watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia katangaza kutawala kwa upanga, karipio kwaa TEC maana yake uhai wa Watanzania hauna maana kwake

    GT Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu. Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai wa wale anaowaongoza haudhamini. Yupo pale kwa ajii ya nini? Kifupi katangaza vita upya na raia...
  2. K

    PostGE2025 Samia kawaondolea Mashaka yote waTanzania juu ya “Mhusika ni Nani?”

    Pasipo shaka yoyote, Samia Suluhu Hassan kawaondlea mashaka waTanzania ni nani mhusika katika matukio mbalimbali ya hovyo yaliyotokea humu nchini tongia aingie madarakani. Pamoja na kwamba akina Mafwele na kikosi chake hawawezi kujivua lawama za kutekeleza unyama wa kuteka, kupoteza na kuua...
  3. M

    Tahadhari kuelekea Disemba 9

    Kuelekea tarehe 9 anza kukusanya mahitaji yako ndani, mlikishwa pewa taarifa muhimu ya kutoa pesa kwenye mabenki na simu muwe na Cash. This is highly likely, kuwa hili jambo la tarehe 9 likienda kama linavotakiwa kwenda, basi historia mpya Tanzania itaandikwa
  4. Watanzania wanaharakati tulimtukana sana Magufuli na kumdhalilisha sasa Mungu ametupa tunachostahili na tulichotaka

    Haina salamu hiyo. 1. Wanaharati walituaminisha kuwa Magufuli ni zaidi ya Shetani 2. Wanaharakati walituaminisha kuwa Magufuli ndio chanzo Cha matatizo 3. Wanaharakati walituhamasisha Magufuli ni bonge la fisadi . 4. Wanaharakati walisema Magufuli ni muuaji mkubwa katili sana. Magufuli...
  5. PostGE2025 Leo wazi kabisa Samia anajisifia kwa alichokifanya oktoba 29 ilikuwa ni sahihi kwa watanzania

    Katika hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa leo Disemba 2, 2025 katika mkutano wake na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, Samia Suluhu Hassan emeonyesh wazi kuwa kilichotokea oktoba 29 kilipangwa na serikali na kilikuwa ni sahihi ikiwa ni njia ya kuwazuia wananchi...
  6. PostGE2025 Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama

    Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama anatuchukuliaje sisi?
  7. M

    PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  8. PostGE2025 Chalamila: Rais Samia ameunda serikali kwa kujali hisia za watanzania

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea kutekelezwa kwa kufanyia kazi makundi yote ya msingi kwa kusikiliza hisia zao, matatizo yao ili...
  9. PostGE2025 GEN-Z wamejua kuwatia adabu Watanzania

    Nimechungulia kwenye kusanyiko la Wazee wa Dar es Salaam nimejionea maajabu! Maajabu yote haya ni dhahri Shahri kwamba ni kiboko kilichotolewa na Gen-Z pamoja na kwamba wamewaua lakini WAMEJUA kuiadabisha nchi. Hivi kweli kabisa leo hii CCM kimekuwa Chama cha kujificha? Mkutano mzima ukipata...
  10. Uwepo wa kesi nyingi za uongo za serikali kwa watanzania inapaswa kuwa sababu nyengine kuu ya kuandamana huu ni uchizi

    Uwepo wa kesi nyingi za uongo za serikali kwa watanzania inapaswa kuwa sababu nyengine kuu ya kuandamana huu ni uchizi Hatuwezi kuongozwa na vilaza na watu wanao waza upuuzi upuuzi tu muda wote hwana mchango wowote kwenye nchi bali tatizo linalopaswa kuondolewa
  11. H

    Watanzania wakiitaka kupata HAKI ya kweli wasiwategemee wanasiasa na viongozi wa dini

    Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao. Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi kwani wamesaliti UAFRIKAWAO na ASILI ZAO na kufuata imani,mila na desturi za WAKOLONI ambao ni warabu...
  12. Kesho Bila kukiri kuwa Watanzania wanachukizwa na ufisadi, upendeleo wa familia yake na Kitwete Rais Samia atuwa na wakati mgumu

    Nimepata taarifa mahala kuwa kesho atahutubia taifa akiwa anazungumza na wazee wa Dar es salaam. Kesho akiri hadharani kuwa ufisadi na upendeleo wa familia za makada wa CCM wanaojulikana ni tatizo kwa taifa letu. Hakuna mzizi wa tatizo utatatuliwa. Watu wana hasira sana. Wamejaa na hasira...
  13. Q

    PostGE2025 Watanzania tunajulikana kwa upole lakini this time Serikali haitaamini kitakachotokea

    Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake. Wakati Prof. Kabudi akiwa bado na akili aliwahi kusema; "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna...
  14. Watanzania amkeni

    Msikilizeni Mkuu wa mkoa hapa kisha jengeni hoja. Ile mihemko ya mitaani hatutaki. Ukiona hakuna la maana hapa toa hoja yako. Matusi kila asie na hoja anajua. https://youtu.be/AUpLW2hJVQ4?si=if-6aJLJyrEGufCD Kisha msikilize huyu mzalendo hoja zake. Kama hukubaliani nazo leta zako tukusome...
  15. Bila kuachana na imani za kishirikina itakuwa ngumu kwa Watanzania wengi kupiga hatua za kimaendeleo

    Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
  16. Hotuba za Mwigulu; Hivi ni kweli Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

    Hivi hizi POROJO za Mwigulu ni kwasababu anajua Watanzania ni WAJINGA na wataami au hawana jinsi watakubaliana naye TU Au HAJUI kwamba Watanzania sio WAJINGA tena na WANAJUA wanachokipambania?
  17. Wapelestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja

    Wapalestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja. Viongozi wajinga wanauwa taifa letu. ni zaidi ya vita vya israel na Palestina
  18. Watanzania tulipotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, walifurahi sana wakatutania wajukuu wa Mwl Nyerere

    Watanzania tunapotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, wanafurahi sana nakututania wajukuu wa Mwl Nyerere na hii ndiyo sababu kubwa inayonifanya niheshimu sana nchi ya Tanzania na nishindwe kamwe kukosea adabu Chama Cha Mapinduzi cha Babu yetu Mwl Nyerere Ni vigumu sana kutamka Chama...
  19. PostGE2025 Nilichokiona Jana Kimeniogopesha. Watanzania Wamebadilika Sana!

    Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wetu wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa... Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa...
  20. CCM inamuenzi Patrice Lumumba kwa kuwapoteza Watanzania kama alivyopotezwa yeye

    Baada ya kutoa hotuba ambayo ilionekana kumuudhi aliyekuwa Mfalme wa Belgium, aliyekuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Zaire (sasa DRC) Patrice Lumumba alikamatwa na wanajeshi wa kibelgiji wakishirikiana na waasi wa ndani. Ili kupoteza ushahidi na ili kumbukumbu yake ipotee kiujumla, mwili wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…