Nafasi ya Jafo ingemfaa sana Steven Wassira

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
9,938
2,000
Kila utawala huwa una watu wanaoufanya utawala huo uonekane, kwa mfano katika utawala wa awamu ya Nne Magufuli alikuwa ni Icon. Kazi alizozifanya na kujituma kwake kulikonga nyoyo za watanzania na ni vigumu leo kutenganisha kupanda ngazi ya mamlaka kwa Magufuli na kazi alizozifanya akiwa waziri. Bidii yake ya kazi ilimlipa kwa kuaminiwa na CCM na wananchi.

Lakini katika watu waliokuwa Icons katika utawala uliopita na ambao walikuwa na uwezo mkubwa mno wa kudeal na migogoro ya kijamii na kisiasa nchini ni Steven Wassira.

Siwezi kumsahau Wassira jinsi alivyokuwa akicoordinate vikao vya maridhiano na mashauriano baina ya makundi mengi tu ya kijamii, mfano mmoja ni jinsi alivyoshiriki kwenye migogoro ya mahakama ya kadhi, migogoro ya kuchinja baina ya waislamu na wakiristo, migogoro ya sintofahamu baina ya wapinzan na serikalii etc.

Jaffo amepewa mtihani mdogo tu ambao amefeli vibaya mno, ameshindwa kusimamia haki ipasavyo katika suala hili la uchaguzi wa serikali za mitaa.

Ni dhahiri kama Jaffo ameshindwa kusimamia zoezi hili kwa weledi basi ni dhahiri hafai kuendelea kukalia nafasi hiyo na hafai zaidi kushika dhamana ya juu zaidi ya hapo alipofika. Kama Jaffo kashindwa kutenda haki kwenye serikali za mitaa, akipewq dhamana kubwa ya uwaziri mkuu au uraisi ataweza kusimamia serikali kuu?

Wassira siyo mbunge, hawezi kupata uwaziri lakini kama rais anaweza kumpa uwaziri kisha akampa dhamana ya kusimamia mambo yanayohusu migogoro ya kisiasa. na kijamii nchini naamini anaweza kumsaidia sana.

Sijui Jaffo anasubiri nini ofisini hadi hivi sasa, ni nani wa kumwamini mtu aliyetaka kukuchinja halafu akabadirika ghafla na kuanza kukupulizia marashi na manukato, huenda anakulia timing zaidi!

Jafo ajipime, ajiangalie aone kuwa bado anaweza kutenda haki na ajiangalie aone kama anatosha katika hiyo nafasi.

Wananchi huku chini hatuna imani na Jafo. He must go!
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
23,667
2,000
Watu wakishaanza ku-discuss position yako ujue tayari ushayakoroga mjomba!! ni muda wa kujitathimini upya.
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
29,511
2,000
Wassira huyu aliyesema Chadema itakufa kabla ya 2015?

Huyu huyu aliyesema Wapinzani walikua wanapenda kwenda ikulu kufuata Juice?

Wassira/Jafo hakuna mwenye afadhali kati yao.
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,099
2,000
Ni bora hata angepewa hio nafasi "AMBER-RUTTY" au "STEVEN NYERERE", wangeiweza vizuri, kulio huyo Jaffo au Wasira.
 
Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
6,442
2,000
Wapinzani mna wivu na nafasi ya jafo

Jafo ni mchapakazi
Jaffo anaimudu vyema nafasi yake, pale pana mikiki mikiki mingi huwezi mweka mzee kama Wassira (kwanza nafasi za wabunge wa kuteuliwa zimeisha).
Ni bora hata angepewa hio nafasi "AMBER-RUTTY" au "STEVEN NYERERE", wangeiweza vizuri, kulio huyo Jaffo au Wasira.
Hoa watu wako hawana hata uwezo wa kupanga hoja, Jaffo ni mtu makini sana.
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,723
2,000
Msimlinganishe Mzee Wassira na hawa watoto wa Dotcom jamani, yule ni Chuma ya MJERUMANI anazijua Figisu, anaijua Propaganda kiwango cha Kimataifa anajua kung'ata na kupuliza Kiwango cha SGR na Uzoefu anao wa zaidi ya Miaka 40. Huko aliko anaguna tuu jinsi hawa Viongozi vijana wanavyopwaya kwenye Viti vyao.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
9,938
2,000
Wassira akili nyingi yule mzee
Kunahitajika watu wenye experience na mifumo ili kusaidia cabinet ifanye maamuzi ya weledi
Sasa hivi tunakwenda kama gari bovu tu
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
29,511
2,000
Msimlinganishe Mzee Wassira na hawa watoto wa Dotcom jamani, yule ni Chuma ya MJERUMANI anazijua Figisu, anaijua Propaganda kiwango cha Kimataifa anajua kung'ata na kupuliza Kiwango cha SGR na Uzoefu anao wa zaidi ya Miaka 40. Huko aliko anaguna tuu jinsi hawa Viongozi vijana wanavyopwaya kwenye Viti vyao.
Sifa zote hizo lkn bado alishindwa na binti kwny uchaguzi.
 
Joseeleunyo

Member
Oct 17, 2019
90
125
Kila utawala huwa una watu wanaoufanya utawala huo uonekane, kwa mfano katika utawala wa awamu ya Nne Magufuli alikuwa ni Icon. Kazi alizozifanya na kujituma kwake kulikonga nyoyo za watanzania na ni vigumu leo kutenganisha kupanda ngazi ya mamlaka kwa Magufuli na kazi alizozifanya akiwa waziri. Bidii yake ya kazi ilimlipa kwa kuaminiwa na CCM na wananchi.

Lakini katika watu waliokuwa Icons katika utawala uliopita na ambao walikuwa na uwezo mkubwa mno wa kudeal na migogoro ya kijamii na kisiasa nchini ni Steven Wassira.

Siwezi kumsahau Wassira jinsi alivyokuwa akicoordinate vikao vya maridhiano na mashauriano baina ya makundi mengi tu ya kijamii, mfano mmoja ni jinsi alivyoshiriki kwenye migogoro ya mahakama ya kadhi, migogoro ya kuchinja baina ya waislamu na wakiristo, migogoro ya sintofahamu baina ya wapinzan na serikalii etc.

Jaffo amepewa mtihani mdogo tu ambao amefeli vibaya mno, ameshindwa kusimamia haki ipasavyo katika suala hili la uchaguzi wa serikali za mitaa.

Ni dhahiri kama Jaffo ameshindwa kusimamia zoezi hili kwa weledi basi ni dhahiri hafai kuendelea kukalia nafasi hiyo na hafai zaidi kushika dhamana ya juu zaidi ya hapo alipofika. Kama Jaffo kashindwa kutenda haki kwenye serikali za mitaa, akipewq dhamana kubwa ya uwaziri mkuu au uraisi ataweza kusimamia serikali kuu?

Wassira siyo mbunge, hawezi kupata uwaziri lakini kama rais anaweza kumpa uwaziri kisha akampa dhamana ya kusimamia mambo yanayohusu migogoro ya kisiasa. na kijamii nchini naamini anaweza kumsaidia sana.

Sijui Jaffo anasubiri nini ofisini hadi hivi sasa, ni nani wa kumwamini mtu aliyetaka kukuchinja halafu akabadirika ghafla na kuanza kukupulizia marashi na manukato, huenda anakulia timing zaidi!

Jafo ajipime, ajiangalie aone kuwa bado anaweza kutenda haki na ajiangalie aone kama anatosha katika hiyo nafasi.

Wananchi huku chini hatuna imani na Jafo. He must go!
Kwa kweli hatuhitaji ushahidi zaidi kuthibitisha Jafo kashafeli
 
Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,084

Kweli wasira angefaa sana
 
Nyabutoro

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
1,051

Hufai kumbe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom