watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

    Watanzania sisi ni wanafiki sana haijawahi kutokea, mtanzania mnaweza kupanga jambo pamoja lakini mbele akakusaliti sijui ni roho mbaya au wivu? Ngoja niwaambie, sisi watanzania sio waoga ila tunateswa na UNAFIKI. Ukitaka kujua mtaani tunapoishi umeme ukatike, cha kwanza ni kuchungulia kama...
  2. JamiiForums Tanzania JWTZ vyombo vya ulinzi na usalama waliokula kiapo kulinda usalama na kutetea watanzania viko wapi wakati huu watu wanatekwa na kuuawa?

    Haya majeshi sijui yaliundwa kwa ajiki ya kuitetea CCM na kuilinda serikali? Wametekwa watu mchana kweupe, Mzee Ally Kibao, na sasa Humphrey Polepole, kisa wamezungumza na wametoa maoni yao ya wazi na yenye nia njema na nchi, ila wanatekwa na majeshi yetu yapo tu! Kazi yao kufanya jogging na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania naomba kwa sasa tumpuuze Polepole, ni mhuni tu

    Kuna maswali mengi kuhusu Polepole na nafasi yake katika siasa za Tanzania, hususan baada ya taarifa kuhusu Captain Tesha kuibuka na kupata umaarufu mkubwa. Polepole ameonekana kuzingatia siasa za kivuli, na hatua zake zimekuwa zikichochea mashaka kuhusu nia yake halisi na ajenda anazozitetea...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Butiku usipokemea anayopitia Polepole, Umeshiriki kuivunja Tanzania

    Butiku jana ulisema Jeshi lisiingilie Siasa, Ila Hakuna namna kwenye this terror regime. Tulitaka tuvuke huu mkwamo kwa kutunza heshima yenu, ila ameshindwa kuwacontrol hawa wahuni wake na wamekuwa rougue Kama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa "Gloves are off". We need to...
  6. JamiiForums Tanzania JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
  7. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mzee Butiku , Kwa Maoni yako unayohisi yana Busara, nini Hatima ya Watanzania kuanzia 2026 ikiwa Samia ataendelea?.

    Nini Hatima ya Waliotekwa na Kufungwa na kuuwawa?. Nini Hatima ya Vyama vya siasa hasa CHADEMA ? Ni Hatima ya Tundu LISSU ?. Nini Hatima ya Walio, wanao na watakaoendelea kuikosoa Serikali Kwa namna mbovu inavyoendesha Nchi?. Nini Hatima ya Wazalendo ambao wanahitaji kuhakikisha...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi

    Nawasalimu nyote kwa isani ya maandamano ya amani 29 October Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi kakikundi kidogo chenye tamaa za madaraka na vitoto vya shetani vinatka kumwagilia mafuta wananchi na majeshi kumwagana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Aisee!! Maandamano ya 29.10.2025, mambo ni moto. Hongera kwa wapigania haki

    Kuanzia matukio na maeneo yaliyopangwa, muda na mbinu zitakazotumika kutekeleza kila tukio vimekaa vizuri sana. Tunaweza kuamshwa asubuhi ya 29.10.25 na breaking newz za kutosha sana ambazo zitaibua shangwe kwa umma. Itoshe tu kusema usiku wa 28.10 ni mzito kuliko mchana wa 29.10
  10. JamiiForums Tanzania Tiktok kwa moto huko, hivi wale ni Watanzania wenzetu kweli maana sio poa

    Wadau, Watanzania wamechoka na huu utawala. Yani Tiktok ni mtandao ambao wabongo wameu criticise sana ila kwa sasa ndio mtandao unaoongoza kwa kutokuwa na vijana waoga Nyie, kumbe ukiwa unakaribia kupata uhuru ndo unajisikia raha hivi, hamna siku nimefurahi kama leo 😂😂😂 Hebu angalieni hii...
  11. JamiiForums Tanzania "Ooh mimi nawajua watanzania.." kibao. Unamjua nani???Hakuna unayemjua mkuu, na mikoani tutadai haki zetu zaidi

    Wewe ni nani ujifanye unamjua mTanzania na uvumilivu wake? Yani mimi nivumilie watu wanauwawa nchini kwangu? Watu wanatekwa kila siku, alafu nitulie tu kisa sio familia yangu? Ripoti za CAG ufisadi wa kutisha,, nitulie tu??? We pokea hiyo hela kale, hizo propaganda hazifanyi kazi tena
  12. JamiiForums Tanzania Natabiri machafuko yataendelea tena na tena. Watanzania wameshapata starting point

    Baada ya kuona vurumai lililotokea usiku wa leo na chap hatua za haraka zimechukuliwa ikiwemo kuwatengua baadhi ya staffs na kuongeza mwendokasi ,ili kupunguza mihemko kwa wananchi. Kiuhalisia tunaweza kusema sasa wameshaanza kuzibuka masikio maana ilikuwa kila wakiambiwa wanatia pamba...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
  14. JamiiForums Tanzania Mlinogewa sana kuua waTanzania nyie watu, nyie ndiyo sababu hakukuwa na amani nchini

    Na kila aliyehusika na haya mauaji ya ndugu zetu atalipia. Haijalishi kama ulitubu, ulichangia ujenzi wa makanisa, ulichangia misikiti, ulifuturisha, ulianzisha kituo cha kulea watoto yatima. Kama umehusika kwenye kupora uhai wa mtanzania yoyote lazima utalipia. Hakuna muda tena wa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nilidhani Watanzania tuna shida ila una huko Uganda kampeni za Museveni

    Huku Tanzania kijani kunameremeta kule Uganda ni full njano. Uganda wamekuwa wakimlalamikia Museveni wakidai hawamtaki sasa hao waliokusanyika hapo wametoka wapi au wamesafirishwa?
  16. JamiiForums Tanzania SamakiSamaki, DagaaDagaa, KukuKuku: Watanzania siyo wabunifu wa biashara

    Amekuja mgeni amebuni biashara nzuri na kuita SAMAKI SAMAKI. Watanzania kwa kukosa ubunifu wakaenda kuiga mara DagaaDagaa na wengine KukuKuku!! Tatizo wengi walioiga hawajui biashara siyo jina pekee bali ubora wa huduma. Ukiiga ongeza ubunifu kidogo. Mchina bingwa wa kuiga. Tofauti yake na...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Tujitafakari!
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia 3 zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo

    Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama . familia hizo ni Mwinyi Samia Kikwete
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, watanzania wale wanojiandaa kupiga kura ni wale ambao hawana cha kupoteza? Na ni kwanini wafanye hivyo?

    Kesho ni tarehe 1 Oktoba 2025 siku ya kwanza ya mwezi wa uchaguzi, mwezi muhimu na wenye kubeba mstakabali wa siasa za Tanzania. Mie nina suali kwa watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kudandia magari ya kukodi na kwenda kushabikia mikutano ya kampeni ya CCM na baada ya hapo kurudi majumbani...
  20. JamiiForums Tanzania Inawezekana kabisa binadamu mwenye IQ ndogo kuliko wote duniani ni Mtanzania

    GT Ni aibu kuitwa Mtanzania. The reference kwamba binadamu walikuwa Nyani nadhani ilichukuiiwa Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…