There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Adolf Hitler wa Ujerumani (1889–1945)
1. Fanya uongo kuwa mkubwa. Fanya uwe kwa lugha rahisi. Endelea kusema, na hatimaye watu wataamini.-Adolf Hitler
2. Kifo ndio suluhisho la matatizo yote. Hakuna mtu, hakuna shida.-Joseph Stalin
3. Huwezi kukimbia kwa kasi zaidi kuliko risasi-Ide Amin
4...
Serikali za Tanzania zinakumbatia wanaoendeleza ugahaba na ushenzi, na wanamuziki wote hapa Tz ukifuata mienendo yao hawana isipokuwa kuendeleza tabia chafu, mambo ya haramu kwao wao wanayafanya kuwa halali na wengine huvuka mipaka na kuzichanganya dini kati tabia zao za ufuska.
Mambo yao...
Hawa ni vijana wenzangu wanajitafta!
Inchi imepanua sana wigo wa ajira kupitia sanaa! Serikali inatumia kila mbinu kuwainua vijana hata kwa motisha!
Stand up comedy kuna vijana wachache sana tanzania wenye ubunifu wa kisanii!
Wengi wao wanaropoka tu pasipo kuchuja maneno! Sijui ni bangi...
Kwa muktadha wa katiba maswala ya kidemokrasia yamewekewa utaratibu katika katiba.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweka wazi namna maswala ya demokrasia yanavyotakiwa kuenendwa.
Katiba yetu nzuri na hai inataja wazi katika ibara 146 (2) c...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaambieni ya Kuwa Taifa letu na Nchi yetu chini ya Nahodha wetu Maridadi na Hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru...
Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa kuwaondoa walimu wa Tanzania wanaofundisha shule hiyo.
Mmoja wa watoa taarifa katika shuile hiyo...
Anonymous
Thread
kuajiri
kuondolewa
shule
uganda
walimu
walimu wa uganda
watanzania
Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali.
Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu.
Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu...
Dunia haijawahi kuwa sehemu nzuri sana kwa Watawala Madhalimu.
Wote waliofanya vitendo vya kuua, kuteka, kuwalawiti na kupoteza raia walikuja kukutana na mkono wa Sheria. Wengine kwa Mahakama za ndani ya Nchi zao na Wengine kwa Mahakama za Nje za Kimataifa.
Hali iliyopo nchini Tanzania kwa...
Kupitia Ukurasa wa Instagram msanii wa Bongofleva ambaye mwaka 2020 alitambulishwa rasmi kuwa Msanii wa Label ya Muziki ya Konde Gang, Ibraah ameandika ujumbe wa kuomba msaada kwa watanzania kiasi cha B 01 ili aachane na Kondegang
"Sio mbaya kukubali kuwa mimi ni kijana niliyetokea kwenye...
Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako.
✅ Crypto ni...
GT
Nimepiga hesabu zangu zinakataa katakata uchaguzi haupo, Nimepiga ramli, nimeongea na wazee lakini wapi mababu wanasema mwaka huu mgumu sana.
Sijui huko Mbeleni kitatokea nini ila uchaguzi utakuwa ni mgumu na wenye sintofahamu kubwa in case utakuwepo.
Hapa ndo naikumbuka kauli ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa watu.
Huyu Mama yetu Mpendwa amejitoa na kujitolea Maisha yake...
Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen
Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni
Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina...
“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa.
Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k.
Matukio kama matatu...
Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
MOSI,
Magereza mbalimbali nchini naamini wameanza kukarabati vyumba vya kulalia wafungwa na kuboresha miundo mbinu ya kuwadhibiti wanaoweza kuhatarisha usalama wa mazingira ya wafungwa sugu na wale wachochezi wasioitakia mema nchi ,wanazuka kama uyoga unapokaribia Uchaguzi mkuu ,inasemwa wapate...