watendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais wangu tupe utaratibu wa kuwasiliana na wewe Moja kwa Moja kabla mambo hayajaharibika zaidi nahisi watendaji wako Wanakupotosha hawakwambii ukweli

    Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
  2. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Halmashauri za Miji ndiyo huisaidia CCM kuchakachua chaguzi

    Kwa mtazamo wangu wavurugaji na wachakachuzi wakubwa wa chaguzi zetu hapa Tanzania, ni watendaji wa Vijiji, mitaa na Kata. Watendaji ndiyo mikono inayoyumiwa na CCM kuharibu chaguzi. Wakurugenzi wa Halmashauri za Miji wenyewe ni wapangaji na wanufaika wa uchakachuzi huo wa chaguzi zetu kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tunapata hasara sana kuwa na Viongozi na Watendaji wasiowajibika ipasavyo

    Nakumbuka mwaka jana au juzi Star link walitaka kuja kuwekeza Tanzania. Nape na watendaji wake wa TCRA, Star link walipigwa danadana hadi hawajawekeza bongo. Sababu zilizotolewa na Nape na wataalam wake uchwara na za hovyo eti za kutaka data center yao kuwepo nchini. Ukiwasikiliza Nape na...
  4. JamiiForums Tanzania Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

    Nyota ya Isack Mwigulu inazidi kung’aa, safari awa mgeni rasmi kwenye semina ya utendaji wa UVCCM kwa mkoa wa Singida.
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Nyasa: Watendaji wa Mitaa na Kata wanasimamia na kuandaa orodha ya wapiga kura kinyume na Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa "Kanuni zote za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na Vitongoji zimeweka wazi kuwa:- 'Watendaji wa Mitaa na Kata hawatateuliwa Wala hawataruhusiwa kuandikisha au kuandaa orodha ya wapiga kura' Lakini mambo ni tofauti kwenye vituo."
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo

    Naomba kujuzwa wakuu kuna Ofisi nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo, hii imekaaje? Nimeondoka bila kupata huduma yoyote nimepoteza muda na pesa naomba msaada hawa watu niende nikawatolee wapi malalamiko yangu hawa watumishi wa namna hii? Wanapigiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Huwezi pata watendaji wazuri ikiwa utaongoza kwa umungu mtu!

    Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi. Mimi naamini tuna viongozi bora sana na wenye nia ya kujituma ila kwakuwa mkuu ndio mwenye mamlaka ya kila kitu kitachofuata utafanya...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini

    https://www.youtube.com/live/SlT8QJSt7_o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ufunguzi wa kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), leo tarehe 28 Agosti, 2024. Rais Samia...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Aweso kutumbua watendaji kwa madudu ya maji Dar, CCM itumbue pia watendaji wake kwa kushindwa kuisimamia Serikali maeneo husika

    Kwa uelewa wangu ni kwamba chama kinachotawala kimeomba na kupewa ridhaa ya kuisimamia Serikali ili itoe huduma stahiki kwa niaba ya wananchi walioichagua. Kwa maelezo ya waziri inaonekana matenki yapo na maji yapo ila watendaji wa serikali kwa makusudi hawakupeleka maji kwenye hayo matenki...
  10. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Serikalini na Madereva wa Wakubwa huko Serikalini tafadhali acheni 'Kurogana' kwa 'Uchawi wa Ajali' mnakosea Mungu pakubwa sana

    Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi...
  11. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Serikali wenye mamlaka zioneeni huruma kodi za watanzania

    Salaam wana JF Weekend imeendaje kwenu Moja ya vitu vinasikitisha katika mamlaka na baadhi ya watendaji wasio waaminifu ni kufuja mali za umma na wizi uliokithiri Hii huenda imeshuhudiwa na wengi zaidi na vingine vikionekana tu viashiria lakini hakuna jibu la moja kwa moja kubwa kuna wizi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Viwanda vidogo Mwokozi ukosefu wa ajira Tanzania

    Viwanda vingi ndani ya kila mkoa au wilaya ni mwokozi wa ajira Kwa vijana wasomi na wasio wasomi. Kiwanda sio lazima kiwe kama vile vya mo au azam ndio kiwe kiwanda hapana viwanda viko kwenye makundi matatu kundi la pili nala tatu watanzania tuna limudu. Watanzania tujifunze kuanzisha viwanda...
  13. JamiiForums Tanzania Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

    Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe. Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua. Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuna umuhimu wa Serikali kuboresha mishahara ya Walimu na Polisi

    Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi ukilinganisha na kazi wanayo fanya kila siku. Hii husababisha Mambo mbali mbali mbali Kama...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi awaondoa Watendaji wa TEMESA Kivukoni Dar kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, sio Utumishi

    Akuzungumza Bungeni, Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Francis Mtinga amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri Watumishi Kada ya Mtendaji wa Kata umesababisha ufanisi umekuwa mdogo Ameshauri badala ya Watumishi wa Kada za Utendaji wa Kata kupangiwa kazi na Utumishi, ajira hizo zirejeshwe...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kufananisha mafuriko ya Rufiji na yanayotokea sehemu nyingine ya nchi ni kutaka kuficha udhaifu wa viongozi na watendaji

    Nimeona sasa baada ya mafuriko (na si mafuriko bali "maji kujaa ktk Barabara na majengo yaliyo kando") baadhi ya watu wameona kuwa hilo ndilo jibu la mafuriko ya Rufiji. Ukweli ni kwamba mafuriko ya Rufiji kamwe hayawezi kuwa sawa na mengine kwa sababu, 1. Ukubwa wa mafuriko na eneo kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais na kuratibiwa na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ukumbi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Watendaji wazembe TANESCO kuanza kuchukuliwa hatua kila mwezi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma kwa Wateja ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ianze kutolewa kila mwezi ili kufahamu maeneo yenye changamoto ya umeme nchini na kurahisisha watendaji wazembe kuchukuliwa hatua...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali iziachie taasisi kama UDART na DART zijiendeshe zenyewe na ziteue watendaji wanofaa hata kama ni kutoka nje

    Maofisa watendaji wakuu wa taasisi yoyote ile ni maofisa waaandamizi kabisa wa kampuni au taasisi yoyote ya umma. Kwa miaka mingi kumekuwepo na teuzi na tenguatengua za watendaji wa makampuni na taasisi mbalimbali za serikali jambo linoonyesha kuwa kuna tatizo kwani taasisi hizo ama zimeitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…