Masuala yanayohusiana na utekaji nyara wa watu yanapovihusisha vyombo vya dola kama polisi, huibua wasiwasi mkubwa kuhusu haki za binadamu, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa mamlaka. Katika muktadha wa Tanzania, kama kuna madai kama hayo, ni muhimu kufuatilia kwa karibu taarifa rasmi na...
Wasalaam wanaJf ,
Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape.
Swali langu ni hilo !
Baba mwenye nyumba ukianza kulala na wapangaji na Vijana wako wakajua, utapata wapi nguvu za kukemea watoto wako wa kiume wakilala na wafanyakazi wa ndani na wa kike watakapolala na wapangaji wa kiume.
Hiki ndicho kilichotokea kwenye sakata la Singida na mengine ambayo serikali inayavumbua na...
Kuna baadhi ya mambo yalikuwa mazuri sana wakati wa Mwalimu Nyerere au tuseme enzi za Chama kimoja
Mkuu wa Wilaya alikuwa ni Mlezi siyo Mtawala hivyo alihusika kuratibu Ustawi wa Jamii katika Wilaya yake na ikionekana mtu Mmoja hajulikani alipo taarifa ilipelekwa kwake
Ahsanteni 🐼
Nimesoma kwa masikitiko taarifa za siri za watu kutekwa nyara kuuwawa na watu wanajitambulisha kuwa polisi kwenye website ya BBC Swahili.
Taarifa ilikusanywa na mwanahabari Samy Awami na timu yake ,Samy ni mtanzania mwenzetu amefanya kazi kubwa nawaomba moderators wauweke hapa.
===========...
Tumekua tukishuhudia utekaji wa watu nchini vikifanywa na eti wasiojulikana! Hawa wasiojulikana ni watanzania ambao huenda wamejiambatanisha na vyama vya siasa, hata hivyo ni CCM tu ndiyo ina vikundi vinavyojulikana kama Chawa, Uhamasishaji, Wadudu na Green Guard(Umoja wa vijana), hawa huenda...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) kikiongozwa na wakili Boniface A.K Mwabukusi kimetoa tamko zito lililoweka wazi hali ya kusikitisha inayolikumba taifa. Kwa mujibu wa tamko hilo, kumekuwa na ongezeko la matukio ya kutekwa, kupotea, na kuteswa kwa watu nchini...
chama cha wanasheria tanganyika - tls
kutekwa na kuteswa
matukio ya utekaji
tls yakemea utekaji
vitendo vya kukamatwa
vitendo vya utekaji watuwatu kupotea
watukutekwawatu wasiojulikana
Zitto Kabwe amemtaka waziri Masauni atembelee vijiji vya Kidegye, Heru Ushingo na Katanga wilayani Kasulu akashuhudie madhila ya Utekaji
Zitto Kabwe amelalamika ukurasani X
Ahsante 🐼
Pia soma
- Tamko la Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu madai ya kusambaa kwa matukio ya utekaji wa...
Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali!
Baada ya Kifo cha Magufuli wengi...
Jukumu kubwa kabisa la Polisi nchini, ni kuwalinda raia wake na Mali zao.
Inapotokea raia mbalimbali, wanapotea bila serikali yetu kutoa maelezo yoyote kuhusu kupotea huko, tafsiri yake ni kuwa wananchi tutaamini kuwa serikali yenyewe ndiyo inahusika.
Tumeshuhudia Kwa miezi kadhaa iliyopita...
Naitwa Clement Nkwabi mkazi wa Geita. Napenda kukushirikisha suala la mdogo wangu Joel Raphael Nkwabi. Tarehe 15/12/2023 majira ya saa 2 usiku alienda kuangalia mpira lakini hakurudi. Tar.16 asubuhi mke wake alipigiwa simu na namba mpya. Kupokea ilikua sauti ya mumewe akimjulisha kuwa amelazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.