wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndugu zetu wasabato wasahau kutoboa kwenye biashara, Wakati wateja wengi wako sokoni Jumamosi, wao wamepumzika

    Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine. Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”, Na...
  2. JamiiForums Tanzania Maswali fikirishi kuhusu bank na wateja

    Ipi ni jibu sahihi, Bank zinatusaidia sisi (wateja) tunaoweka hela kwao, au sisi wateja ndio tunaowasaidia bank waendelee kuwa kwenye ajira na wao kuendelea kuwa na maisha mazuri? Pia kati ya mteja (anayeweka hela bank) na bank (anayetunza hela za mteja na kujinufaisha) ni yupi anayepata faida...
  3. JamiiForums Tanzania Makosa 13 Yanayowafanya Wateja Wasinunue Hata Wakikufuata

    Makosa yanayofanywa na wafanyabiashara wengi bila kujua, na namna bora ya kuyaepuka. Lengo letu ni kuhakikisha unapofikia hatua ya kumaliza mazungumzo na mteja, hauachi pesa mezani. 1. Kumlazimisha mteja kununua Hakuna mteja anayetaka kushinikizwa. Watu hununua kwa sababu wanataka, si kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wateja wanakuja Dukani/DM lakini hawanunui? Hii ndo sababu

    Wateja wanaingia dukani kwako kila siku, wanakuja dm whatsapp, wanauliza bei, lakini mwisho wa siku, hakuna mauzo yanayofanyika! Kama wewe ni mfanyabiashara wa duka la nguo na unakutana na hali hii mara kwa mara, basi video hii ni kwa ajili yako. Leo nitakuonyesha sababu kubwa zinazowafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Mzimu wa Epstein waundama utawala wa Trump, raia wazidisha kuidai listi ya wateja wake waliyohadiwa na Trump

    Mojawapo ya ajenda ambazo Trump alitamba nazo sana wakati wa kampeni zake za kugombea urais awamu ya pili ni pamoja na kuweka wazi mafaili ya mauaji ya Rais John F Kennedy na kuweka hadharani listi ya pedophile maarufu Jeffrey Epstein ambaye alikuwa anawatafutia matajiri na watu maarufu wasicha...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufanya Wateja Wakuamini na Kununua Haraka

    Wafanyabiashara wengi wanaingia sokoni wakiwa na matumaini makubwa ya kuuza, lakini wanashindwa kuelewa kwamba wateja hawapo tayari kununua kwa sababu tu bidhaa ni nzuri au bei ni rafiki. Ukweli ni kwamba, mteja hanunui tu bidhaa ananunua uaminifu, ananunua uhakika, ananunua hisia ya kuwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu

    Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
  8. JamiiForums Tanzania Sifa za biashara zenye wateja wengi

    Katika kila mtaa, sokoni, au hata mtandaoni, kuna biashara ambazo kila mtu huzizungumzia. Kuna foleni milangoni mwao, simu hazipokeleki kwa wingi wa oda, na wateja wa zamani hurudi tena na tena. Sifa kuu za biashara zenye mvuto wa kudumu kwa wateja, kwa kutumia marejeo kutoka kwa blogu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Yas Fiber mtapoteza wateja sana

    Yani huduma za kibongo huwa zinaanza vizuri ila baada ya muda basi customer care inakuwa zero. Mimi ni mtumiaji wa Yas Fiber kwa zaidi ya miezi 8, na nilifungua ahdi thread humu naisifia kweli. Kuna muda mwanzo mwanzo ilisumbua nikawa nawapigia wanaahidi kuja hawaji, yani wakishakufungia basi...
  10. JamiiForums Tanzania Vodacom kumwaga mabilion kwa wateja wake

    Kampuni ya simu ya mawasiliano ya Vodacom imetangaza kugawa bilion 28 kwa wateja wake nchini. Fedha hizo zitaenda moja kwa moja kwa wateja watumiaji wa mpesa na na huduma nyingine za vodacom. Fedha yako utafanyia nini mdau utakapopokea Gawio
  11. JamiiForums Tanzania Mkienda kwenye migahawa usinawe maji yanayomiminika chini ya ndoo nyingine kwani wanaweza kutumia maji waliyonawia wateja kuongeza mvuto wa biashara

    mkienda kwenye migahawa usinawe maji yanayomiminika chini ya ndoo nyingine kwani wanaweza kutumia maji waliyonawia wateja kuongeza mvuto wao wa biashara au kupikia kwenye chakula. Kwa mawasiliano kuhusu tiba nk
  12. JamiiForums Tanzania CRDB WAKALA Wanakataa kutoa huduma ya Direct transfer kwa wateja wa Bank ya CRDB

    Taarifa kwa uongozi wa CRDB Bank kulifanyia kazi swala hili maana ni kero kubwa sana kwa wateja wenu. Binafsi nimepata usumbufu huu mara nyingi, kukataliwa kufanya direct transfer kwa mawakala wenu kwa kisingizio kwamba hawapati commission yoyote kwa huduma hiyo, fanyeni Uchunguzi mtabaini, kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaofanya kazi za stationery. usisubiri wateja wa ku-print tu, ongeza huduma mpya kwa msaada wa ChatGPT!

    Dunia ya kidijitali imerahisisha sana maisha. Siku hizi hauhitaji kuwa na ofisi kubwa au degree ili kutengeneza pesa. Ukiwa na simu tu na ChatGPT, unaweza kufanya kazi nyingi sana ambazo watu wanahitaji mtaani — na kulipwa. Hapa nitakuonyesha kwa lugha rahisi jinsi unavyoweza kutumia ChatGPT...
  14. JamiiForums Tanzania Kafara Katika Kuvuta Wateja Katika Biashara Yako

    Katika mfumo wa maisha tunayoishi, imejengwa misingi kwamba, wengi wawe masikini na matajiri wachache. Kwa hivyo, kama upo kundi la umasikini, kutoka humo siyo kazi nyepesi, ni lazima uzijue kanuni za kiulimwengu. Kuanzisha biashara ni jambo jepesi kupata wateja ni jambo gumu. Wateja wengi ni...
  15. JamiiForums Tanzania Wateja hawavutwi na bidhaa au huduma nzuri peke yake

    Wateja hawavutwi na bidhaa au huduma nzuri peke yake Hakuna kitu kinakatisha tamaa kama kuwa na huduma/bidhaa nzuri lakini hupati wateja. Bidhaa zako ni nzuri, zinaleta matokeo, una shuhuda za kutosha, lakini kila mteja anapita kama hakuoni. Kuna watu wana bidhaa mbovu sana au za kawaida...
  16. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo/Yas wanakiburi sana cha biashara au wanadharau wateja, TCRA wako wapi?

    Nimetuma pesa kwenye mtandao tofauti, pesa haijafika kwangu wamekata, na wananiambia masaa 72, wanasema tatizo lilitokea jana, chaajabu nimeangalia Instagram, nimeona malalamiko ni mengi sana, na yapo hadi siku za nyuma. Hii inapnesha ni tatizo la muda mrefu. Sasa kwanini hawaweki wazi tatizo...
  17. JamiiForums Tanzania REA YAENDELEA NA UHAMASISHAJI MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME, NA UUNGANISHAJI WATEJA MKOA WA MOROGORO

    📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme 📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme 📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board) Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Yas/Tigo wanapika data za vifurushi na kuibia wateja? Taarifa za matumizi ya kifurushi zimekuwa pungufu ya bando huku MB zimeisha!

    Wakuu, najua hii ni ndefu kidogo lakini tafadhali soma mpaka mwisho ili tukomeshe jinamizi hili, ******* Wakuu mimi ni mtumiaji wa huduma ya Postpaid kwenye mtandao wa Yas/Tigo, ambako ninanunua kifurushi cha Combo cha elf 60,000/-, kwenye kifurushi hiki napata data GB 55, Dakika 3000 mitandao...
  19. JamiiForums Tanzania Wateja wakubwa wa waganga na manabii uchwara ni wanawake

    Wanawake wamejawa na uovu mwingi kuliko wanaume na ndio vinara hata kwenye ushirikina hata kwenye maombezi wanawake huwa wanaoongoza kuanguka mapepo kutokana matendo yao yanavutia zaidi pepo wachafu , fanya tafiti wateja wakubwa wa waganga au hata manabii uchwara ni wanawake
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye salon kuweka free Wi-Fi kwa lengo la kutoza wateja 500 ili aperuzi

    namba kujua kama hich kitu kinaweza kua na Tija, yani mteja akiwa anakuja kunyoa namwambia aongeze jero kama charge ya network, naomba mnirekebishe hapa kabla sijaharibu pesa je nifanye vip ili nipate pesa kupitia free WiFi salon ya kiume, maana nina wateja wengi salon iko uswahili wateja wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…