watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Watanzania wengi hudhani kuwa bize ni sifa lakini ubize bila tija ni sawa na mbio bila mwelekeo. Zingatia matokeo, si shughuli tu

    Watanzania wengi sana hupenda kuonekana bize bila kujali matokeo, Kuna watu hawaendi popote, hawana kazi yoyote, lakini kila asubuhi wanawahi kuamka tu waonekane nao wana mambo mengi. Mtu yuko na simu sikioni kaibana kwa bega huku mikono akiitumia kaundika daftari, anapiga kelele kama yuko...
  2. Sheikh Mwaipopo: Watanzania siyo wakenya

    Msikilize hadi mwisho, utajifunza na kuacha mihemko ya kutaka kuingilia kesi iliyoko mahakamani. https://youtu.be/ZU3LGBjghAw?si=YC8lt5lASFFSCzIB
  3. R

    Salamu kwa watanzania kutoka kwa Dr. Miguna Miguna kutoka Kenya

    Dr Miguna miguna President @Suluhu Samia has charged CHADEMA leader, @TunduALissu—her main opponent—with treason, over CIVIL DISOBEDIENCE calls of #NoReformsNoElection. This is the kind of insecurity, desperation and stupidity which African tyrants excel in. Civil disobedience is a...
  4. PreGE2025 Lissu aache kujitesa kwa ajili ya watanzania, ni watu wasio na shukrani

    Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake. Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea...
  5. Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  6. Utengano na woga wa watanzania ndio nguvu ya Watawala kuendelea kuwa walivyo leo

    Miaka kadhaa iliyopita nilisoma kitabu kimoja kilichokuwa na hadithi ya baba mwenye watoto 10, ambao kila mmoja alipoambiwa avunje fungu la vitiji 10 peke yake alishindwa ila pindi walipoambiwa wavivunje kwa pamoja vijiti hivyo 10 walivivunja kwa urahisi sana! NAAM Umoja ni nguvu na utengano ni...
  7. Watanzania hatujawa tayari kwa mabadiliko, hata sisi keybord worrior wa humu JF tusidanganyane

    Mabadiliko kwa Wabongo bado sana, tusidanganyane kupeana matumiani na ujasiri fake kwenye keybord. Wabongo bado tuko kwenye usingizi mzito sana ziaidi ya usinhizi wa maiti, na nazani baada ya Kenya kumalizana na mabadiliko itafuata Uganda na huenda hata Rwanda then ndio Tanzania. Sisi kwanza...
  8. E

    Watanzania waliowahi kushitakiwa kesi za uhaini Tanzania

    Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani na kusomewa shitaka la uhaini, kumekuwa na hisia tofauti kuhusu kosa hilo, hasa ikizingatiwakuwa kiongozi huyo amekamatwa akiwa kwenye mikutano ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiiliko Hakuna Uchaguzi), inayofanywa na Chadema...
  9. No reforms No Election ni wazo la watanzania na siyo CHADEMA

    Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa. Lakini mwaka 2020...
  10. L

    Jeshi la Polisi: Watanzania Msikubali Kabisa Kukamatwa Na Askari Asiye na Kitambulisho

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Someni Habari hii muongeze Ufahamu kidogo. 👉Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea. Kamanda wa Polisi humo, Safia Jongo ametoa...
  11. S

    Bunge la 12 linamaliza muda wake miezi 3 ijayo watanzania tutalikumbuka kwa lipi?

    BUNGE la 12 linavunjwa rasmi Tarehe 27 Juni 2025 baada ya kumaliza kazi yake kwa miaka 5 kama watanzania tutalikumbuka Bunge hili kwa lipi chini ya Spika Tulia Ackson?
  12. K

    PreGE2025 Rais Samia elewa No reform maana yake ni damu za Watanzania

    Kuna watu hapa Machawa wanamdanganya huyu Raisi Samia. Raisi Samia kukitokea umwagaji damu hapa wakulaumiwa sio machawa maana watajikausha, Mchimbi ndiyo kabisa ataona nafasi yake ya kung’ara, Kikwete hata simu yako hata pokea. Maana yake ni kwamba mambo yakiwa mabaya utabaki wewe peke yako. Ni...
  13. W

    PreGE2025 Prof Lipumba: CUF Kitawakomboa Watanzania

    Wakuu Prof. anadai CUF itawakomboa Watanzania, au G55 waende huko tu Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 === Mwenyekiti wa chama...
  14. Natangaza Habari Njema kwa Watanzania Wote

    Ndugu Watanzania wenzangu, Leo nasimama mbele yenu kwa moyo wa shukrani, upendo na tumaini kuu, nikitangaza Habari Njema si habari ya siasa, biashara, wala maendeleo ya kidunia, bali habari ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai, ambaye alikuja duniani kwa ajili yetu sote maskini kwa...
  15. John Mrema: No election ni kukusanya wimbi kubwa kwa jamii ili kushinikiza mabadiliko. Lissu: ninaikusanya jamii ya watanzania ili kuhimiza mabadiliko

    John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko. Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe? Mimi hata...
  16. Nimegundua Watanzania wengi ni wapole kwa Sababu ya umaskini, ujinga na maradhi

    Hamjambo Wote! Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia. Kwenye Mada. Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa. Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio...
  17. X

    Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

    Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni. Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa...
  18. Dkt. Godwin Mollel: Watanzania wana akili, CHADEMA wakiendelea hivi Chama kitakufa, watakumbuka busara za Mbowe

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu: "Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili ...
  19. Tetesi: Watanzania wengi hasa wabunge na madiwani wameipokea kwa shangwe hoja ya Tundu Lissu Uchaguzi ufanyike 2027 baada ya reforms zote kufanyika

    UJUMBE: CCM chukueni hii miaka mitatu ya bure Kwakuwa nyie sio Mungu hamuwezi jua yatakayotokea kwenye Uchaguzi kama mtalazimisha kuingia kwa lazima. !!!!!! Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha CHADEMA pamoja na chama cha ACT Wazalendo wametoa ofa kwa Rais wa Tanzània Mhe Samia...
  20. Wapo wanasiasa ndani ya taifa letu, kiu yao na tamaa zao na Furaha zao ni kuona watanzania wanauana, na kuchinjana, tuwaepuke!

    Can't leave my country to dog! Mwl. Jk nyerere. Nyumbani kwetu ni hapa Tanzania hatuna uraia wa popote pale kama wenzetu.... More infos to come!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…