wastaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Djob Nkondo

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Wastaafu wawekwe kundi maalumu

    Shalom wajoli wa bwana. Katika pitapita zangu hapa na pale nimebahatika kufanya kazi iliyonikutanisha na kundi kubwa la wastaafu wa wa makundi(nssf, psssf na wale wa serikali kuu (hazina)). Lakina makundi hayo yote yanachangamoto nyingi sana ambazo zinakosa masuluhisho. Na mara nyingi kundi...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Katiba ibadilishwe,marais wastaafu waruhusiwe kugombea,tuanze na Jakaya Kikwete 2030

    Donald Trump ni Rais mstaafu wa USA Bila shaka kuwa kwake bench kwa miaka hii minne amejifunza mengi kama observer na anajutia mengi ambayo aliyafanya au hakuyafanya. Trust me akipita atakuwa Rais bora sana kuliko tunavyomchukulia. Hata kule Russia,Putin na Medinev wamepokezana sana kiti cha...
  3. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imenunua Pikipiki nchi nzima na kuweka nembo ya Samia. Fedha za wastaafu na stahiki za watumishi hazipo

    CCM inaendelea kudharau kila kitu na ni dalili wazi kwamba viongozi ndani ya CCM na serikali yake hawana usikivu tena. Ni dharau zilizopitiliza kushindwa kuwalipa watumishi wastaafu pensheni zao na stahiki za watumishi wa serikali huku wakitaabika na kuteseka ilhali fedha za kununua pikipiki na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 2024 - Nyongeza ya kima cha chini cha Pensheni ni takwa muhimu kwa wastaafu Tanzania

    Tangu July, 2015 wakati wa utawala wa Rais Kikwete kima cha chini cha Pensheni za wastaafu hakijawahi kuongezwa kutoka Tsh. 100,000/=. Tokea 2023 Waziri Mwigulu amekuwa akiongelea zoezi la mapitio ya mifuko ya pensheni na kuwapa matumaini kwamba jambo hili linafanyiwa kazi lkn tumeona juzi...
  5. Frajoo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hatma ya wastaafu

    Baada ya kutumikia umma kwa miaka mingi na kufikia umri wa miaka Sitini, mfanyakazi alitoa mchango kwa taifa letu huitwa mstaafu. Anaacha kazi na kurudi kwenye jamii akiwa hoi kama sio hai ya kusuasua. Japo sina ufahamu mkubwa kuhusu sheria taratibu na kanuni za utumishi wa umma, hivyo pengine...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Tax: Hakuna malimbikizo kwa wastaafu wanaohusiana na JWTZ

    Akijibu swali la Mbunge Esther Matiko aliyehoji kuhusu uwepo wa malalamiko ya Wastaafu kucheleweshewa mafao yao kutokana na sababu mbalimbali, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema Wastaafu wanaohusiana na Wizara yake hakuna malimbikizo na wanaendelea...
  7. muda wa ukombozi

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wajibu na haki viendane kwenye kikokotoo cha wastaafu

    Bunge ni chombo muhimu sana kwenye nchi yoyote, na ndicho chombo chenye dhamana ya kutunga na kupitisha sheria mbalimbali katika nchi husika. Hapa kwetu Tanzania kuna mabunge mawili la Tanzania Bara na la Zanzibar kwa wakati tofauti mabunge haya yamepitisha sheria mbalimbali, lakini sheria hizo...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini wastaafu wa Tanzania hawawekezi kwenye sekta ya viwanda?

    Wastaafu wa Tanzania wanaoonekana wana akili na maono wengi wanawekeza kwenye nyumba za kupangisha, kujenga fremu za biashara na kuzipamgisha, wengine wananunua bodaboda 10-20 kwa mkupuo na kusubiri hesabu ingawa baada ya muda wanapigwa na kitu kizito kichwani. Wengine wanawekeza kwenye kilimo...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Vilio vya Wastaafu wa majeshi vitatuliwe haraka, kinachoendelea ipo siku kitatengeneza ‘matunda yasiyofaa’

    Hivi karibuni kumekuwa na vilio kadhaa vya Wastaafu wa Majeshi yetu mbalimbali kuhusu viwango vya fedha ambavyo wanavipata. Awali ilikuwa ni nadra kuona Mstaafu wa Jeshi lolote lile akilalamika hadharani, lakini kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo ambavyo vilio vimeendelea kusikika mdogomdogo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba wetu wataka kujengewa maikulu binafsi!

    Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu. Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa. Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao. Sijasikia wazo la maktaba...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wastaafu, tatizo lenu sio kikokotoo bali mishahara yenu midogo

    Wastaafu wanailalamikia kikokotoo Cha mafao yao ya kusataafu wakituhumu kikokotoo kinawapa hela ndogo ya mkupuo. Ukweli kikokotoo Kiko sahihi ila shida yetu kubwa ni mishahara midogo sana inayozalisha makato ya mafao ya hifadhi ya jamii. Mishahara yetu ni midogo sana kuliko ya nchi nyingi za...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania TALGWU: Kikokotoo ni fumbo, uzima ni majaaliwa. Tupewe hela zetu zote tukafie mbele

    Heri ya siku ya wafanyakazi, huku kusini mwa nchi imepambwa na mabango lukuki ila moja limenivutia. Waajiriwa wanataka fao lao lote wakafanye maisha mengine na si mafungu kama Serikali wanavyoona. Kwanini mtu pesa yake ameiifadhi maisha yake yote ya kufanya kazi halafu siku ya kuipata mnaanza...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PSSSF imeshindwa kulipa pensheni za wastaafu. Wengine sasa ni zaidi ya mwaka hawajalipwa

    Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc. Waziri mwenye dhamana ni nani? Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa wamefilisika hawezi lipa mafao ya wastaafu kama lumpsum, na malimbikizo ya kila mwezi kwa ambao tangu...
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wastaafu wa Afrika ni wakoloni mambo leo?

    Alinukuliwa mstaafu mmoja akimwambia Mwenyekiti wa kijiji cha pili kuwa maamuzi yanafanywa na mke wake na ikapelekea sitonfahamu kubwa kwa wakati ule, kumbe yule mwamba mtoa hoja alikuwa kashazoea uongozi,ukatili na sifa akajiona kuwa hapati kusikilizwa akaamua kulipuka watu wakamsikia. Miaka...
  15. mgt software

    JamiiForums Tanzania CAG Kichere, kwanini uwaite wastaafu Mizigo wakati hela yao ndio imesimamisha NHIF kabla kuingia viwavi jeshi kukopeshana?

    Kwako kichele CAG Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa hawachangii. Nimesikitika kwa sababu Kichere na genge lake wanajua tatizo linalousibu mfuko limetokea...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

    Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PSSSF ziko wapi Billion 14 za Rais Samia alizolipa kwenu kwa ajili ya Wastaafu wa ATCL

    Raisi Samia Suluhu Hassan alilipa billion 14 za mapunjo ya madai ya kustaafu waliokuwa wafanyakazi wa Air Tanzania Company Limited tarehe 27/12/2023 kwenye mfuko wa PSSSF. Hadi muda huu ni asilimia thelathini tu ya Wastaafu ndio wamelipwa wengine wanapigwa dana dana hawalipi. Hawa ni pamoja...
  18. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba ni team au kikundi cha wastaafu?

    Wakuu naangalia marudio hapa ya mechi ya simba na prison. Naona hapa simba wamechomoa goli dakika hizi za lala salama Tukiendelea hivi chama atachomoa labda iwe mbili kwa mbili! Ila sasa huu utaratibu wa kupanga wazee kwenye team unatuumiza sana wakuu .. Hapa unakutana na mzee mwenzangu baba...
  19. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii ndiyo Galaxy yenyewe wastaafu?

    Nimeshtuka..! Huyu si kariba na makamo ya Dr mwigulu na Majaliwa kabisa wajameni? Sasa wachezaji wenyewe ndiyo kama Hawa mtu unashindwaje kufunga hata kumi kwa bila wakuu? Kwa kuwa simba mbovu na Hawa wastaafu waliokuja kutalii ndiyo mahututi basi ikaonekana wamecheza sana? Nimeumia sana kwa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Wastaafu wasirudishwe kwenye ajira

    Tunaomba kistaafu kazi kwa mujibu wa Sheria, rudi kalee wajukuu wasirudishwe au kupewa mikataba Mipya ni Kosa.
Back
Top Bottom