watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao.
Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo...