watawala

Watawala is a village in Sri Lanka. It is located within Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums PreGE2025 Wakenya huku mitandaoni hakutoshi. Sijui kama watawala wanaweza hata kuvumilia yanayoandikwa kuwahusu wao

    Huko kwenye mtandao wa X, Wakenya wamekuja juu na lugha kali ambazo nahakika watawala walikuwa hawajazizoea na sidhani kama wanaweza kuvumilia kusoma yanayoandikwa juu yao. Kwa kifupi, kama kuna watu huwa wanasema watanzania huwa wanaandika lugha chafu mitandaoni, basi wakajifunze kwa Wakenya...
  2. M

    JamiiForums Zitto Kabwe: Watawala wa awamu ya sita wanamwogopa Habinder Seth wa IPTL

    Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth. Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais...
  3. H

    JamiiForums Kama Ilivyo, Hakuna Uhuru Usio na Mipaka, Watawala Pia Wajue Hakuna Mamlaka Yasiyo Na Mipaka. Kilichofanyika Airport, ni Ushenzi

    Watawala, pamoja na jeshi la polisi, siku zote wamekuwa wakipenda kutoa kauli kuwa: 1. Tii sheria bila shuruti. 2. Hakuna uhuru usio na mipaka Jambo la kujiuliza, hawa wanaotoa hizi kauli ambazo ni sahihi, wao wenyewe wapo mstari wa mbele katika kuzitekeleza ili kuweka mfano mzuri kwa...
  4. M

    JamiiForums NRNE no reforms no election ni mapinduzi ya kifikra na kisiasa watawala mjitafakari

    Huu upepo wa No reform No election ni mkubwa na una nguvu umeshika kasi kwa wananchi. Hii ni "ideology" na ni ajenda ambayo wananchi wanaielewa kwa urahisi kutokana na yaliyoonekana kwenye chaguzi zilizopita na hususani uchaguzi wa 2024. Ninashauri Serikal8 yangu tukufu ifanye marekebisho ya...
  5. JamiiForums Kifo cha Thomas Ogle Kilikuwa tishio kwa watawala wa makampuni

    Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama. Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
  6. JamiiForums Unaweza kuwa hujashiriki dhambi kimatendo ila umeshiriki dhambi iliyofanyika kwa watawala kumuangamiza mtu yoyote

    Hata Yuda alijua vipande vya pesa alivyopewa alijua ndio mwisho wa kumchoma yesu lakini alijikuta kama ameshiriki kifo cha Yesu. Vitendo vya kukubali au kubariki watawala kuanzia wananchi kuwassuport mpaka uchangiaji humu na kutoa ushirikiano ili watu waumizwe kumbukeni wote ni washiriki. Kwa...
  7. R

    JamiiForums Angalia WATAWALA wanavyo wa rate /waChukulia watanzania KUWA NI WAJINGA.

  8. Z

    JamiiForums Askofu Bagonza: Watawala wanaogopa kukosa madaraka kuliko kumkosea Mungu

    Video inajitosheleza!
  9. JamiiForums Mandela aliwahi sema, Lugha walio kuwa wanaielewa Makabulu ilikuwa ni moja tu, Na Tanzania Lugha ambayo hawa watawala wanaweza ielewa ni moja tu.

    Mandela nyakati fulani aliwahi sema Makabulu lugha walio kuwa wanaielewa vyema ilikuwa ni ya Lisasi tu. Hizo Lugha zingine walikuwa hawazielewi na zilikuwa haziwaingii kabisa. Na Wazulu walivyo kuwa wanapambana na Makabulu kwa Bunduki angalau kuna wakati Makabulu walikuwa wanaelewa lugha hio...
  10. JamiiForums Ni vigumu sana kumtenganisha Rais na Watekaji, kwa sababu asilimia 99 wanafanya kazi kwa masilahi ya Raisi. Historia ya Watawala Duniani iko wazi

    Tunaweza kuona ni swala dogo ila ni kwa sababu hatujasoma historia za watawala Mbali mbali huku Duniani. Binafisi nashindwa kumtenganisha Mheshimiwa na watekaji, kuna anacho kijua kuhusu watekwaji na some time hata kuwapa Baraka inaweza kuwa sio Direct ila hata Indirect tu. Swala la Viongozi...
  11. JamiiForums Kati ya watawala na watawaliwa, nani anafaidi na kuvuruga 'amani na utulivu?

    Matukio ya kuteka, kupoteza, kuua, na sasa kushambulia wasiokubaliana na serikali vimeanza kuzoeleka nchini. Hali ni mbaya. Mbali na ufisadi uliogeuka donda ndugu, jinai ya kuangamiza, kutisha, kunyamazisha, na kudhulumu wasiokubali kugeuzwa au kujigeuza chawa imeongezeka. Vitisho vya...
  12. JamiiForums Maziko "Simple" ya Papa Francis ni funzo kwa Watawala wa Afrika!

    1. Poleni Wakatoliki kwa kumpoteza Baba Mtakatifu. 2. Maziko haya simple wanatoa funzo kwa Watawala Miungu Watu wanaodhani wataishi milele na kupigiwa saluti. Kumbe siku unazima ulinzi na wapambe vinapotea hapo hapo 3. Tukanyage hii ardhi kwa adabu Ndugu zangu. Hapa tunapita Tu...
  13. M

    JamiiForums Watawala wetu wasiogope siasa za ushindani

    Inawezekanaje Republican wamtoe Democrat kwenye uchaguzi na kubakiza vyama vidogo vidogo halafu watuambie wamefanya uchaguzi? Huo utakuwa si uchaguzi bali ni VICHEKESHO. Inawezekanaje SIMBA amtoe TEMBO kwenye mashindano na kuwabakiza digidigi, sungura, panya na nyani halafu atuambie kuwa...
  14. H

    JamiiForums Watanzania wameamua kutumia njia za amani kudai haki zao, lakini watawala wanatumia Maguvu kuharibu Amani

    Mpaka sasa, hakuna mwananchi hata mmoja, hakuna chama cha siasa chochote cha upinzani hata kimoja, wala hakuna taasisi hata moja, imetumia nguvu kudai haki za kikatiba zinazogandamizwa nchini. Jambo la kusikitisha ni kuwa madai hayo ya haki za msingi za kikafiba za wananchi, yanayofaiwa kwa...
  15. H

    JamiiForums Padre Silvio, Mwalimu wa Malezi Seminary: Kanisa Lina Wajibu Wa Kuionya Na Kuishauri Serikali. Serikali Haina Mamlaka Kuwanyamazisha Viongozi wa Dini.

    Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ? . Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici – CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu...
  16. JamiiForums Kama nchi tunatakiwa kutumia busara kuondoa mikwamo hii mapema kabla ya uchaguzi

    #HABARI: Gari aina ya Nissan Ex-trail lenye namba za usajili T 566 CXL mali ya Bw. Philimon Mng'ong'o, Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mbeya mjini Mkoa wa Mbeya limechomwa moto majira ya saa kumi usiku wa kuamkia leo Aprili 22, 2025 na watu wasiojulikana. Katibu Mwenezi wa CCM...
  17. JamiiForums Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  18. JamiiForums BAKWATA tokeni hadharani kukomea dhuluma za watawala

    BAKWATA ni Moja kati ya taasisi kubwa ya kidini hapa nchini Sijui jukumu lake ni kuangalia mwandam wa mwezi na kutangaza sikukuu ya Eid tu au kuchinja ngamia pale uwanja wa Biafra Kinondoni Kuna dhulumu za watawala wanatenda Kwa wapinzani ikiwemo kubambikizia kesi watu za uhaini, kunyima...
  19. M

    JamiiForums Watawala, mnajua hatari inayoweza kuja huko mbeleni?

    Popote pale Duniani, uchaguzi ni issue nyeti sana. Lakini kwa Nchi yetu kwa sasa ni kama tumepuuza unyeti wake. Hali hii ikiachwa iendelee hivi, tunakwenda kuliangamiza Taifa hili. Kitendo cha watawala kumkamata Tundu Lissu na kumfungulia mashtaka ambayo kimsingi hayana ukweli wowote kimeongeza...
  20. B

    JamiiForums Kwa nini Matajiri na Watawala Huogopa Mabadiliko?

    Asalaam Aleykum wana JF, Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye hoja. Mara nyingi na kwenye jamii nyingi, matajiri na watawala huogopa mabadiliko kwa sababu yanatishia maslahi yao tofauti na wanyonge ambao wengi wao hawana cha kupoteza zaidi ya kupoteza umaskini na unyonge wao. Haya yaliwahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…