watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuwe na adhabuya kifungo kwa wazazi / walezi wanaoficha ndani watoto walemavu, ni ukiukaji wa haki za mtoto

    Kuna kipindi niliwahi kuwa mtaa moja na familia flani, wengi tulijua kwamba wapo watatu tu ni mpaka siku ya msiba wa mtoto mlemavu ndio tukajua kuwa kulikuwa na mtoto wa ziada, ni jambo lililonishangaza sana. Na chanzo kikuu bila kupepesa macho huwa ni kwamba wazazi wanaona aibu kwenye jamii...
  2. Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

    Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
  3. Picha: Mkuu wa nchi mwenye upendo na watoto

  4. Tabia ya Watoto wadogo kuimba na kucheza nyimbo za kijinga na wazazi wanafurahia na kuwaona wajanja

    Kitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kitanzania, inanikwaza mno ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana. Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya...
  5. K

    DOKEZO Responded Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

    Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera. Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
  6. Ukatili wa Kijinsia kwa watoto Kanisani: Tupinge kuita watoto wachawi mbele ya kanisa na kuwarekodi kwente tv na redio

    Tukielekea kuadhimisha wiki ya ukatili wa kijjnsia kuna mambo yanaendelea baadhi ha makanisa ya manabii mitume na makuhani hayanipendezi. Kuna mambo ukienda makanisani kwa watajwa hapo juu naumia sana. Wanaita watoto wadogo kabisa wanawambia wewe uko kikundi cha wachawi. Kwa uwoga wanajibu...
  7. Waisraeli kuua watoto kule Gaza na kuondoa matibabu bure kwa watoto chini ya miaka 5 siyo kitu sawa

    Iko wapi huruma ya serikali kwa watoto kutoa matibabu bule kwa walio chini ya miaka mitano Mbona tunawalaani wazayuni kushambulia na kuuwa watoto wa Gaza na huku tukiona sawa kutokuweka na kuendeleza sera ya matibabu bule kwa watoto wetu walio chini ya miaka mitano? Panatofauti gani kati ya...
  8. U

    Watoto wa Nabii Mussa hawakuwa Wayahudi kwasababu Mama Yao hakuwa Myahudi

    Moderator tafadhali naomba Uzi huu usiunganishwe kwingineko. Wadau hamjamboni nyote? Watoto wawili wa Nabii Musa Gershom na Eliezer ambao alizaa na mkewe Sipora binti Yethro yule kuhani wa Midiani hawakuhesabiwa kuwa Wayahudi (Jews). Najua utajiuliza kwanini ila jibu ni kwamba Sipora hakuwa...
  9. HAMAS huhusisha hawa watoto kwenye vita, ila wakikamatwa mnalia kwamba ni watoto

    Nimeona sehemu mwana JF Bome-e analia sana kuhusu taarifa za Israel kukamata watoto, ila kikawaida kwenye medani unapomhusisha mtoto ashambulie jeshi, mara moja anakua military target, haijalishi umri wake tena, na wana bahati kwamba walikamatwa tu, vinginevyo wangeuawa...
  10. BBC na Media za Magharibi wamekataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto.

    Wanaukumbi. BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto. BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, mateka. Inavyoonekana, ni wakoloni wakatili wa Ulaya, pekee walio na watoto, na Waisraeli pekee ndio wanaoweza kutazamwa kama mateka. Hawa ni "wafungwa" wa Kipalestina wanaobadilishwa...
  11. M

    Video: Hamas wakiwaachia mateka wa Isreal. Wazee na watoto wakibebwa na Hamas kupandishwa katika magari

    Ukweli daimag huwa kweli. Ndio maana mayahudi walikuwa hawataki kabisa mateka wao kuachiwa kukimbia aibu Hamas wakati wanaachia mateka walikuwa wakiwabeba na kuwapandisha ktk magari kwa huruma kubwa wakiwaonyesha MOD. UZI HUU UACHE USIUDELETE AU KUHAMISHA...
  12. Rais Samia situka, vifo vya watoto na wajawazito ni kama kiama sasa. Sifahamu iwapo ni hali ya kimabadiliko ya hali hewa

    Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya? Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito? Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji uchunguzi wa haraka kubaini ni nini chanzo cha vifo hivi kwa sasa? Mh waziri wa Afya, Embu tunaomba...
  13. 'Single Mothers' na Changamoto ya Malezi kwa watoto

    Kama mwalimu ambae ninakutana na watoto wengi kutoka katika 'background' tofauti tofauti, naomba niseme watoto wanaolelewa na mzazi mmoja hususani mama (single mother) ni jipu kubwa ambalo linahitaji kutumbuliwa mapema Sana. Watoto wanaolelewa na mama pekee bila uwepo wa mzazi wa kiume...
  14. Siku ya Watoto Duniani

    Siku ya Watoto Duniani huadhimishwa kila Novemba 20 ikilenga kukuza na kusherehekea ustawi na Haki za Watoto Duniani. Tarehe hii ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Azimio la Haki za Mtoto na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Mwaka 1959. ============================== World Children's Day is observed...
  15. Zamani watoto walitafuta wazazi wao waliowatelekeza, zama hizi wazazi ndiyo wanatafuta watoto wao

    Kwema Wakuu! Sikuwepo zamani sana. Lakini miaka ya tisini mpaka elfu mbili hivi ilikuwa kawaida Baba kumtelekeza mtoto au watoto huku akiacha maneno ya shombo, jeuri na kiburi. Kuwa akikua atanitafuta mwenyewe. Na kweli zamani hizo niliona watoto wengi wakifanya hivyo, wakitafuta wazazi wao...
  16. Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

    WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi. Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali...
  17. Kuzaa watoto wengi bila mpango mkakati wa kuwalea utahukumiwa

    Hakuna idadi ya watoto utakaozaa useme umezaa wengi. Kwa Mwingine watoto wengi kwao ni mmoja. Mwingine kama yule mzee mjaluo wa shirati, watoto wengi ni 38 na mwingine watoto wengi ni 0. Kipimo cha wingi sio idadi bali uwezo wa kuwahudumia na kuwapa malezi yaliyonyumbuka pote kwa usawa bila...
  18. Saudia na Marekani wanaisaidia Israel kuua watoto na kuiangamiza Palestina

    Yako mataifa kadhaa ya kiarabu na mataifa ya kiislamau ambayo yameonekana kufanya uzembe katika vita vya Gaza.Hata hivyo taifa la Saudia linaongoza kwa kusaidiana na Marekani kuipa nguvu Israel iue na kuangamiza mpango wa kuundwa kwa taifa la Palestina. Iran iliahidi mstari mwekundu ukivukwa...
  19. Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini

    SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
  20. Hard disks ni teknolojia ya zama za kale, zina uwezo mdogo wa kufanya kazi kwenye computer / Laptops, weka SSD kwa bei rahisi speed ya radi

    Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks. Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…