watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mchungaji Ananje: Ni ujinga watoto kugombania mali za marehemu kwasababu nao ni sehemu ya mali/mifugo yake

    Mchungaji huyu akitoa maoni yake juu ya watoto wa marehemu kugombea mali ameponda vikali. Amesema watoto ni mifugo/ mali ya marehemu hivyo hawana chao kabisa kwenye mali za marehemu. Mifugo inadai urithi wa mifugo wenzie? Amehoji mchungaji huyo Wapeni salaam watoto wa Mrema na mzee Mengi
  2. Marufuku watoto sehemu za starehe wala kuuziwa sigara

    Karibu sana mpenzi msomaji na mdau wa JamiiForums katika Somo la leo ambako tunakwenda kujifunza kuhusiana na ulinzi wa mtoto (Child Protection) hasa katika mazingira hatarishi kwa ustawi bora wa mtoto. Leo tunaangazia zaidi kifungu cha 17(1, 2, & 3) cha Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 sura ya 13...
  3. Ripoti: Chanzo cha vifo vya watoto 21 waliofia Bar Afrika Kusini, ni kukosa hewa

    Ripoti ya Uchunguzi wa Sumu kuhusu chanzo cha vifo vya vijana 21 waliofariki dunia wakati wakinywa pombe eneo la #Tavern mwezi Juni, 2022 imeonesha kuwa walikosa hewa kutokana na msongamano wa watu. Mmiliki wa eneo lilipotokea tukio hilo anakabiliwa na mashtaka ya kukiuka sheria za Pombe za...
  4. Watoto 25,000 wamepotea Afrika kwa Mwaka 2022

    Watoto 25,000 wamepotea Barani Afrika, idadi hiyo ni sawa na 40% ya jumla ya idadi ya watu waliopotea mwaka 2022 katika bara zima. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) iliyotangaza katika ukumbusho wa Siku ya Kimataifa ya Waliopotea (Agosti 30). Hali ya...
  5. Hawa watoto wa kike ambao wanapewa mimba na kuzalia kwao ndo wanakuza umasikini katika familia

    Tafsiri ya umasikini ni laana. Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa kuolewa unaishia kuzalia kwenu huku baba wa mtoto hachangii chochote Unazaa mtoto then hujui nani...
  6. Ghana: Auawa kwa kushambuliwa na Simba akidaiwa kutaka kuiba watoto wa Simba

    Mamlaka za Ghana zinachunguza kifo cha Mwanaume mmoja kilichotokana na kushambuliwa na Simba katika bustani ya Wanyama Jijini Accra ikidaiwa alikuwa na lengo la kuiba Watoto wa Simba. Uongozi wa bustani hiyo umesema uchunguzi wa awali umeonesha marehemu aliruka ukuta wa futi 10 kisha wa futi 20...
  7. Zanzibar: Watoto 316 waugua surua, watatu wafariki dunia

    Watoto watatu wamefariki dunia na wengine 316 wamethibitika kuugua ugonjwa wa surua katika kipindi cha mwezi mmoja visiwani Zanzibar. Wilaya ya Magharibi B Unguja inaongoza ikiwa na vifo viwili na zaidi ya watoto 200 wamebainika kuwa na surua. Wilaya ya Magharibi A ina wagonjwa zaidi ya 70 na...
  8. Adhabu mbadala wa viboko kwa watoto na wanafunzi wetu

    Hoja ya kutowacharaza watoto na hata wanafunzi mashuleni sio mpya, lakini je ni upi unaweza kuwa mbadala?! Nimejaribu kuwashirikisha njia mbadala niliyojifunza mahali fulani. Adhabu ya viboko ni ya muda mrefu sana duniani, ni ya karne na karne. Ikikita mizizi zaidi katika bara letu la Afrika...
  9. B

    SoC02 Walimu, wapeni kazi watoto wanaofaulu darasani

    Mwalimu John alikuwa akifundisha katika shule moja ya umma, katika kufundisha kwake Kwa miaka kadhaa, utendaji kazi wake umekuwa watofauti Sana na walimu wenzake. Ilifikia hatua walimu wenzake walishindwa kumuelewa kabisa, hali iliyopelekea utendaji wake wa kazi kuwa ni wa Maswali mengi sana...
  10. SoC02 Sintofahamu juu ya hedhi na mahudhurio ya wasichana mashuleni

    Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia inamaanisha kuwa kuna awamu mpya katika uwezekano wa ongezeko la mwanadamu duniani, yaani upatikanaji wa...
  11. M

    SoC02 Utoaji wa elimu kwa watoto wanao anza shule kwa maeneo ya vijijini

    Imekuwa changamoto kubwa sana kwa watoto wanao anza awali au darasa la kwanza kwa maeneo ya vijijini na hususa ni kwenye makabila yanayo dumisha zaidi Lugha mama kuliko kiswahili. Kuna kuwa na kazi kubwa ya kumtoa mtoto kutoka lugha yake mama kwenda Kiswahili kisha kumleta katika Kingereza hapo...
  12. Mje hapa wale wazee wa watoto wachache

  13. Zipi sababu za wanaume kubambikiziwa watoto wa wanaume wenzao?

    Ndugu zangu kila mmoja wetu achangie mada hii ili tupate kiini cha swala hili. Kuna baadhi ya wanaume wametunza watoto ambao si wao, kuanzia mimba mpaka ukubwani kwa kuwasomesha kwa gharama kubwa pasipokujua kuwa sio watoto wao. Baadhi ya familia zinaishi na watoto wasiokuwa wa baba mwenye...
  14. Watoto waliotelekezwa huwa wana bahati sana

    Habarini za humu wana jamii, I hope mmeamka vizuri sana leo pamoja na changamoto ya tozo katika taifa letu hapa Tanzania. Kuna kautafiti kadogo nimekafanya na nimegundua kwamba asilimia kubwa sana ya watoto waliotelekezwa na baba zao huwa wanakismati sana katika maisha. Yaani hata kama sio...
  15. Ujumbe kwa TCRA: DStv wanarusha vipindi vya kuhamasisha ushoga kwa watoto?

    TCRA Please take note. Kuna ujumbe wa malalamiko kuwa kuna vipindi wanavyovipenda watoto vya NICKELODEON, vinavyorushwa na DsTV, vimeleta taharuki kwa wazazi. TCRA kama mhusika tafadhali chukua hatua. Ujumbe: Dear Parents/Guardians. This is to bring to your notice that the cartoon channel...
  16. T

    INAUZWA Nguo za watoto zinauzwa

    Hello Poleni na majukumu Mimi nauza nguo za watoto za kike na za kiume kuanzia miaka 0-6 bei ni kuanzia tsh 1, 000 napatikana dar goba kwa mawasiloano karibu sana PM.
  17. Dodoma: Warudisha mahari ili kunusuru watoto wao

    MTENDAJI wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya, amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri wa miaka 14, wamekubali kurejesha fedha na mifugo waliyopokea kama mahari na kurudi na watoto wao nyumbani baada kugundua kuwa watoto wamekuwa wakiteseka...
  18. Waziri Dkt. Doroth Gwajima: Unyanyasaji wa Watoto, 60% unatokea nyumbani

    Hali ya unyanyasaji wa Watoto Nchini imetajwa kuchangiwa na mmomonyoko wa maadili katika jamii, wengine wakisingizia hali ngumu ya kiuchumi inawafanya kutokuwa na muda wa kulinda na kutoa malezi chanya, ambapo asilimia 60 ya unyanyasaji wa Watoto unatokea nyumbani. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  19. UNICEF: Takriban Watoto 1,000 wameuawa tangu kuanza kwa vita ya Urusi na Ukraine

    Watoto 1,000 Nchini Ukraine wameuawa au kujeruhiwa vibaya tangu kuanza kwa vita baia ya taifa hilo na Urusi, Februari 24, 2022. Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto (UNICEF) imesema ina takwimu za Watoto 972 waliouawa lakini idadi ya kweli huenda ikawa kubwa zaidi kwa kuwa...
  20. Watoto wa wapigiwa kura hata mahabusu wanalala VIP

    Hili tabaka la wapigiwa kura na wapiga kura linazidi kuonekana. Rafiki yangu siku nyingi aliniambia wapigiwa kura hata wakiugua hawatibiwi katika zahanati zetu zilizojaa paracetamol. Watoto wao wanasoma Feza na hata ikitokea watoto wao wakumbane na mkono wa sheria, polisi atalala kwenye ofisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…