watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheria ya mafao kwa wastafu: Nchimbi naye anaingia kwenye Orodha ya Wanufaika wa maisha wa Kodi za watanzania masikini.

    Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
  2. JamiiForums Tanzania Ujinga wa Watanzania unavyofanya wanatapelewa mitandaoni Kila siku !!

    Maisha yanaenda Kasi, Kila MTU Kila siku anatafuta namna ya kuishi. WACHINA Kila siku wanakuja na Gunduzi za Kila aina , Gunduzi zao zinawekwa mitandaon , zipo Gunduzi zinazowekwa mitandaoni lakn zinakua restricted kutumika kwenye Nchi zao tu . WABONGO MATAPELI, na vile tuna TCRA ya kudeal...
  3. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya nini na CCM Wametukosea nini Watanzania?

    Wakati wa John Pombe Magufuli, Freema Mbowe aliomba marithiano kule Mwanza. JPM akakausha.. Baada ya Mama Samia kuingia Madarakani alikuja na 4R na akaanzishisha maridhiano na Chadema. Leo Wasira kasema kuwa ataendeleza maridhiano stakeholders wote siyo na mtu akitaja taasisi za kidini. NGOs...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania tuheshimu kura zetu, kama CHADEMA sasa hivi wanatukanana, na hata kutaka kupinduana, ndio tuwakabidhi nchi? Hapana, tuwape muda kuwasoma

    Hawa jamaa chama chao hakijatulia kwa kiwango cha kupewa nchi au wabunge. Ndani kimeoza, kina vita, fitna, mapambano, husda. Mbowe alijaribu kuonyesha mambo yako sawa kwa busara zake kabla hajastuka kwamba msaidizi wake ni mteja wa mirembe na kinywa chake kimeoza Tuna familia, watoto, ndugu...
  5. JamiiForums Tanzania Unafiki mkubwa wa baadhi ya watanzania

    1. Kuwadanganya watu wa mwanza kuwa dagaa zao ni tamu kushinda dagaa Mchele wa pwani na dar na WA majichumvi huu unafiki nmeuvumilia mda MREFU sana kiukweli dagaa watamu ni wa 1. DAR, 2.MWANZA ,3KIGOMA WALE WA KIGOMA HAWANA RADHA YEYOTE 2.Unafiki wa pili ni Kwa watumishi wengi wa UMMA na...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi tabia ya Watanzania kuwa wajuaji na kuelezea kitu ambacho hawakielewi maana yake tena comfortable kabisa inatokana na nini?

    Wakuu kumekuchaje? Mimi ni mfuatiliaji wa kipindi cha BAMBA LIVE, kinachoendeshwa na BobCat. Kawaida ya kipindi hiki jamaa hupita mtaani na kuwauliza maswali baadhi ya watu. Maswali yenyewe anaweza kuuliza na kuweka terminology ya kiingereza ambayo ukiitafsiri unakuta ni nje kabisa na uelekeo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mabasi ya ccm yamewakera watanzania wameona ni kufuru

    Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi maskini wa nchi wanaona mmewaringishia Tena January hii wakati wao hawana ada za watoto wao.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ni Dhahiri sasa Mamilioni ya Watanzania Wameamua kuungana na Lissu na kukikacha Chama Tawala.

    Imethibitka, imethibitika. Kwa Sasa Macho na masiikio ya Watanzania Mamilioni kwa mamilion, mitandaoni na kqa ground wako Na Lissu. Kila.mtu anaimba mabadilko halisi. Si wanaccm, si wanachadema wala wasio na vyama. Kwenye Group Moja la Whatsapp lenye makada wakubwa na wadogo wa ccm...
  9. JamiiForums Tanzania WATANZANIA WENZANGU NAOMBENI MSAADA WENU

    Jamani life limenichapa miezi kadhaa iliyopita nilifunga biashara yangu ya picha, vifaa nikarurdisha nyumbani. Leo nimeamua kuuza vifaa vyangu ili maisha yaendelee Nina camera canon D 550 Studio picture background yenye vitambaa vinne na taaa Na boon mic Panasonic Vyote naitaji laki 9 tu...
  10. JamiiForums Tanzania Maswali ni mengi Watanzania tunajiuliza kuhusu CHADEMA

    1.hiki chama hakina wazee wakutuliza hizi vurugu? 2.kuna kundi litasusa.je,hili kundi litaanzisha chama kipya au litasujudia vyama vingine ili wapokelewe? 3.Baada ya uchaguzi,kundi lililoshindwa kama hawatahama chama, kuna kuaminiana tena?...
  11. JamiiForums Tanzania CCM iache Siasa nyepesi za kubebana na Wasanii kutafuta Justification ya Umati mkubwa, LITERACY RATE Kwa watanzania wa Leo ni Kubwa, hawadanganyiki !

    Mbinu zilezile za miaka ya 1960 ,ndizo zinazotumika hata Leo . 🤣
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania wenye vipato vya chini wanao somesha English Mediums wanateseka hadi nawaonea huruma

    Nashukuru Mungu nilijitoa kwenye utumwa wa kujitakia na Sasa naishi kwa Amani kabisa watoto niliwatoa EM nimewaleta Kayumba sina Tena stress na mambo yanaenda vizuri na watoto wanafanya vizuri darasani. Twisheni ya nguvu. Aliyekuwa la 4 mwaka jana kapata A zote Masha'Allah. Shoga zangu...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania Wanapenda Ubuyu wa Kisiasa. Wanasiasa wanatumia udhaifu huo kuwanyonya

    Tumeingia kwenye mfumo wa 4-4-2. Vyama vyote ni mali ya serikali, serikali ni mali ya CCM.
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

    Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram. Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili...
  15. JamiiForums Tanzania Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani

    Msituletee Habari za Vifo tu vya Viongozi kufia Nje ya Nchi walipokua wanatibiwa. Na Watanzania hawatakiwi Kuogopa Et kufanya kazi Nchi za waarabu ni hatari, Kuna kuuwawa n.k Dunia iliingia mikataba ya Kimataifa Kwa pamoja kuhusu haki ya kuishi ya kila mwanadamu na haki hizo lazima...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania ni wasahaulifu sana, baada ya lori kupata ajali, watu wanachota mafuta

    Kuna ajali ya lori la mafuta imetokea hapa Mzambarauni , Morogoro. Kitu kilichonishangaza ni uwepo wa watu ambao wamejiandaa kabisa kwa kuchota mafuta wakati si miaka mingi naeneo hayo hayo palitokea vifo halaiki kutokana na moto August 2019.
  17. JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuongeza kiwango cha usafi kwa Watanzania?

    Wengine wanaweza wakaishia kusema kuwa ukimchungumza sana bata hutamla, lakini acha tu ukweli usemwe! Watanzania wengi bado ni wachafu! Siwakejeli! Nitaanzaje kufanya hivyo na huku na mimi ni Mtanzania? Nitawezaje na huku hao ni ndugu zangu, mama zangu, dada zangu, kaka zangu na watu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Usipotambua kwamba Watanzania tunaishi Kibepari (Capitalism), utaishia kuilalamikia Serikali haikusaidii

    Watanzania wengi huishi kwa matumaini kwamba serikali itaingia moja kwa moja katika maisha yao na kutatua changamoto zao. Hili limewafanya wengi kulalamikia serikali, wakiamini kwamba ina jukumu la moja kwa moja la kubeba kila tatizo, bila kutambua mfumo wa kiuchumi tunaoishi ndani yake – mfumo...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi Unafiki ndio huuita Busara. Watanzania wengi wakikuambia una busara sana tambua una kiwango kikubwa cha unafiki

    Mpo salama! Watanzania wengi wakikuambia unabusara nenda kajitafakari Sana. Kwani wao wanachanganya Unafiki na Busara. Wengi wao wakikuambia unabusara Sana tambua wanamaanisha wewe ni Mnafiki Sana. Hii ni Kwa sababu Watanzania wengi hawaupendi UKWELI. Hawapendi watu wa Moja kwa Moja. Na mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

    Amani iwe nanyi watanzania Sina uhakika huyu aliyeanzisha huu mradi wa mwendokas kama alikuwa na lengo na kutesa watanzania kiasi hiki Na kama angejua watu watakuja kuteseka namna hii hakika asingeuanzisha Utawala uliopo madarakani umeshindwa hata kusimamia huu mradi halafu wanataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…