Salamu
Nmekua nikifanya utafiti na nikagundua asilimia kubwa ya watanzania upata choo kikubwa kila baada ya siku 3 na hii sio ishara nzuri hasa katika upande wa lishe na afya kwa ujumla.
Mtu anaekula mlo kamili yani protin, wanga , mafuta, maji na vyakula vya nyuz nyuz lazma apate choo kila...