watoto wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sio sawa kuwafanyia indoctrination au brainwashing za kidini watoto wadogo hivi

  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mzee ashilikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwaomba watoto wadogo wa kiume wamwingilie kinyume na maumbile

    Mzee mmoja ajulikanae kwa jina la Daniel Epiniel ambaye ni mpangaji katika nyumba ya Bwana Joseph Mollel iliyopo Kata ya Sekei jijijini Arusha, anashikiliwa na Polisi baada ya kutuhumiwa kuwarubuni watoto wadogo wa kiume chini ya umri wa miaka 10 wamwingilie kinyume na maumbile. Mwenye Nyumba...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama mtu chini ya miaka 18 haruhusiwi kupiga kura, basi iwe marufuku watoto wadogo kufundishwa imani za kidini mpaka wafike miaka 21

    Moja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa). Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo ni Bibilia na Quran, lakini kwasababu watu wamekuja na tafsiri zao za haya maandiko, leo tuna...
  5. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kuja na watoto wadogo kulikuwa kunamaanisha nini?

    Zamani za ujana wetu wakati unafukuzia binti, mkipanga sehemu ya kuonana lazima aje na mtoto au rafiki yake! Ndo kusema mlikuwa nnaogopa nini kuja peke yenu!!
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kafara ya kushinda Uchaguzi huu ni kuteka na kuua watoto wadogo?

    Imani za kishirikina zimekuwepo sana kwenye chaguzi zetu kuu. Sana. Huu ni mwaka uelekeo wa uchaguzi Mkuu 2025. Kumekuwa na wimbi kubwa la watoto kuibwa na kuuawa. Mara nyingi sana tunasoma habari hizo. Rais anasema ni drama. Imenishtua. Hasemi kuwa polisi wafanyie kazi hizo "tetesi" ikiwa si...
  7. realMamy

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa Teknolojia husababisha Upweke kwa watoto wadogo

    Ukuaji wa Teknolojia ni Mzuri kama ukitumika vizuri. Kwa nini nimeleta hoja hii kwenu? Unakuta wazazi wote wanachart karibu siku nzima watoto wanaolelewa humo ndani wanabaki kuzunguka zunguka tu. Mama hajali kuhusu watoto wala Baba labda akilia kidogo ndio washtuke kuangalia nini kimetokea...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hivi wazazi mnajua hatari kiasi Gani inawakabili watoto WADOGO mnaowaachia smartphones muda wote?

    Salaam, Shalom!! I declare interest, Mimi Rabbon ni baba wa watoto wengi, mtoto yeyote popote ni mwanangu sababu Mimi ni mwalimu wa watoto kiimani na kiroho. Twende haraka kwenye mada, zipo athari nyingi wazazi mnawaletea watoto wenu Kwa kujua na wengine kutojua. Ninakutana na cases...
  9. F

    JamiiForums Tanzania KERO Ni malezi mabaya mzazi kumzuia mtoto kumpisha seat mtu mzima kwenye daladala kisa kamlipia nauli

    TABIA NA MAKUZI Kuna hii tabia ambayo sio nzuri kwenye daladala. Kuna hawa wadada wakiingia na watoto wao wadogo wanataka kupishwa kwenye seat ila siku wakiwa na pesa za kuwalipia hao watoto wao seat hawataki hawa watoto wawapishe watu wazima waliosimama kisa tu wamelipa pesa. Hii kwangu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Malezi bora yanayosaidia kuwalinda watoto wadogo wasibakwe wala kulaitiwa au kufanyiwa vitendo vibaya

    Ninaguswa sana ninaposikia stori za watoto kubakwa au kulaitiwa na ndugu au mwalimu au jirani. Tafiti zinaonyesha watoto wengi wanaofanyiwa vitu vibaya ni wale ambao hawana sauti yaani walinyanganywa haki zao za kuongea kwa sababu inawezekana mzazi alikuwa mkali sana au anamchapa au halikuwa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄 Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na...
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni mateso ya watoto wadogo kupindi hiki cha mvua kubwa na ikasimamisha kwa muda

    Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania wanasota huku wale wa nchi za jirani wamesitisha ukatili huu kwa muda Ukiwa njiani unawaona watoto...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itufafanulie "hatua za mwisho" maana yake nini badala ya kutufanya kama watoto wadogo wa kudanganywa kwa majibu ya rejareja

    Mwaka jana, June 2023, wakati waziri wa mambo ya nje akiwa Dr Tax, serikali ilitoa hili tamko pale Bungeni Leo April 2024, serikali imetoa tena tamko hilo hilo pale pale Bungeni mbunge wa viti maalumu Suma Fyandomo alipouliza swali kuhusu uraia pacha. Sasa nakumbuka tumekuwa na matamko kama...
  14. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Wenye watoto wadogo

    Hivi imewahi kuwatokea mtoto wenu mdogo kamkazania au kumng'ang'ania a stranger ambaye hamjui kamuona tu ila fasta anamkazania hata kumlilia?
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watoto wadogo kushirikishwa kwenye majukwaa ya wasanii

    Leo huko Kigamboni Dar es Salaam lilikuwepo tamasha la muziki, moja ya mambo ambayo hayakubaliki ni utesaji wa watoto wadogo akiwemo huyu pichani mwenye umri chini ya miaka kumi! Mtoto huyu amewekwa kwenye jukwaa linalopiga muziki wenye sauti ya zaidi ya wati 20,000! Masikio ya mtoto huyu...
  16. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Watoto wadogo kuimba na kucheza nyimbo za kijinga na wazazi wanafurahia na kuwaona wajanja

    Kitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kitanzania, inanikwaza mno ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana. Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya...
  17. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Watoto wadogo ndani ya hijab

    Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu...
  18. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kupata Maziwa ya watoto wadogo ambayo ni Protein Free (hypoallergenic infant formula milk)

    Habari ya kazi Wakuu. Ndani ya mkoa wa Dar es salaam, maziwa hayo yasiwe ya Soya au Almond. Kwa kampuni yoyote ile inayozalisha maziwa ya watoto.
  19. Von_Lufuta

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nililoliona, Wazazi kuweni makini sana kuweka uangalizi kwa watoto wadogo wa kiume

    Habari zenu wakuu.. Hope mpo vizuri. Bila kupoteza muda, Wiki 3 zilizopita nikiwa Mkoa X, nilikutana na tukio la kusikitisha sana. Sio mimi tu, hata watu wa mtaa ule wanawake kwa wanaume waliishia kushika vichwa na wengine kumwaga machozi kabisa. Ilikuwa hivi.. Kuna nyumba fulani ambayo...
  20. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi akili zao ni kama za watoto wadogo. Unapowaeleza jambo elezea kama unamueleza mtoto mdogo.

    Umewahi sikia kitu kinachoitwa The curse of knowledge(Laana ya maarifa)? Ni ile mtu anafikiri kuwa maarifa aliyonayo au mambo anayoyafahamuu basi kila mtu wa kawaida anayafahamu. Hii inapelekea watu wengi wenye maarifa na wasomi waonekane hawawezi kujieleza au kuongea kwa ufasaha, au...
Back
Top Bottom