watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania wazuiliwa kucheza bahati nasibu ya kupata ukazi wa kudumu (Green Card) Marekani

    Wadau Vyombo vya habari nchini Marekani vinaripoti kuwa raia wa Tanzania wamepigwa marufuku kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu wa kupata viza ya kuingia Marekani. Bahati nasibu hiyo hutoa visa kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na...
  2. Zuio Kwa WaTZ: Wahi Ubalozi wa USA Kabla haijala Kwako Kama Ulishinda Viza ya Kukupa Makazi ya Kudumu Marekani

    Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
  3. Hekima za Mandela na wakati tulionao Watanzania

    (Summary). Habari wana jamvi leo nazidondosha kwenu nukuu kadhaa za mzee wetu mandela ambazo nimezifanyia uchambuzi kidogo dhidi ya mustakabali wa taifa letu katika upungufu wa democracy Karibuni jamvini " (A) KUHUSU HUKUMU (1) Do not judge me by my successes " judge me by how many times I...
  4. Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

    Wanabodi, Makala za Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla Naendelea na Makala zangu ziitwazo Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la kila siku za Jumatatu. Hizi Makala zitafuatiwa na Kipindi cha TV chenye jina hilo hilo ambacho kitaanza kutoka kwenye vituo...
  5. Watanzania tukiamua kwa umoja wetu tunaweza, hizi juhudi tuzihamishie kwenye kazi pia

    Kama Watanzania bila kujali Umri, Itikadi zetu za Kisiasa, Jinsia, Kabila, Elimu na hali zetu za Kiuchumi kwa muda wa siku tatu mfululizo tumeweza kuhamasishana na kuhamasishwa na 'Mghaibuni Mpinzani 'kuupenda na 'Kuulaiki' wimbo mpya wa Msanii Ali Kiba wa ' Seduce me 'hadi hivi sasa natiririka...
  6. Inabidi Watanzania tumuombe msamaha Rais Magufuli

    Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana Najiuliza: 1) Tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko...
  7. Escrow: Je, Watanzania ni ignorant au tumelogwa? Tuache cherry-picking kutafuta Mbuzi wa Kafara!

    Wanabodi, Preamble Mtu mwenye akili na mwenye busara, anapojikwaa na kuanguka, anaangalia mahali alipojikwaa, ili kuipata sababu iliyomfanya ajikwae na kuanguka, badala ya kuangalia alipoangukia tuu, anaamka na kuendelea na safari yake, hivyo huko mbele atakuja kujikwaa tena pale pale...
  8. A

    Nyerere: Watanzania wasipoyapata mabadiliko ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM

    "WATANZANIA HAWA WANATAKA MABADILIKO, WASIPOYAPATA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM" JK. NYERERE....."LAZIMA CCM TUWAPE WATANZANIA MABADILIKO WAYATAKAYO ILI TUENDELEE KUONGOZA" Nnauye (mtoto wa kuli). NIMEKUTA KWENYE WALL YA NAPE YA FB, ANAYAAMINI HAYA?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…