watu kutekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr-Njombe

    Masauni na IGP Wambura wakijiuzulu itatoa picha gani kitaifa na kimataifa?

    Wana JF Kumekua na maoni, mitazamo, mapendekezo na wito kutoka kwa watu mbalimbali mashuhuri, taasisi na vyama vya kisiasa kumtaka waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani ajiuzulu nafasi yake, lakini pia hata mkuu wa Jeshi la Polisi nchini nae kufanya vivyo hivyo kulingana na changamoto za...
  2. Suley2019

    Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini

    "Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza utekaji, kwa namna ambavyo tumeiona mahakama kuu inapuuzs utekaji, hivi kweli hiyo rai ya kumtaka...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Mbowe: Tunaipa Serikali watueleze watoto, Viongozi wetu na wanachama wetu wako wapi Kufikia 21 Septemba, 2024

    Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho, na kwa sababu wao wamekataa kulifikisha mwisho, sisi tutawalazimisha walifikishe mwisho. Ili tufanikiwe hili, ndugu zangu Wanachadema tunahitaji kuwa kitu kimoja, kila mmoja wetu anapaswa kuwa bega la...
  4. Pascal Mayalla

    Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

    Wanabodi, Najua wengi wetu wameumizwa sana na kifo cha kikatili cha Mzee Ali Mohamed Kibao, natoa tena pole kwa wote. Watu wamekasirika hadi kuwasomea Albadir, hivyo mimi kama kawaida yangu, kama kuna kitu nakijua, huwa na share, leo naomba kushare kuwaelimisha kidogo kuhusu wauaji na...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Shekh Mwaipopo: Duniani kote serikali kuna watu wanafanya mauaji, watu wanapaswa kulifahamu hilo!

    Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji. Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana...
  6. figganigga

    Waziri Hamad Yussuf Masauni, jiuzulu kumpunguzia Mzigo rais Samia. Anakuonea aibu

    Salaam Kama Hamad Yussuf Masauni akigoma kujiuzulu, Rais Samia itabidi afumbe macho atengue uteuzi wake sababu ni aibu kwa mtu anayejiita Muislam safi, watu wanapiga, wanategwa na kuuliwa lakini anakosa hata roho ya kusema pole. Mheshimiwa Hamad M Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani Kisiasa...
  7. Kabende Msakila

    Watanzania - vifo vitokanavyo na kutekwa, utekaji na kujeruhi watu - nini kifanyike?

    Watanzania Salaam! Hanari za watu:- Kutekwa, Kujeruhiwa, Kuuawa, na Kupotezwa Zimekuwa za kawaida lakini madhara yake kwa familia za wahanga ni makubwa sana. Ikumbukwr kuwa wahanga hao wana familia zinazowategemea, ada, afya, malazi, Chakula nk nk. Kutoweka kwao ghafla kwa mipango ya kishetani...
  8. BLACK MOVEMENT

    Utekaji unachagizwa sana na ukondoo wa wabongo

    Kwaza ieleweke utekaji uko almost Dunia nzima. Ila tunazidiana njia na mazingira ya utekaji. Kwa Tanzania mazingira ya utekaji ni mepesi sana ni kiasi tu cha watekaji kusema sisi ni Police basi wanaondoka na mtu.Haya mazingira yanachagizwa sana uzezeta wa sisi Wabongo, lazima tukubali kwamba...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Timu ya uchunguzi wa Makosa makubwa kutoka ofisi ya DCI yatumwa kuchunguza Mauaji ya Ali Kibao wa CHADEMA

    Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani. Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu...
  10. Sifi Leo

    Viongozi WA Dini, Barile na wenzako, umoja wa Madakitari kuweni kimnya mpaka muuwawe nyinyi ndo mtasema?

    Ninalia ninalia naililia Tanzania Sifi Leo Nina lia Nina lia naililia Tanzania Sifi Leo nampeleka kilio changu kwa umoja wa wanahabari Tanzania mnasubilia Nini kuungana na chadema kupinga kumteka na kuua mtu? Mpaka mtekwe nyinyi muuawe ndo mseme au mtoe tamko? Najiuliza kwa habari za kusifu...
  11. J

    Zitto Kabwe: Haikubaliki , Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea/Kutekwa na Kuuawa!

    Zitto Kabwe amesema Haikubaliki Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea Kutekwa na Kuuawa Jukumu la msingi la Dola lolote Duniani ni Kulinda Uhai wa Watu wake Hakuna Taifa Bila Watu Zitto Kabwe amehuzunika ukurasani X Baada ya taarifa za msaidizi wa Mnyika Soma Pia: Ally Hapi...
  12. ngara23

    Jeshi la Polisi lijisafishe kwa Watanzania kwa tuhuma za kukosa uadilifu

    Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri Mfano Jeshi la wananchi JWTZ linatimiza majukumu yake ya kulinda mipaka ya nchi na linaheshimika sana na...
  13. figganigga

    Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”

    Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
  14. Mdude_Nyagali

    8 September, 2024 ni siku ya Maombi ya Kitaifa kuwaombea waliotekwa

    Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza. Wayahudi hao walikuwa wametapakaa nchi zote za mashariki ya kati wakitumikishwa kazi mbalimbali. Hata baada ya ufalme wa...
  15. Selwa

    Nahisi Watu kupotea ovyo inatokana na Sababu 3 tu!

    Habari wakuu, Mimi nimefuatilia kwa muda idadi ya watu wanaopotea nchini nikabaini mambo matatu. Kuna masuala inabidi Wizara ya Mambo ya ndani isimame na kuanzisha kitengo ambacho kitasafisha jeshi ka polisi. Jamani watu wanapotea kwasababu 3 tu 1. Ushirikina, tunaingia mwaka uchaguzi nadhani...
  16. Erythrocyte

    Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

    Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni...
  17. J

    Tulilikataa agizo la Magufuli la kuzuia mikutano ya siasa hadi nyakati za Uchaguzi, sasa mambo ya Utekaji ya enzi za akina Dk. Ulimboka yamerudi!

    Demokrasia ya Tanzania bado ni changa na kuvumiliana Siasani kuko very limited Mikutano ya Kisiasa huamsha hisia, mihemko na Mijadala isiyo na tija kwa Wananchi hivyo kuwapotezea Muda wao wa kuzalisha na kujipatia kipato Ndio Sababu wakati wa katazo la Mikutano ya holela ya Wanasiasa nchi...
  18. milele amina

    DOKEZO Mfanyabiashara wa Magari, Gideon Mlokozi Mashankara amepotea

    Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30, mkazi wa Tabata Segerea, Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku ya saba leo baada ya kutekwa na kupotezwa. Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Ally Hapi akemea tabia watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi, Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amekemea tabia inayoindelea kwa sasa ya watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu na kuibua maswali mengi yasiyo na majibu katika jamii. Hapi ametoa kauli hiyo akiwa wilayani...
  20. The Palm Beach

    Wananchi tutumie mbinu hizi kujilinda dhidi ya "Watu Wasiojulikana"

    Jeshi la polisi [TANPOL] lenye jukumu la kikatiba na kisheria kulinda usalama wa raia na mali zao limekana kuhusika na ukamataji wa watu hovyo nje ya utaratibu wa kisheria kisha kuwapeleka kusikojulikana, kuwatesa na baadae kuwaua na kutupa miili yao porini au nyikani. Kama ndiyo hivi, maana...
Back
Top Bottom