watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Paschal Mayala aepuke dharau dhidi ya Lissu Jembe Letu

    Paschal Mayalla I. UTANGULIZI Makala ya Paschal Mayala katika gazeti la Nipashe, toleo la Jumapili, tarehe 23 Februari 2025, imenikumbusha matukio ya kisiasa ya mwaka 2022. Tarehe 20 Mei 2022 viongozi wa Chadema walikwenda kwenye kikao cha majadiliano ya kuimarisha demokrasia na hali ya...
  2. Culture Me

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

    https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake, Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watanzania wanaoongoza kuposti maudhui ya hovyo mtandaoni

    Smart phone revolution imekuja na changamoto zake , hasa kwa wale wasioweza kujidhibiti na kujikuta wakipost ama maudhui yasiyo na maadili au maudhui yasiyo natija kwa jamii. Orodha hii itakuwa refu kulingana na utafiti wangu siku za usoni. 1. Malkia wa nyuki 2. Cynacute 3. Hello tanzania 4...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaacha Kuwaombea Watanzania wengi wenye Shida mbalimbali 'Mnajipendekeza' Kumuombea Mtu ambaye ni Tajiri hadi Umauti wake

    Watumishi wa Mungu Tanzania wakiongozwa na Mtume @mtume_boniface_mwamposa wameandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kumuombea Dua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan na kuliombea Dua Taifa la Tanzania liepukane na migogoro ya kisiasa, vita na kila aina ya baya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo: Watanzania tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana. Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa. Shigongo...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watanzania walalamikia utaratibu wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana Shauri John Bintanya

    Watanzania wanalalamikia utaratibu uliowekwa na Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana aliyeibuliwa na mitandao hivi karibuni wa kufunguliwa account za bank wakidai nia yao ni kupewa kijana huyo pamoja na dada yake ili wawasaidie kwa kuwasomesha na sio...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya receptionist naombeni msaada wenu 0713776534
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa singeli Kabudi unatukosea Watanzania huujui vizuri huo mziki. Bongo Fleva ndio mziki rasmi unaoitambulisha Tanzania

    Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo: Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
  9. snipa

    JamiiForums Tanzania Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watanzania huwa hawanunui gari inayotumia mafuta mengi hata kama ina ubora wa hali ya juu

    Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini nje ya wachaga ni nadra kukuta kampuni kubwa za watanzania wengine wa asili ?

    Watanzania wa asili – Hawa ni watu wa makabila ya kienyeji ya Tanzania kama Wanyamwezi, Wazaramo, Wasukuma, Wachaga, Wahaya, n.k. Hili suala halina chembe yoyote ya kikabila maana ni uhalisia kama ilivyo kwa wafugaji waliofanikiwa sehemu kubwa ni wasukuma na wamasai, nikisema sehemu kubwa ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pakifanyika Reforms kwenye Katiba kupata Tume huru ya Uchaguzi, Watanzania wanaweza kuiamini na kuipigia kura CCM, tuondoe hofu

    Hellow Tanzania. Nani anaingiza HOFU ndani ya chama Cha MAPINDUZI kuwa, pakifanyika Reforms kwenye Katiba tukapata Tume huru ya Uchaguzi, kwamba CCM itaanguka na kushindwa vita ya Uchaguzi mkuu? CCM Ina mtajj mkubwa wa wanachama Nchi nzima, na wamefanikiwa kumtangaza Mwenyekiti wa chama kwenye...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Aina 10 za biashara zinazotapeli mamilioni ya Watanzania na wastaafu

    1. Watch Videos and Get Paid (Angalia Video Youtube na Ulipwe) Hakuna pesa inakuja kwa kutizama wananzengo tufanyeni kazi jamani. •Mara nyingi, wanakutaka uweke hela kwanza kabla wao hawajakulipa •Wanakupa points ambazo huwezi kuzitoa, points zinazo onekana kama pesa •Mwisho wa siku, umepoteza...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ajali ya lori Kimara itufungue macho Watanzania

    Niliwahi kuandika hapa JamiiForums juu hatari ya biashara kandokando ya barabara kuwa kuna siku gari likosa mwelekeo leo limetokea. Tunaposema wananchi wa kawaida huwa ni kama vile kelele. Lakini hili viongozi waamke, angalau makala alijitahidi lakini sana ukiwa Kariakoo, Mabibo Sokoni, Mbezi...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Watanzania kwa viongozi wao sasa hivi ni 0%

    Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kemirembe Lwota, pamoja na Mnec, Mwita Gachuma, wamejeruhiwa baada ya Gari waliyokuwa wamepanda wakielekea Kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, Eneo la Gesarya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, kuacha njia na kupinduka. Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wanavunja katiba yao, watashindwaje kuvunja katiba ya Nchi?

    Ndugu zangu Watanzania, tuwape nafasi ya kutuongoza kwa sababu kama wanavunja katiba ya Chama chao, watashindwa nini kuvunja katiba ya Nchi? Wameshaonesha kwamba hawawezi tena kuheshimu hata Katiba ya chama chao. Chama kikubwa kinatakiwa kuwa mfano bora kwa vyama vingine, lakini wao wameonesha...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huu Mkutano wa SADC Samia alitoa maoni gani tufahamishwe watanzania

    Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa. Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces...
  18. snipa

    JamiiForums Tanzania Account ya Mohamed Dewji haikuwa hacked "haikudukuliwa" ? ila kalipwa kuwadanganya na kuwaingiza mkenge watanzania, Crypto scam.

    Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema. Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao ajifanye yake na aiache post Kwa masaa 8 na baada ya muda huo kupita aje aseme account yake...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mtu umekaa katika taasisi kubwa ya kimataifa leo unaulizia biashara ya duka la mangi, Watanzania hebu kuweni makini

    Unaweza usimuelewe mswahili mtu ulikuwa unaingiza zaidi ya figures nane then leo unashindwa hata kuanzisha biashara ya mil 100. Hakika mswahili habebeki bora USAID ifutwe mbaya zaidi ukupenda kujichanganya na watu SAD.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
Back
Top Bottom