliwa na INEC wakati kanuni za utumishi...
Mimi ni mtumishi wa umma kama wengi tu mliopo humu.
Inanishangaza sana ninapoona mtumishi (mtumwa) kushabikia siasa za CCM. Sababu kubwa inayonifanya nishangae ni CCM kuwakandamiza watumishi kwa yafuatayo
1. Kuwalipa mishahara midogo. Imagine mbunge alipwa posho ya kikao 620,000? kwa siku huku...
Habari za muda wakuu , poleni na majukumu,
Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa...
Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa
Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
Mbunge
Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba.
1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku
2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi
3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa
4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee
5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao
6...
Mbunge
Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba.
1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku
2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi
3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa
4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee
5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao
6...
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu
Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa...
Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona...
Utumwa unaweza kuwa ni hiari ya moyo. Ina maana miaka mingi hawa watumishi wa serikali wanaidai serikali, hailipi na wao wanaendelea kusifia, " anaupiga mwingi". Hii ni akili ya kawaida? Kwa watumishi wa aina hii TZ inategemea kuendelea?
nilidhani ni walimu tu ambao huwa wansombwa na baadaye...
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ameonya tabia ya watumishi wa umma wanaopanga ushuru mkubwa wakiwa wamekaa maofisini bila kujua shida wanayopata wawekezaji na kisha kumtaka kila mtumishi awekeze ama afanye biashara ili anapopanga ushuru ajue shida za walipa kodi kwa uhalisia .
Mtaka...
Wakuu,
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema baadhi ya watumishi wa Wakala wa Vipimo (WMA) na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamekuwa wanapokea rushwa na kuruhusu bidhaa duni na kuendelea kuuzwa mitaani, hivyo kuhatarisha afya za watumiaji.
Akiwa ametembelea Shirika la...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watumishi wa Wizara yake kutumia muda mwingi kufanya kazi na sio kulinda vyeo vyao.
Waziri huyo amebainisha hayo wakati akizungumza kwenye kikao cha Menejimenti ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake jijini Dodoma.
“Usichukue...
Mbunge wa Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, ametoa rai ya kulenga uwajibikaji kwa viongozi wa juu kama njia ya kudhibiti tatizo la rushwa katika taasisi za umma.
Akizungumza bungeni jijini Dodoma, Oktoba 29, 2024, Kunambi ameeleza kuwa utamaduni wa utawala hujengwa na viongozi wa juu wa taasisi...
Naomba kujuzwa wakuu kuna Ofisi nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo, hii imekaaje?
Nimeondoka bila kupata huduma yoyote nimepoteza muda na pesa naomba msaada hawa watu niende nikawatolee wapi malalamiko yangu hawa watumishi wa namna hii?
Wanapigiwa...
Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki
Haya hata hizi kazi mbalimbali za muda ambazo zingekuwa hata kifuta machozi kwetu Kwa kupunguza machungu ya kukaa mtaani bila ajira...
TAMISEMI wahamisheni Maafisa Utumishi waliokaa kwenye kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu (Zaidi ya miaka 5) maana utendaji wao wa kazi umekuwa wa kimazoea.
Mfano kuna halmashauri moja Naafisa Utumishi wamekaa hapo kwa miaka 10 toka wameajiriwa, wanafanya kazi kwa mazoea na wanajibu Watumishi...
Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege.
Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.