wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kucheza na PC tukutane hapa

    Je, wewe ni kungwi wa kucheza na PC? Sina maana ya wale mnaoweza kuplay Games kwenye PC ama wale wenye uzoefu wa kuhamisha movies za Dj Mark kwenye flashdisk. La hasha! Nina maana ya wale mnaoweza kucheza na zile programmes za msingi sana. Nianze na ArtWork designs. Kuna wale wataalamu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Chuo cha Bagamoyo kimekufa? Wasanii hawakustahili kwenda Korea bali tulihitaji uwezeshaji hapa nchini

    Picha: Mtandaoni Kwa heshima kubwa nampongeza rais na baraza la sanaa kwa kuona kuna kitu tunaweza kujifunza kutoka kwa jamii ya watu wa Korea Kusini Ila niseme kuwa wizara ya sanaa imeshindwa kutafsiri maono ya rais juu ya sanaa yetu. Ila wasani hawaendi kujifunza utamaduni wa Korea ili waje...
  3. JamiiForums Tanzania Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

    Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
  4. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Music Artwork (Cover) naombeni msaada

    Nimekuwa nikijifunza kutengeneza Music ArtWork Cover kwa miezi miwili sasa kwa kutumia android apps. Cha ajabu ninapo-upload on YouTube, zinakuwa na quality duni sana ingawaje wakati nasave project huwa nachagua High Quality, 30fps. Tatizo linaweza kuwa wapi? Au ni kwa sababu natumia simu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna Tanzania inavyoweza kuzalisha wataalamu bora katika vyuo vya sayansi na teknolojia nchini

    Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo. Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Blender3D: Tukutane Hapa kwa Malengo ya Pamoja!

    Natumai ujumbe huu unakukuta salama. Nia na madhumuni ya kuweka bandiko hili ni kutafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D 3D Artists kama modelling, animation, CGI VFX etc. Lengo ni ku organize ili ku achieve na kufikia malengo na kutimiza ndoto kupitia 3D. Natafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga vyuo vya VETA na kutumia wataalamu wetu wazawa

    Tanzania ya miaka 15 ijayo inapaswa kuwa nchi yenye mfumo imara wa vyuo vya ufundi stadi (VETA) ambao unatoa mafunzo yanayokidhi mahitaji ya soko la ajira. Kuimarisha vyuo vya VETA ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu, kwani itasaidia kutoa wataalamu wenye ujuzi na maarifa yanayohitajika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Degree Programmes za Literature Vyuo Vikuu unasababisha uhaba wa Walimu wataalamu wa Literature mashuleni

    Habari wakuu. Tunapozungumzia kufundisha Literature tunazungumzia walimu wabobevu wa lugha ya kiingereza kwasababu hakuna fasihi bila lugha. Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na upungufu wa walimu wa somo la English literature mashuleni. Hivyo nimesukumwa kufuatilia suala hili kwa undani na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
  10. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa hisabu na sisi wenye D tusaidiane kupata majibu hapa

    Wadau katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na jambo, naliwasilisha kwenu wanajukwaa tujue lipi ni jibu sahihi hapa? *wajasiriyamali msisahau kutembelea posting yangu ya Tanzania Tuitakayo Nimewawekea Madini, Nenda Kasome Uje Kunishukuru hapa
  11. JamiiForums Tanzania Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye maji yenye mabarafu

    Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Wataalamu wa TEHAMA nchii, wabuni Apps na simu zitakazotumiwa na makundi yote ya jamii ikiwemo watu wenye mahitaji maalumu kama vile vipofu na viziwi

    Habari za uzima watu wote? Nimekuja tena kuleta wazo litakaloweza kuibua au kuchochea maendeleo katika jamii zetu bila kuacha kundi lolote kwenye jamii zetu. Bila shaka utakubaliana nami kwamba, mpaka Sasa, wataalamu wa TEHAMA wameshindwa kabisa kutuletea vifaa na programs zenye uwezo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nina mashaka na elimu walizonazo Madaktari pamoja na Wataalamu wa lishe!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Nimekuwa nikiwasikia watu wanaojiita "Madaktari" pamoja na watu wanaojiita "Wataalamu wa lishe" wakizungumza au wakitoa ushauri wa namna ambavyo mtanzania anapaswa kula ili kuyakimbia magonjwa ya FIGO,INI pamoja na KANSA!. Wataalamu " Uchwara " hao...
  14. JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba unisaidie hapa.

    Wataalam, nisaidieni hapa namna ya kuset premium message,, maana naona nakosaga hivi vihela vya vocha.. Hizi message zinaingiaga kwenye Simu yangu mara kwa mara
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Wataalamu walio funikwa na uzoefu (Experience)

    Ukweli usio pingika taifa letu limekuwa likizalisha wataalamu wengi kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali ndani na nje ya nchi. Lakini wengi wao hawapati nafasi ya kuonyesha uwezo wao kwenye soko la ajira za serikali na ofisi binafsi kwa sababu ya kigezo cha uzoefu. Kigezo hiki kinamuitaji...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze zaidi wataalamu wa elimu maalum ya lugha za ishara na alama

    UMUHIMU WA KUENEA KWA ELIMU MAALUM YA LUGHA ZA ISHARA NA ALAMA 1) Itasaidia ongezeko la wataalam ; hii ni pale tunaelimisha zaidi kuwa kila mtu ana haki ya kupata elimu. Elimu maalum kwa ajili ya wasio ona,wasio sikia, Autism, na watu wengine wenye mahitaji maalumu hawa huwa na uwezo mkubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni ipi tofauti ya simu za Redmi na Xiaomi?

    Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta kama ni Redmi kwenye body kava imeandikwa Redmi na kama ni Xiaomi basi imeandikwa Xiaomi Tofauti na...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wale wataalamu wa simu

    Kati ya hizi simu ipi itafaa Nokia G20_128gb 6 ram Vivo v20_ 128 GB 6 ram Redmi pocco X3 _128GB 6 ram Redmi note 12 5g_ 128gb 6 ram N.B zote nimeangalia features zake zaidi ipi iko vizuri wataalamu. Chief-Mkwawa
  20. T

    JamiiForums Tanzania Amedhalilishwa kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu. Afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua?

    Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari. Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua? Aende Polisi au mahalamani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…