Unasababishwa na Kirusi cha Polio kinachoambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mwingine kwa kunywa/kula chakula au kinywaji kilichochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya Ugonjwa.
Virusi huzaliana katika utumbo na huweza kuathiri mfumo wa fahamu ikiwa ni pamoja na viungo kupooza...