watoto wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Sheria ya kuzuia watoto wadogo kwenda shule za kulala (boarding school)

    Ndugu zangu naombeni msaada Nina mtoto anaingia darasa la pili 2026. Sasa baba yake analazimisha mtoto aende shule ya kulala bila sababu za msingi na huku Sheria hairuhusu. Nipo hapa kuomba mtu anayeelewa anisaidie maana naona nimemshauri sana hataki, kwa hiyoo nahitaji kwenda kwenye Sheria...
  2. Genius Man

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  3. Lanlady

    Samia mamaangu, umekataliwa hadi watoto wadogo wamekukataa

    Ni kweli inasikitisha na kuhuzunisha kuwa kiongozi usiyekubalika hata na watoto wadogo, ila huo ndio ukweli. Na kwa hii lockdown iliyotokea na kusababisha masomo kuahirishwa, watoto hawakuelewi kabisa mamaangu. Pole sana. Muombe Mungu akuoneshe wapi ulikosea. Usione vibaya kurekebisha nafasi...
  4. M

    wazazi mnaopeleka watoto wadogo boarding, kuwaamsha saa kumi, kutowapumzisha likizo, halafu bado wana uwezo wa kawaida, mna hali gani ?

    kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni. Na hapo...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Je, ni salama kiasi gani kumsomesha mtoto shule za english medium?

    Kesi nyingi za ubakaji Tanzania zinawekwa kapuni na polisi. Kama zingetangazwa zote wananchi mngeogopa. English medium schools na madrassa ya Elimu akhera kuna mambo ya hovyo sana. Je, nini kifanyike kudhibiti haya?
  6. S

    Chadema mkitaka kuwamaliza wapinzani wenu kirahisi sana, tumieni nyimbo nzuri, rahisi za kuhamasisha ambazo hata watoto wadogo watakuwa wakiziimba

    Katika purukushani za Polisi na Chadema huko Mwanza, ulisikika wimbo ukiimbwa. Huu ni wimbo ambao baadhi yetu tuliimba sana jeshini, na ni wimbo mzuri sana kuhamasisha. Naapa naahidi mbele ya mungu Chadema nitakulinda mpaka kufa Mnaweza kuongeza uhamasishaji kama Naapa naahidi mbele ya mungu...
  7. M

    Ni kwanini Mungu aliumba vimelea vya magonjwa kama EBOLA, UKIMWI, KANSA, MALARIA ambavyo vinaua mamilioni ya watoto wadogo wasio na makosa yoyote?

    Habari wadau Kwa nini Mungu mwenye upendo, muumba wa kila kitu, ameumba vimelea vya magonjwa hayo yanayotesa na kuua sana watu, imagine mtoto mdogo anateseka na kansa ya ubongo ama ukimwi
  8. ELI COHEN

    Inakuwaje dance routine kama hii inaruhusiwa kwa watoto wadogo kama hawa huku hadhara ikishuhudia?

    Sina uhakika hii video ni ya zamani au ni recent ila all in all hii ni taka taka
  9. Waufukweni

    VIDEO: Crown Media wachukuliwe hatua kali kwa kuruhusu Watoto Wadogo kuhudhuria Tamasha la Usiku la Mwenge, Rufiji

    Crown Media inapaswa kuchukuliwa hatua kali na Mamlaka kwa kuruhusu watoto wadogo kuhudhuria tamasha la usiku la Utete, Rufiji, kwenye Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru. Kupitia video hizi Crown wameruhusu Watoto kushiriki katika shughuli zinazoweza kuwa na madhara kwa afya, elimu, akili, mwili, au...
  10. Just Pray

    Mufti amuombea msamaha ustadhi aliyechapa viboko watoto wadogo bila huruma

    Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally ametumia mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur-an Tukufu kumuombea msamaha mwalimu wa Madrasa, Mussa Bashiri, aliefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka ya kuwafanyia ukatili wa kuwachapa viboko watoto wawili wenye umri...
  11. M

    Huku Manispaa ya Songea, Watoto wadogo wamekuwa Machinga wa kuuza mifuko hadi muda wa usiku

    Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku. Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
  12. Miss Natafuta

    Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

    Hebu tujadili wakuu maana kuna wazazi WA ajabu sana.hata kama chumba kimoja fanyieni hata mvunguni.
  13. G

    Sio vizuri kwenda guest house na mtoto mdogo! Kiroho ni mbaya sana.

    Wakuu habari. Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba. Usije shangaa mtoto wako mbona nikahaba au shoga kumbe chanzo ni wewe kwenda naye kwenye nyumba za kulala wageni. Haijarishi unaenda...
  14. Kipenzi Changu

    Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa

    Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo, imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
  15. MamaSamia2025

    Kulikuwa hakuna adhabu nyingine kwa hawa watoto wadogo hadi kuwaua kikatili?

    Nimeweka mstari huu wa bible kutoka biblia ya KJV kwa sababu ya kiswahili imechakachuliwa tafsiri yake. Nabii Elisha akiwa kwenye matembezi akakutana na kundi la watoto wadogo waliokuwa wakimtania kuhusu kipara cha kushangaza wakatokea dubu wawili kimiujiza na kuwaua watoto 42 kikatili kama...
  16. excel

    Unailindaje TV yako kutoka kwenye uharibifu wa watoto wadogo?

    Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake. Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa...
  17. Genius Man

    Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  18. Yoda

    Sio sawa kuwafanyia indoctrination au brainwashing za kidini watoto wadogo hivi

  19. Bushmamy

    Arusha: Mzee ashilikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwaomba watoto wadogo wa kiume wamwingilie kinyume na maumbile

    Mzee mmoja ajulikanae kwa jina la Daniel Epiniel ambaye ni mpangaji katika nyumba ya Bwana Joseph Mollel iliyopo Kata ya Sekei jijijini Arusha, anashikiliwa na Polisi baada ya kutuhumiwa kuwarubuni watoto wadogo wa kiume chini ya umri wa miaka 10 wamwingilie kinyume na maumbile. Mwenye Nyumba...
  20. S

    Kama mtu chini ya miaka 18 haruhusiwi kupiga kura, basi iwe marufuku watoto wadogo kufundishwa imani za kidini mpaka wafike miaka 21

    Moja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa). Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo ni Bibilia na Quran, lakini kwasababu watu wamekuja na tafsiri zao za haya maandiko, leo tuna...
Back
Top Bottom