watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Orodha ya watu waliopotea na kutekwa na tamko juu ya ongezeko la vitendo vya utekaji na upoteaji wa watu nchini Tanzania

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) kikiongozwa na wakili Boniface A.K Mwabukusi kimetoa tamko zito lililoweka wazi hali ya kusikitisha inayolikumba taifa. Kwa mujibu wa tamko hilo, kumekuwa na ongezeko la matukio ya kutekwa, kupotea, na kuteswa kwa watu nchini...
  2. PreGE2025 Napinga Kauli ya Rais Samia kwamba Utekaji ni Drama, hii ni dharau kwa Wananchi

    Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema? Kwa Rais kusema hadharani kwamba masuala ya kutekwa watu yanayoendelea kwenye nchi anayoiongoza ni Drama, si tu kwamba ni uongo lakini...
  3. J

    Tumehama kuwaza mambo ya msingi sasa tunawaza upuuzi

    Tanzania ni hodari kwa propaganda. Tumetoka juzi kwenye wimbi la maandamano ya wafanyabiashara. Tupo kwenye wimbi la watu kupotea, ghafla tunasikia mgogoro wa Yanga eti magoma ana kesi ya kuondoa uongozi wa Yanga kwa kuwa haupo kihalali. Hii yote ni kuutoa umma wa Watanzania kwenye mambo ya...
  4. PreGE2025 Kwa matukio haya ya watu kupotea na kusemekana kutekwa! Magufuli alionewa? Polisi wanaonewa?

    Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali! Baada ya Kifo cha Magufuli wengi...
  5. Dar: Vijana wanne wadaiwa kutekwa wakiwa kwenye party Juni 20, 2024, hawajulikani walipo mpaka sasa

    Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini. Taarifa mpya zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za kuwatafuta hazijazaa matunda kwa...
  6. Je, sheria kuzuia raia kumiliki silaha ndio nguvu ya wasiojulikana kuteka watu kwa urahisi?

    Utekaji ni kitendo cha uwezo mkubwa maana kinatumika na silahaa za moto ili kukabiliana na endapo kutatokea ubishani kati ya muhusika au wananchi kwenye tukio. Ila cha kushangaza watekaji waliopo hapa tanzania ndio wenye matumizi ya vifaa hivyo ukilinganisha si rahisi nchi kukupa silahaa hiyo...
  7. Geita: Mfanyabiashara Daniel Sayi hajulikani alipo baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana

    Mwanza. Daniel Sayi (48) mfanyabiashara wa ng’ombe wilayani Geita mkoani hapa, anadaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Kitongoji cha Kiomboi, Kijiji cha Ihilika, Kata ya Nyarugusu mkoani Geita. Sayi inadaiwa alichukuliwa Mei 13, 2024 saa 12 jioni baada ya watu wanne...
  8. DOKEZO Matukio ya kutekwa kwa watoto maeneo ya Kigamboni na maeneo jirani

    Kumekuwa na hali ya sintofahamu inayoendelea Kwa wakazi wa Kigamboni na Maeneo jirani ya kijichi, mbagala kuu na Mikwambe baada ya matukio ya kutekwa kwa watoto wadogo wa shule za msingi na secondary hali inayopelekea wazazi wengi wakazi wa maeneo hayo kuhofia usalama wa watoto wao pindi...
  9. IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

    Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa. --- Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao. IGP Wambura...
  10. Mke wa Kombo alivyosimulia jinsi Kombo alivyotekwa na watu wasiyojulikana na juhudi zilizofanyika kumtafuta Julai 2, 2024

    Tuliopitwa na tukio hili pitia hapa ambapo mke alisimulia kupitia gazeti la Mwananchi mume wake Kombo alivyotekwa na watu wasiyojulikana - Jumanne Julai 2, 2024 ==== Handeni. “Niliamka asubuhi nikaanza kufanya usafi, akaja mtu mmoja akawa anazunguka hapa nyumbani kwetu, tukasalimiana...
  11. Polisi yakiri kumshikilia Kada wa CHADEMA Kombo aliyedaiwa kutoweka kwa siku 29!

    Zikiwa zimepita siku 29 tangu kada wa Chadema, wilayani Handeni mkoani Tanga, Kombo Mbwana (29) adaiwe kupotea, hatimaye leo Julai 14, 2024 Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Zacharia Bernard amesema wanamshikilia kwa tuhuma za makosa ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii. Akizungumza na...
  12. Dar: Anayedaiwa kutekwa naye asakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za utekaji

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
  13. Ukatili: Mtoto auawa na kukatwa sehemu za siri

    Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya siri. PIA SOMA - Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
  14. Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”

    Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
  15. Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

    Nimeshaona post kadhaa siku za nyuma vijana wa Kariakoo kupotea wakati nipo kwenye daladala ilibidi nimuulize jamaa mmoja kipindi cha nyuma kwanini vijana wa Kariakoo wanapotea sana, akasema Kariakoo kuna mambo mengi…aliishia hapo… Ila kuna neno alisema kuna mchezo wa mali zinaibiwa mbali...
  16. Kwanini UVCCM hamkemei matukio ya watu kutekwa?

    Matukio yote ambayo Vijana wanatekwa hasa Wenye mlengo wa kukosoa serikali, UVCCM haijawahi kutoa tamko la kukemea hata kinafiki tu. Tukio la karibuni zaidi ni la kijana Edgar Mwakabela @SATIVA ambaye alitekwa Dar na kutupwa Katavi baada ya kupigwa risasi ya kichwa lakini Mungu mkubwa ikamvunja...
  17. Waliotekwa, kuteswa na kupotea awamu ya 6 ni wengi kuliko awamu zote

    Jana iliwekwa orodha ya watu zaidi ya 40 ambao hawajulikani walipo (wametoweka) na wala mabaki ya miili yao hayapo. Je, ni nani yuko nyuma ya matukio haya? Je, ni jeshi la polisi au tunawasingizia tu? Je ni wahalifu? Ikiwa ni wahalifu je wanauwezo wa namna gani? Nadhani vyombo vya ulinzi vina...
  18. 4

    Rafiki wa karibu ni wewe mwenyewe na wazazi wako waliokuzaa

    Wakuu uwepo wa Mungu upo juu yenu Kwenye mada moja kwa moja wakuu Naomba kuweka hili jambo wazi, rafiki yako ni wewe mwenyewe, ongeza na wazazi wako basi. Unaweza kuwa na rafiki wa karibu wakakutenda, unaweza kuwa na ndugu wa karibu aka kutenda ila wewe mwenyewe huwezi ukajitenda, baba yako...
  19. 4

    Kunahitajika kauli moja ya Watanzania kuhusu matukio ya utekaji na kuumizwa

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki. Tanzania bila utekaji na kuumizwa inawezekana . Ipo vedio hivi ya kijana ambae inaonekana anajulikana kwa jina SATIVA ,simfahamu ila yupo na dam kama sie, Alitekwa 23/6/ 2024 kwa mjibu wa taalifa za hapa na pale pitia mitandao ya...
  20. Kutetea Haki za Kiraia: Kisa cha Edgar Mwakabela (SATIVA) na Mapambano ya Vijana Dhidi ya Ukandamizaji

    Haki za kiraia na demokrasia ni misingi muhimu ya utawala bora. Vijana wanahitaji kuelewa haki zao na jinsi ya kuzitetea katika mazingira yoyote. Hii ni muhimu kwa sababu inawapa ujasiri wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii zao na kupinga ukandamizaji wowote. Mfano wa hivi karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…