wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Inawezekana toleo jipya la Apple kwenye iPhone 13 kisoko itapata wateja

    Tarehe 14 September 2021 kampuni ya Apple imetambulisha matoleo mapya ya vifaa na toleo jipya la iphone 13 na 13 pro. Ila nitapenda kueleza kiufupi simu za apple zilizofanya vibaya japo watu wanashindwa kuelewa. Kampuni hii ilianza kuwa na mauzo makubwa kuanzia iphone 2g mpaka 5s. ila kuna...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Mitandao ya simu itumie Mifumo ya Tozo kwa hiari kwa wateja wake kuwainua kimaisha

    Nawasalimu kwa jina la JMT Nimekaa nikawaza, kumbe kupitia mitandao ya simu Kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, nk inaweza ikachochea maendeleo ya moja kwa moja kwa wateja wake bila shuruti, hii inawezekana kupitia mfumo TOZO Kama ilivyoanzishwa na serikali. Tunajua kwamba, vijana wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Instagram kuwalazimisha wateja wanaojisajili kuandika umri wao kwaajili ya usalama wa watoto

    Sasisho jipya la Instagram linawataka wote wanaojiunga na mtandao huo wa kijamii kuandika umri wao, vinginevyo hawataweza kujiunga na mtandao huo. Hatua hiyo mpya ya Instagram haitawaathiri wote ambao wamekwishajisajili kwenye mtandao huo, lakini itawalenga wateja wapya wanaojisajili, ikiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Aina 5 muhimu za wateja (Five main types of customers) na jinsi ya kuwaleta

    1. Mteja Mwaminifu (Loyal customers). Hawa ni wateja ambao wanachukua asilia chache sana ya wateja wako wote wa kilasiku. Lakini ndio wanao fanya manunuzi kwa wingi Zaidi katika biashara yako. Mteja huyu ni wa muhimu sana na anatakiwa kumpa kipaumbele katika biashara yako. Utafiti...
  5. JamiiForums Tanzania Nani mabingwa wa huduma kwa wateja nchini?

    Nadhani sote tunafahamu kuwa suala la huduma kwa wateja kwa asilimia kubwa ya biashara, mashirika na ofisi za umma ni janga la taifa. Unaweza kufika kwenye biashara ya mtu na ukaishiwa kupata maumivu mpaka ukajiuliza kati ya wewe mteja na mwenye biashara nani mtafutaji. Watoa huduma wanatoa...
  6. JamiiForums Tanzania DSTV wanakera kwa kuibia wateja

    Dstv wamepanga channels za kila kifurushi. Ila ukisha nunua kifurushi ukicheki unakuta channels nyingi tu kwa mfano kifurushi cha shs 29900 (sasa wamekipandisha kua shs 31000) hawakupi. Maudhi makubwa ni channels za michezo. Kukiwa na mechi kali wanakufungia ingawa hiyo channel iko kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo mko wapi? Mabucha ya nyama Chanika yanawapunja wateja

    Habari! Siku moja kwa makusudi kabisa nikaamua kuwa mkaksi, nikasema nitanunua nyama kwenye duka(bucha) lenye mizani iliyo kamili kabisa. Nikaanza duka la kwanza nikakuta upande wa kuwekea mawe kuna jiwe la nusu kg. Nikamuuliza muuzaji, "Hili jiwe la nini ilhali mizani iko free haina nyama"...
  8. JamiiForums Tanzania Halotel huduma kwa wateja wana huduma mbovu mno

    Halo, Na niseme kwamba wahudumu wa mtandao wa simu halotel kitengo cha kupokea simu 100 huduma kwa wateja huwa wana huduma zisizo ridhisha na mbovu kuwahi kutokea. Sijui wamewaokota wapi hawa wahudumu wao wabovu namna hii, Kwanza wanatujibu vibaya wateja na wanafoka na mteja hata awe...
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO Shinyanga hawaunganishi wateja wapya kisa magari mabovu

    Wakati Serikali ikiwataka wananchi kulipa kodi za majengo kupitia kununua LUKU TANESCO Shinyanga wao hawaunganishi wateja wapya umeme kisa magari yao ni mabovu! Miujiza hii inapatikana Tanzania pekee!! Ukiliangalia sana suala hili utaona waziri @Kalemani ni kama anahujumiwa! Inawezekanaje...
  10. JamiiForums Tanzania Maajabu ya matumizi ya rangi zenye sifa ya kuongeza wateja kwenye biashara yako

    Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria. Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini. Na moja ya mambo ambayo watu wengi wanakosea ni kuchagua rangi zinazofaa katika biashara zao. Kumbika ukianza tu kutumia...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Ajira kupitia kukusanya vifaa vibovu vya wateja na kuvipeleka kwenye matengenezo

    Kuna eneo linaweza kutoa ajira, japo litahitaji mtaji mkubwa kidogo. Wangalau 50m itawezesha kuendesha huduma hii. Inafahamika kuna watu wengi wanaobanwa na kazi siku nzima kiasi kukosa muda, na wengine hawana ufahamu wa kutosha sehemu ya kuweza kupata huduma mbalimbali. Makundi tajwa hapo yote...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso hivi unafahamu kwamba ni mwezi mzima sasa DAWASA hawajaunganisha maji kwa Wateja wapya?

    Habarini za Majukumu wadau, Kama kichwa cha habari kisemavyo, mamlaka ya maji Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani (DAWASA) wameshindwa kuwaunganishia wateja wapya huduma ya maji kwa sababu wanadai vifaa hamna. Specifically, binafsi nimefanya malipo ya kuunganishiwa huduma ya maji katka ofisi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kituo cha mbezi wanagawa used receipt kwa wateja ??

    TUKIWA TUNAENDELEA NA KODI YA MSHIKAMANO KUNA HAYA MALALAMIKO TRA NI YA KWELI HAYA ?? "This is what taasisi zinatakiwa kudhibiti kuhakikisha kodi zinakusanywa sawa sawa, tulikosea njia tukaingia kituo cha mbezi mwisho, kwenye kutoka tukalipishwa buku but wametupa risiti iliyotumika huku...
  14. JamiiForums Tanzania Njia 3 Rahisi Za Kuongeza Wateja Wapya Katika Biashara Yako

    Ikiwa wewe ni mjasiriamali mchanga au mwenye uzoefu wa kuhudumia wateja hadi 10,000 — kamwe huwezi kuchoka kutafuta wateja wapya. Kwa wafanyabiashara wengi, mchakato wa kutafuta wateja wapya unaweza kuonekana kuwa mgumu na usiotabirika. Kama una ndoto za kukuza faida katika biashara yako...
  15. JamiiForums Tanzania Unawezaje kujenga imani kwa wateja wako?

    JENGA IMANI/UAMINIFU. Biashara, hivi sasa zinahamia katika digital platforms. Kuna majukwaa mengi ambayo wateja wanakutana na wauzaji na kufanya biashara bila kuonana. Mifumo hii imeongeza mauzo, na kukuza biashara nyingi, na nguzo kubwa ya mafanikio kwenye majukwaa (platforms) hizi ni...
  16. JamiiForums Tanzania Uingereza: Mtaalam wa masaji atupwa jela miaka 4 kwa kurekodi video za wateja wanawake zaidi ya 900

    Mtaalamu wa Masaji (anayewafanyia Watu massage) Julian Roddis wa Uingereza amehukumiwa miaka minne Jela kwa kosa la kutumia camera ya siri iliyofichwa kwenye saa yake kuwarekodi Wateja Wanawake waliofika kufanyiwa Masaji. Uchunguzi umebaini kuwa ametumia miaka miwili kuwarekodi Wanawake zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Mwendokasi kituo cha Gerezani waheshimuni wateja wenu wanaokwenda Mbezi

    Habari wadau..! Leo kwa mara ya kwanza nimepanda mwendokasi mchana yaani majira kama ya saa 8 na nilichokiona palee Gerezani kinatia huzuni kwa kweli jinsi abiria waendao Mbezi wanavyoteseka na jua kali la mchana kwenye foleni wakati stand ni kubwa. Hivi kweli watumishi wa stand hawajaliona...
  18. JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania ondoeni hii meseji mnayotuma kwa wateja kila muda, pindi wanapopiga simu na kukata simu. Ni kero

    Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii. Na hii ni huduma ambayo sikujiunga...
  19. S

    JamiiForums Tanzania NSSF Tanga badilikeni, wahudumu mnaonesha chuki kwa wateja

    Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno. Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo. Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
  20. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO rudisheni token ama fedha za watu mlizochukua wakati wa tatizo la mtandao

    Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine? Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…