Huu mtindo wa wateule kuja hadharani na kujisifia kwa teuzi wanazopata unazidi kushika kasi.
Wao wanajisifia kulamba teuzi huku sisi wakiendelea kutuhimiza kujiajiri!
Wengine hadi (rejea Naibu Waziri wa Afya Mollel, Nape et al.) wanakosa amani kabisa na kupata viriba tumbo kwa kufuatilia mikeka...