Habari wana jf.
Naomba kama kuna wasukuma org. humu ndani wanisaidie mila na tamaduni za kisukuma wanazoamini ni zao, wanapaswa kuziish.
Mim ni msukuma fake(mama mnyarwanda, baba msukuma) watoto tumekulia mjini.
Kwa atakae faham ani ainishie tafadhari, najua humu majibu ni uhakika..
Majibu...