watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

    Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi.. Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Tumesikia maombi na vilio vya mama Polepole na ndugu zake, mkewe na watoto vipi?

    Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto. Je alikuwa bado...
  3. JamiiForums Tanzania Dodoma: Issa atuhumiwa kubaka na kulawiti watoto watatu

    Mwanaume anayefahamika kwa jina la Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kwa kumbaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka mitatu, na kuwasababishia majeraha makubwa sehemu za siri. Tukio hilo linadaiwa kutokea mnamo Agosti...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kubwa inayofanya wazazi waliofanikiwa kuwa wagumu kutoa connection kwa marafiki za watoto wao, heri wampe ndugu au mtu baki wasie mjua

    Jioni, sebuleni kwenye nyumba ya kifahari. Baba anasoma ripoti. Anord anaingia kwa heshima. ANORD: (Anakohoa kidogo) Kama sio kuhusu gari lingine au pesa ya ziada BABA (MKURUGENZI WA TAASISI): (Bila kuangalia juu) Kama siyo kuhusu pesa au gari jingine, endelea. ANORD: (Anaketi) Siyo hilo. Ni...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Kisenge: Wastani wa Watoto 10,000 huzaliwa nchini wakiwa na matatizo ya moyo kila mwaka

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeongeza siku mbili zaidi za upimaji bure wa afya ya moyo, hatua iliyochukuliwa kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kujitokeza kupima na kupata ushauri wa kitabibu katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani. Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge...
  6. JamiiForums Tanzania Natamani kuachana na huyu mama watoto wangu lakini amekataa

    Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje Sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi ameniambia tu niwe natumia kinga. Sasa nishamfanyia visanga kibao tu ila hata ameniambia nikihama niende...
  7. JamiiForums Tanzania Yaani mliamini mtaweza kuwadanganya Mababu zetu, Mababa zetu, na watoto pia??? Nyie watu mmeshindwa kusoma nyakati

    Yaani watu waone kabisa nchi yao inaibiwa na hakuna wakuitetea kabisa, watulie tu, eti kwasababu watatekwa na kupewa kesi. Yaani nione watu wanauliwa na kutekwa na hakuna wakuwatetea, mimi nitulie kwasababu wale sio ndugu zangu??? Mnadhani kila mtu ni mjinga hivyo. Yaani nione wamama hospitali...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika. Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU. Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie. Amina
  10. JamiiForums Tanzania Watoto wa marehemu Mzee Augustino Ilomo wamuomba RC Iringa kuingilia mgogoro wa mirathi

    Sarah Agustino Ilomo, mmoja wa watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa Iringa, marehemu Mzee Augustino Ilomo, amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, kuingilia kati mgogoro wa mirathi unaotishia kupoteza mali zote zilizoachwa na baba yao. Sarah anadai kuwa, licha ya juhudi...
  11. JamiiForums Tanzania Mpenzi na mama watoto wangu anaolewa, lakini hii video imenipa ujasiri nitaenda harusini naweza nikafikiriwa upya

    Napitia maumivu mazito mno kushinda hata lisu huko jela.
  12. JamiiForums Tanzania Mjane apigwa butwaa baada ya kuona watoto wa nje ya ndoa wa mme wake wakitambulishwa na ndg!

    Ni huko ukweni kwangu jtano hii wiki iliyopita wife alienda msibani wa baba yake mdogo mimi sikwenda. Huyu marehemu alikuwa na mke mmoja wa ndoa ambae wamebahatika kuzaa watoto 2 tu kisha mwanamke akafunga uzazi. Maisha hayakuwa mabaya na si mazuri sana au si mabaya sana kiuchumi ni ya kati(...
  13. JamiiForums Tanzania CRDB mnapata wapi kiburi hiki? Hebu tupeni pesa zetu wakulima wa Kyerwa tupeleke watoto shule

    CRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB, Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

    Daktari msomi sana toka Zambia, Dr Aaron Mujajati kaweka wazi kuwa ni ngumu kwa mwanamke kupata mtoto akivuka 35years. Hajasema haiwezekani ila kasisitiza kupata mtoto huambatana na changaamoto nyingi. Ikumbukwe Dr Aaron Mujajati ndo yule aliyesema kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi kuonyesha...
  15. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

    Hapo vip! Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende. Waafrika huwa wanautamaduni wa kupingana na kupiga vita vitu vizuri huku moyoni wakitaka vitu hivyo hivyo vizuri..ndio maana ni...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

    Wakuu. Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii. Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili. I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant. Nishaurini maana mimi na huyu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ccm inavotumia watoto wa kimaskin kujaza mikutano yao.

    Kama itakua unafatilia kwa makin mikutano ya ccm basi utagunduq asilimia 40 au zaidi ni watoto Watoto hawa wa kimaskin hukatizwa masomo yao shulen na kupelekwa katika mikutano wakati watoto wao wapo feza na international school zengne wanasoma
  19. JamiiForums Tanzania Hawa ndio watoto watulivu wa JF

    Leejay49 To yeye leo dada Wakenya wanasema "mali safi" Hongereni🌼🌼
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Salaam wana jamvi, Nahitaji msaada wa kisheria ama taratibu gani nifuate ili kuweza kupata haki ya kulea watoto wangu! Story kwa ufupi iko hivi: Mimi na mwanamke (34) nimeolewa ndoa ya kanisani, nimebahatika kupata watoto wawili (mkubwa miaka 4.7, mdogo miaka 2.5). Mimi na Mr tumekuwa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…