wassira

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni 'Mpuuzi' gani 'alimdanganya' Mzee Stephen Wassira kuwa Tundu Lissu anataka kuwa Rais wa Tanzania kwakuwa tu alipigwa Risasi Dodoma?

    "Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira. globalpublishers Nyie Watoto wa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wazee ni Hazina , Mkongwe Steven Wassira achukua fomu ya kugombea Ubunge Bunda

    Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya . Mytake : Wassira bado yupo
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Steven Wassira atangaza kugombea ubunge Jimbo la Bunda, Adai 2015 aliibiwa kura

    Mzee bado hajakata tamaa na ameyatamka hayo hadharani kwenye vikao vya ccm Dodoma alipohojiwa na waandishi wa habari
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzee Wassira kuhamia CHADEMA

    Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema. Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo. Tusubiri, muda ni msema kweli. Maendeleo hayana vyama!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Stephen Wassira: Nini maana ya uongozi wa kimkakati?

    February 10, 2020 Dar es Salaam, Tanzania Mwanasiasa mkongwe Ndugu Stephen Wassira anashusha madini kuhusu Uongozi wa kimkakati akihojiwa na watangazaji Sam Sasali, Hassan Ngoma na Babbie Kabae Stephen Wassira ambaye zamani alipata kuwa kiongozi ktk nafasi ya uWaziri, mkuu wa mkoa, mbunge na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Jafo ingemfaa sana Steven Wassira

    Kila utawala huwa una watu wanaoufanya utawala huo uonekane, kwa mfano katika utawala wa awamu ya Nne Magufuli alikuwa ni Icon. Kazi alizozifanya na kujituma kwake kulikonga nyoyo za watanzania na ni vigumu leo kutenganisha kupanda ngazi ya mamlaka kwa Magufuli na kazi alizozifanya akiwa waziri...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wassira amgomea JPM, asema halipi deni la Commodity Import Support. Akataa wito, Task Force kutuma Polisi. Yeye adai yuko tayari kupigwa pingu!

    Kumekucha! Steven Wasira,mmoja wa wadaiwa sugu wa mfuko wa Commodity Import Support amesema hatalipa deni hilo kamwe na kwamba yeye si mmoja wa wadaiwa wa mabilioni hayo. Wasira ambaye anakiri kukopa milioni mia moja miaka ya tisini,anasema alikuwa na makubaliano ya kulipa benki ya T.I.B, na...
Back
Top Bottom