watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

    Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama. Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema. Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...
  2. JamiiForums Tanzania Katika kuwalinda watoto, mambo kama haya mitandaoni ndio ninayoyapiga vita Kila siku

    Inawezekana likawa ni suala ambalo watu mmelizoea mitandaoni na kulichukua poa tu lakini Kwa maoni yangu Binafsi ni jambo la hatari linaloharibu watoto ambao ndio kizazi cha kesho. Narudia kama tutashindwa kuweka mikakati ya kuwalinda watoto dhidi ya upuuzi Huu unaoendelea, ni wazi tutakua na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Aliyetembea na wanawake na watoto zaidi ya 1,000 Ahukumiwa kifungo cha miaka 8658

    Mwamba huyu hapa. Huko Uturuki.
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tumewaokoa Watoto wa Kike 184 waliokuwa wameandaliwa kufanyiwa ukatili wa kukeketwa

    Jeshi la Polisi Nchini limesema katika kushiriki Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2024 litashirikiana na Wadau mbalimbali kufanya Maadhimisho hayo katika Kanda Maalum ya Kipolisi Tarime Rorya ambapo Jumla ya watoto 184 waliofanyiwa vitendo vya ukatili wameokolewa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Sio vizuri kwenda guest house na mtoto mdogo! Kiroho ni mbaya sana.

    Wakuu habari. Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba. Usije shangaa mtoto wako mbona nikahaba au shoga kumbe chanzo ni wewe kwenda naye kwenye nyumba za kulala wageni. Haijarishi unaenda...
  7. JamiiForums Tanzania Watoto sio lazima eti

    "Mimi na mke wangu tumekubaliana kwamba hatutakuwa na watoto. Tunataka kufurahiya maisha yetu, Kuwa na watoto kutatuzuia." — John Cena "Ni sawa kabisa watu kutaka watoto, lakini mke wangu na mimi hatuko tayari kuchukua jukumu hilo. Ninataka kufurahiya maisha yangu na kuwa na furaha bila mzigo...
  8. JamiiForums Tanzania Athari za Vipodozi Vyenye Viambato Sumu kwa Watoto

    Katika dunia ya leo, matumizi ya vipodozi ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Hata hivyo, wazazi wengi hawafahamu hatari zinazoweza kusababishwa na viambato sumu vilivyomo kwenye vipodozi hivi, hasa kwa watoto wachanga. Hapa tunaangazia madhara ambayo vipodozi vya kemikali vinaweza kuwa nayo...
  9. JamiiForums Tanzania Watoto hawatelekezi baba mwenye nguvu ya kifedha na akili

    WATOTO HAWATELEKEZI BABA MWENYE NGUVU YA KIFEDHA NA AKILI Mara nyingi sana tunaona na kusikia visa na mikasa Ya jinsi wababa ambao wamesogea kiumri sana...🥸🥸🥸 Wakilalamika kukimbiwa na watoto pamoja na mke Yaani watoto wamejipata wanaungana na mama yao... Kukuweka wewe kando... Hata kama mko...
  10. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kampeni ya kupinga ukatili na udhalilishaji kwa Watoto, Wazee na Wanawake kuanza Desemba 14, 2024

    Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni Mboni Yangu imesogezwa mbele na kutarajiwa kuanza Desemba 14, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa kushirikiana na Taasisi ya Ndoto Ajira. Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya na Elimu: Kwanini Watoto wa shule ya msingi wamemezeshwa dawa pasipo mzazi kupewa taarifa?

    Nimesikitishwa sana kuona leo watoto wa shule ya msingi "serikali" wakirudi kutoka shuleni wakiwa wamedhoofika sana, miili ikiwa dhaifu na macho mekundu kabisa. Nilipowauliza, walisema wamepewa dawa shuleni na kumeza bila kula. Dawa hizo wamesema ni za kichocho na minyoo, na wamepewa pasipo...
  12. JamiiForums Tanzania George Mpole aliwahi kukataa ofa za Azam, Simba na Yanga, uzeeni atalaumiwa sana na watoto wake

    Mpira mchezo wa ovyo sana, muda wa kushine huwa hauzidi miaka 10 Unaweza kucheza kwa Ujanja ujanja au bahati moaka miaka 15-20 mwishi Kuna wachezaji wakitemwa na Simba au Yanga wanalia, wako radhi wajae benchi lakini akaunti isome Starehe Wanazokula na maendeleo waliyonayo wachezaji wa jizi...
  13. JamiiForums Tanzania Siku ya Watoto Duniani (Novemba 20): Unajivunia kitu gani kuhusu Mtoto wako?

    Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989. Ni fursa nzuri ya: Kujifunza kuhusu haki za watoto...
  14. JamiiForums Tanzania Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako.

    Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako Hakikisha mnapokuwa mumeahiadiana na mtu kukutana unakuwa ontime maana wapo watu mkiaahidina saa tisa yeye anakuja saa kumi😀 Hakikisha unavaa kuringana na eneo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe ukweli kama Maombi haya solve problem bali human action ndio zinatatua matatizo. Mungu na shetani hawaleti wala kutatua tatizo

    habari wadau. natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao. mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu ndio atawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke uzio katika Shule ya Msingi Minga (Singida), kuna Watu wanawafanyia ukatili Watoto

    Suala la Watoto wadogo kukumbana na changamoto mbalimbali za kikatili kwenye taasisi za elimu limekuwa ni jambo ambalo linajitokeza mara kwa mara sehemu tofauti. Wadau wa sekta tofauti nao wamekuwa wakipiga kelele juu ta matukio ya aina hiyo kwa kuwa yamechangia pia kuharibu ndoto za Watoto na...
  17. JamiiForums Tanzania Stori: Baba masikini hadi kuwa baba tajiri kwa kusomesha watoto wake

    Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua. Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

    😁😁😁😁😁, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu! Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa kuwahamisha sehemu (blocks/mabweno) walikokuwa wanajihifadhi. Wanafunzi wanadai kuwa wanapangiwa sehemu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa BuKu 1000 njoo nikupe siri machimbo unayoweza pata mitumba safi na quality za watoto,za wadada bei nafuu nguo kuanzia 300 pga 0625056158

    Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba Za watoto Za kike Na kiume Bei nafuu Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu Nguo...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

    Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…